Sehemu gani nzuri ya starehe Mwanza?

Nenda kirumba maeneo ya Vila park
Mwanza bwana mimi sipaelewagi sijajua sababu sio mwenyeji sana au ni vipi, nikifika hapo nikaulizia boda akasema villa park, nikasema twende aah kufika pale just live band na wanakata mauno yao pale jukwaani ndio la msingi (tofauti na hapo hakuna jipya), nikaambiwa kama unatakaa mziki mzuri toka hapo nje mkabala na villa park kuna club, nikaenda naambiwa elf 2 kuingia, nikalipia hahaha kufika pale mahali bwana bora kigodoro cha Kinyanya Kibiti huko kwanza hapako vzr, hapana mwanga, mvua kidogo ilipita panaloana kila sehemu nikaona jau nikanyanyuka nikatoka zangu nje.

Boda akasema pale daraja la furahisha pembeni ya rock city mall pana muziki pia na vyakula na pazuri sana nikasema twende, nikafika pale na penyewe kuna kajukwaa tu kadogo na muziki wa nje, na watu mnakaa kwenye viti hapo unaagiza unachokula unahudumiwa japo wahudumu wako slow, anyway nikaona nile ugali sato nikarudi hotel kulala.

Kwa kifupi sijapata kiwanja Mwanza kinipe vibe la ukweli.

Labda mtu anambie hapa kipi kiwanja cha vibe Mwanza tofauti na hizo nilizoenda.
 
Mwanza bwana mm sipaelewagi sijajua sababu sio mwenyeji ssna au ni vipi, nikifika hapo nikaulizia boda akasema villa park, nikasema twende aah kufika pale just live band na wanakata mauno yao pale jukwaani ndio la msingi (tofauti na hapo hakuna jipya), nikaambiwa kama unatakaa mziki mzuri toka hapo nje mkabala na villar park kuna club, nikaenda naambiwa elf 2 kuingia, nikalipia hahaha kufika pale mahali bwana bora kigodoro cha Kinyanya Kibiti huko kwanza hapako vzr, hapana mwanga, mvua kidogo ilipita panaloana kila sehemu nikaona jau nikanyanyuka nikatoka zangu nje, boda akasema pale daraja la furahisha pembeni ya rock city mall pana muzik pia na vyakula na pazuri sana nikasema twende, nikafika pale na penyewe kuna kajukwaa tu kadogo na muzik wa nje, na watu mnakaa kwenye viti hapo unaagiza unachokula unahudumiwa japo wahudumu wako slow, anyway nikaona nile ugali sato nikarudi hotel kulala.

Kwa kifupi sijapata kiwanja mwanza kinipe vibe la ukweli.

Labda mtu anambie hapa kipi kiwanja cha vibe mwanza tofaut na hizo nilizoenda
Mwanza na Arusha ni majiji yanayosifiwa ila ukienda front dah hizo sifa huzikuti kabisa.
 
😄😄😄, pole!! Mwanza ovyo tu
 
Alikupeleka middle class unapomfata mwambie kabisa unataka level ip isitoshe huyo sio mwenyeji kakpeleka hit za zamani
 
Uzi tayari...mikoa yote mjini Kuna starehe inategemea wewe utanogewa na Nini we ingia mjini ukiona mataa taa ya rangi tofauti jua ni sehemu ya Bata nenda kajibebee mnduku ukarombe.KILA MJA NI SHAHID WA NAFSI YAKE MWENYEWE
Kila mja no shahidi wa nafsi yake, umetisha sana.

Mimi nikifika mji nikiwa mgeni, naongeaga na boda boda kwa sauti ya upole.

Naenda chimbo mbilo tatu, lazima moja niielewe.
 
Alikupeleka middle class unapomfata mwambie kabisa unataka level ip isitoshe huyo sio mwenyeji kakpeleka hit za zamani
Ndio utupe majibu hapa Mkuu, mfano hapo jengo la rock city mall mbona niliona parking zimejaa, kila anaezama ni ndinga unaanzAje kusema pa low class, pamoja na yote hayo ni paboooovu, taja hapa kiwanja hot Mwanza! Disco kali, vyakula full, ma Dj hot, na huduma mbali mbali. Otherwise utakuwa umeponda ila huna suluhisho
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom