sanaa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuteua PhD kusimamia sanaa na filamu Tanzania?

    Let us be serious kwenye teuzi zetu, hivi Dr. Ishengoma ni wapi amewahi kushiriki sanaa au kuigiza au kusimamia filim production? Nimetoa mfano huu baada yakuangalia viongozi wanaosimamia sanaa na filamu nchini nikaona most of them are civil servant and academician. Tunapotaka kukuza hizi sekta...
  2. Rahma Salum

    JamiiForums Tanzania Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi za Sanaa bila uhakiki wa BASATA, TFB na COSOTA

    Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imetoa tamko kuwa, kuanzia tarehe 1/5/2021 Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi yoyote kwenye vituo vyao bila kazi hiyo kuhakikiwa na BASATA (Muziki...
  3. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Bunge si Jumba la Sanaa, ni mahali Patakatifu Kisiasa katika ukombozi wa mawazo ya mnyonge

    Salaam Wana JF, Nianze kwa kusema kuwa wale wanaodhani Bunge letu ni Jumba la Sanaa wanakosea kimantiki na pengine hawajui Majukumu ya Mhimili huu na mipaka yake, Bunge lina utakatifu wake na upekee katika ustawi wa haki na Maendeleo kwa watu, Bunge Ni moyo wa nchi kiutawala. Hatahivyo Kwa...
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni sanaa ya maigizo na kiwanda cha mauzauza

    Naendelea na wito wangu wa kufanya mgomo usio na kikomo wa kuoa, hapa nawaomba wanaume hasa wanaojielewa kuendelea kuwasusia kuwaoa tuwapashe matobo tu tule nduki ndefu.. huko kwenye ndoa nishasema ni gereza la maisha na huko wanaume wanasoteshwa zaidi ya washukiwa wa ugaidi guantanamo wanaishia...
  5. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani huwafundisha mabinti sanaa ya kukata viuno?

    Salaam Kukatika ni sanaa nzuri sana imfurahishayo mwanaume wakati akila tunda. Miaka ya nyuma sanaa hii ilikua inafundishwa na watu maalum kwa baadhi ya makabila. Kwa sasa inafanywa na wasichana na wanawake wa makabila yote tena bila kupitia mafunzo hayo yaliyokuwa yakitolewa kwa wasichana...
  6. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimenyang'anywa Watoto wangu na moyo unaniuma maana nawataka sanaa

    .... Nyuzi ifutwe .... Moderator
  7. W

    JamiiForums Tanzania Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

    Habari, Kuna clip moja nimeiona kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha mtu mmoja ambaye bila shaka alikuwa ni kiongozi wa tour ya jana ya WCB ya tumewasha na tigo waliofanya jijini Dododma akiomba radhi ya jambo linaloonesha sio la kiungwana na lisilokuwa na stahala lililofanya na "Msanii"...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania BASATA nao wamshughulikia Gigy, yamfungia kujishughulisha na sanaa kwa miezi sita na faini ya milioni 1

    Baada ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) kukifungia kituo cha televisheni cha Wasafi kwa kurusha maudhui ya utupu yanayomuonyesha msanii Gift Stanford Jushua maarufu kama Gigy Money, nalo baraza la sanaa Tanzania(BASATA) limeibuka na kumlamba adhabu ya miezi sita msanii huyo kutojihusisha...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna kumbi(theatre) za kuonyesha sanaa za maigizo jukwaani?

    Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa. Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana. Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Sanaa ya kustaajabisha

    Tahadhari kuna picha za kuogofya Najma Makena ni mwanamke wa Kisomali anayeishi Nairobi Kenya ambaye amekuwa akitengeza mapambo ya kuogofya tangu 2018. Hatahivyo wengine wanaamini kutokana na imani yake, kazi yake ya mapambo ya kuogofya ni ya kishetani. Hata hivyo hilo halijamzuia Najma...
  11. luangalila

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mikocheni, poleni kwa Mvua

    Habarini za Usiku, Mvua zinazo shambulia Jiji la DSM linashambulia mitaa mbali mbali ya jiji, leo nilipita mitaa ya MIKOCHENI kwa WARIOBA nilichokishuhudia pale leo ni wazi serikali inapaswa ichukue jambo Leo kwa warioba kuna bajaji ilisombwa na maji kutoka barabarani ikapelekwa ng'ambo ya...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Bunge litageuka ukumbi wa sanaa za maigizo ili kuvutia watazamaji

    Spika wa Bunge Ndugu Job Ndugai amesikika akisema kuwa kwa sasa anataka bunge lipewe nafasi zaidi ya kusikika na anataka wabunge wajitahidi kuwa wasemaji, wasiwe mabubu wasijipendekeze. Hii ina maana ana mashaka na wabunge wake upande huo. Uchambuzi wa haraka unaonesha kuwa itakuwa ngumu sana...
  13. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inaniuma sana. NEC wameninyima haki yangu ya kupiga kura

    ......YNWA..... Moderator FUTA HUU UZI. Please DELETE.
  14. Queen Esther

    JamiiForums Tanzania Siasa na sanaa ni mapacha kama mapambio na mahubiri

    Leo nimemuona Askofu fulani anasema hawezi kuhubiri mpaka wanakwaya waimbe, pia kikundi cha sifa na kuabudu kiimbe nyimbo za kutosha na nzuri. Pia, muimbishaji yule mwenye uwezo mkubwa afanye huduma hiyo. Nimejaribu kuangalia siasa za CCM ambapo nyimbo za wasanii zinaimbwa nyingi zikieleza...
  15. Mrs Bishanga

    JamiiForums Tanzania Re: Fursa: Open Call | Art Exhibition

    WASEMAJE? What Do You Say? OPEN CALL | ART EXHIBITION ABOUT THE EXHIBITION Wasemaje Art Exhibition seeks to provide a platform for artists to freely express what is currently on their mind through art, and for the public to engage with artistic interpretations of the experiences of...
  16. Mtende

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Sanaa

    Kama mzazi, hebu mpe maksi huyu mwalimu wa sana, usisahau kuweka maoni pia
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sanaa ya siasa: Mbinu za Rais Magufuli katika medani hii

    Nimefuatilia siasa za Tanzania kwa muda mrefu, nimefuatilia haiba, mienendo ya kisiasa ya watu mbalimbali maarufu nchini. Miongoni mwa hao, nimefuatilia namna ambavyo raisi Magufuli hufanya siasa zake. Ufuatao ni uchambuzi wa mbinu na tekniki amazo raisi Magufuli hutumia ili kufikia malengo...
  18. SumadaVinci

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwanaume shida sana...

    Being a man is not easy, broh no make up,no wig 😆😆 nothing If u are ugly you ugly broh, nothing can save you except money. Pongezi kwetu wanaume
  19. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Aliyozungumza Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbas

    Katika miaka hii mitano ya Serikali ya Awamu ya Tano kazi kubwa imefanyika. Sisi kama Serikali tumetimiza wajibu wetu, tunaiona nchi yetu inaendelea kupata maendeleo kwa kasi Serikali hii imehamasisha sana watu kulipa kodi na sio kulipa kodi tu bali waione thamani ya kodi wanazolipa...
  20. Honorable GPA

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania: Hatuajiri walimu wa sanaa

    Serikali ya Tanzania imesema, itawaajiri walimu wa masomo ya sanaa pale idadi ya walimu wa sayansi, hisabati, kilimo, biashara, elimu maalum na mafundi sanifu wa maabara za shule za sekondari itakaporidhisha. Serikali imetoa majibu hayo leo jumatatu tarehe 8 juni 2020 wakati ikijibu swali la...
Back
Top Bottom