Erick Omondi akumbushwa kuheshimu sanaa

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Aug 30, 2021
630
1,245
Mcheshi asiyepungukiwa na utata maishani Eric Omondi kupitia ukurasa wake wa Instagram siku ya Jumapili alitoa wito kwa wanamuziki wa Kenya watie bidii zaidi kazini huku akidai kuwa sekta ya burudani hapa nchini imekufa.

Omondi aliwashinikiza wasanii waamke huku akidai kuwa wengi wao wameisha, wamezembea na wanachosha.

"Tumekuwa wa kutohitajika, wa kutabirika na wa kuchosha. Tunahitaji kutia bidiii zaidi ili turudishe utukufu uliopotea. Lazima tuwekeze kwa sanaa. Mungu anajua mimi najaribu kadri niwezavyo" Omondi amesema.


Huku msanii Bahati akijibu madai yake Eric alimuomba aweze kuheshimu sekta ya muziki kwani kutoa shati kwake sio ucheshi.

"Since Huyu Jamaa afungue ile Brothel Yake inaitwa Wife Material amepoteza Akili Sana. You think Kutoa Nguo ni Comedy Sasa??? Young Man Respect Our Industry!!! Sijui Unatembeanga na Bouncers Wakichunga Nini?

images - 2021-11-10T092506.926.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom