Wizi wa haki miliki za sanaa (movies and series) kukithiri Tanzania (copyrights infringements) ina maana Serikali haioni??

Zgerald95

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
235
59
Hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa sana na uhalifu wa mtandaoni serikali ikishirikiana na jeshi la polisi, kwa pamoja wamechukua jitihada za wazi kupambana na tatizo hili.

Lakini kuna tatizo sugu ambalo binafsi naona ni kosa kubla sana na serikali imelikalia kimya. Wizi wa haki miliki za sanaa mitandaoni.

Zimejitokeza ofisi na makampuni kadhaa wana download movies (pirating) kutoka kwenye torrents websites na kuziuza mtaani kwa TZS Elfu 1 huku series wakiziuza kwa TZS Elfu 2 this is not okay kwa kua makampuni makubwa ya uzalishaji filamu dunian (biggest film producing countries) kama vile 20th Century Studios, Universal pictures, paramount pictures, etc wanatumia pesa nyingi kutengeneza movies na wanapoteza mapato mengi kutokana na izi pirating activities wanazofanya hizi ofisi zinauza movies kwa elfu moja kwa kua hawanunui movies kutoka kwenye official sources.

Pia hata movies kutoka netflix ambazo watu walitakiwa wa subcribe huko kusudi watengenezaji wapate faida ya kazi za mikono yako wao wanazi pirate na kuziuza kwa ela ya mbuzi kwa sheria za haki miliki hili ni kosa kubwa mno.

Je vibali vya kufanya hizi biashara wametoa wapi?? Kama ni serikalini ina maana serikalo imehararisha hii biashara halamu??
 
Kwani hao Netfix,Universal na Paramount wamekulalamikia?..

Nchi maskini hii..acha watu watafute ugalu
 
Back
Top Bottom