sanaa

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Sitaongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sanaa

    Rais Yoweri Museveni wa #Uganda ametangaza kuongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sayansi kwa madai kuwa ndio wanaochangia maendeleo ya jamii Hatua hiyo imetajwa kwenda kinyume na Makubaliano ya 2018 ambayo yanataka mishahara kupanda kwa usawa kwa walimu wote Rais Museveni amesema...
  2. Dit000

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaishi vizuri sana, tembea uone

    Wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za kwenye bodi unakuta wameweka zile nyeupe zina umbo kama sahani approxmetely 50cm diammeter zina mwaga murua, sofa kubwa za ngozi...
  3. Denis1729

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wajibu wa Serikali katika kuleta Maendeleo ya Jamii

    Maendeleo ya jamii hutokana na jamii kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana kwa urahisi kutokana na demokrasia imara pamoja na utawala bora ambao utaongozwa na katiba ya nchi katika kuweka vipaumbele vinavyoleta maendeleo bila kuathiri maisha ya mwananchi, kutambua...
  4. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza kiundani GSM amejitangaza sana na kupiga fedha kupitia Yanga lakini anachowafanyia ni sanaa tupu

    Kwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?. Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia. Aliyeisaidia yangA kwa Hali na Mali alikuwa mAnji tu. Alisajili na kuifanya timu kuwa Bora. GSM yupo kufanya...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kutoka BASATA: Mwongozo Mahsusi wa Uzingatiaji wa Maadili Katika kazi za Sanaa

    Heading inahusika kama ilivyo. Lakini kwa mtazamo wangu hili jambo linaenda kuibua mjadala mkubwa huko mbeleni. Najaribu kuweka link ya rasimu ya Kanuni hizo. Mnaweza kupeleka maoni kabla kisu hakijawekwa ======= Simu: 255 22 2863748 Barua pepe: info@basata.go.tz Tovuti: www.basata.go.tz...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wasanii Wa Ngoma Za Asili Watakiwa Kujisajili Kupata Fedha Za Mfuko Wa Sanaa

    Serikali imesema kuwa wasanii wa ngoma za asili wanatakiwa kujisajili kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya ili waweze kupata fedha za Mfuko wa Utamaduni na Sanaa ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 mfuko huo umetengewa bilioni 1.5. Kauli hiyo imesemwa Julai 24, 2021 na Mkurugenzi Msaidizi...
  7. Gamal Sankara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana! Nchi ya watu milioni 55 haiwezi kutuma wanaspoti 5?

    Nchi yenye watu 55 million haiwezi hata kuwatuma wanaspoti 5? Duuh 😔 Na kisha mkitazama hiyo picha, yule anayebeba hiyo bendera si mtz. Na ndiyo maana mimi hujiuliza, Mbona wenzetu ni kama huwa mnachanganyikiwa? Angalau uganda
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yakubali kurudisha kazi za sanaa zilizoibwa Nigeria

    Serikali za Nigeria na Ujerumani zimekubaliana muda wa mwisho wa kurejesha vinyago vya kuchingwa vilivyoibiwa kutoka nchini Nigeria. Waziri wa habari na utamaduni wa Nigeria ameyasema hayo katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Lagos, uliolenga kuwafahamisha Wanigeria ni wapi zipofikia...
  9. Marjo Mlekwa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sanaa ni njia nzuri ya kutatua tatizo la ajira, Tusipuuze

    HIVI UNAJUA MAPENGO YA KINYWA CHA SANAA YANAWEZA KUZIBIKA KAMA TUKIAMUA? 'Licha ya jopo la madaktari kupambana Na changamoto za kinywa hiki, bado tatizo sugu la mapengo limeonekana kuwazidi nguvu, kinywa kinazidi kupata mapengo kila uchwao' Leo nakukaribisha uone muundo halisi wa Kinywa hiki...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ch8na: Maonesho ya sanaa za historia ya CPC yafanyika

    Maonyesho ya kuonyesha sanaa za historia ya CPC yafanyika Maonyesho ya sanaa za historia ya Chama cha Kikomunisti cha China yamefanyika kwenye Jumba la Kumbukumbu la Kitaifa la China. Kwenye maonesho hayo kuna michoro mbalimbali na kwa jumla yanaonyesha kazi za sanaa 100 za asili katika aina...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi shule binafsi kufundisha masomo ya sanaa

    .
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Elimu ya sanaa na ufundi shuleni irudishwe

    Sisi tuliosoma enzi za awamu ya kwanza, enzi za Chama kushika hatamu, tunakumbuka elimu ya sanaa na ufundi. Hili lilikua somo kamili, kulikua na walimu waliohitimu mafunzo hayo. Shule zilikua na karakana, wavulana walifundishwa useremala (labda nimekosea) na uwashi. Hata ujenzi wa madarasa na...
  13. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia, kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

    Niliajiriwa 2013 tokea hapo sijawahi panda daraja. Mwendazake alinyonya sana haki yetu. Tena zile haki za kisheria kama increments ila mama ameponya majeraha ya msukuma. Watumishi kwenye BAJETI 2021/22. 1. PAYE imeshushwa kutoka 9% mpaka 8%. 2. Bil 449 kwa ajili ya kupandisha vyeo watumishi...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sanaa ni kipaji kinaitwa arts

  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga: BASATA ni Baraza la Sanaa la Taifa, sasa hivi limegeuka ni Mahakama ya Sanaa ya Taifa

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya urasimu kwenye kazi zao Ameongeza kuwa, Sheria zilizopo BASATA ni za kikoloni ambazo zimejikita...
  16. Dejane

    JamiiForums Tanzania Michael Blackson mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani yupo real sana

    Huyu comedian mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani na kufanya kazi zake za sanaa Nchini Us pia ameshiriki filamu ya Coming to America 2, huwa ananifurahisha sana jinsi anavyopenda kwao Ghana anapenda kucheza miziki ya Afrika, vyakula vya nyumbani yeye ndio anakula hata akiwa marekan mara...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujisajili BASATA kwa ajili ya kufanya sanaa

    Msanii anaweza kupata fomu ya usajili mtandaoni kwa kuingia www.basata.go.tz au kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya na baadaye kujaza fomu na kuziwasilisha BASATA zikiwa zimeambatanishwa na wasifu binafsi (CV) wa Msanii husika
  18. J

    JamiiForums Tanzania Vitu 6 vya kuandaa unapotaka kusajili kazi ya sanaa

    Nakala mbili za kazi yako ya sanaa; Picha mbili za utambulisho(Passport size); Nakala ya picha za utambulisho, Kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa; Nakala ya picha ya utambulisho, kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa cha ndugu wa mwombaji; Ushahidi wa maandishi kuhusu...
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

    Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bongo Movies wengi ni vilaza, si ajabu wameilaza sanaa ya uigizaji. Wasomi ingieni huko

    BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI Anaandika, Robert Heriel Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake wanakoroma. Wapo kwenye ndoto za majinamizi wabaya wanaowakimbiza kwenye mitaro huko usingizini. Tangu...
Back
Top Bottom