Watu wa mamlaka ya sanaa pigeni marufuku Bongo Star Search

chongoe

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,128
2,717
Habari zenu wakuu,

Nimeamua Leo kuleta mada hii haswa mamlaka pigeni marufuku shindano la BSS kwa sababu hakuna anaestahili kuwa jaji pale na ndio maana pamoja na serikali yetu haina mpngo mbdala wa kuzalisha wasanii ila ndani ya nchi yetu kila mwenye pesa anaenda studio.

Hebu tuangalie nchi za wenzetu jinsi wanavyotafuta waimbaji hakuna jaji hata mmoja anaemwambia mshiriki una sauti mbaya ila hapa kwetu jaji anatamka wazi anakwambia huwezi kuimba sasa ukiangalia huyo jaji wenyewe hata chombo kimoja cha muziki hawezi piga

Tujaribu kuangalie wahindi wanapotafuta waimbaji wale majaji ni watu walioshiba.

Ni wasanii wakubwa hata ukiangalia nyimbo zao youtube utapata ushahidi kwa mfano jaji awe Himesh Reshmiya

Au Sonu Nigam
Au Udit Narayan
Au Kumar Sanu

Hapo ikitokea MTU ameshinda hawezi potea sasa hawa majaji wetu sasa Sijui wametokea kwenye kitengo gani kuhusu Sanaa au uimbji au kwakuwa maarufu hapa kwetu
 
Kuna jamaa flani nadhani ni mchora katuni ile ya Kingo anaitwa James Gayo ni mtaalamu wa muziki na kuna wengine ambao wanapaswa kuwepo kwenye hizo search ila hao wa kwenu itakuwa ni music refresh search.
 
Habari zenu wakuu,

Nimeamua Leo kuleta mada hii haswa mamlaka pigeni marufuku shindano la BSS kwa sababu hakuna anaestahili kuwa jaji pale na ndio maana pamoja na serikali yetu haina mpngo mbdala wa kuzalisha wasanii ila ndani ya nchi yetu kila mwenye pesa anaenda studio
Hebu tuangalie nchi za wenzetu jinsi wanavyotafuta waimbaji hakuna jaji hata mmoja anaemwambia mshiriki una sauti mbaya ila hapa kwetu jaji anatamka wazi anakwambia huwezi kuimba sasa ukiangalia huyo jaji wenyewe hata chombo kimoja cha muziki hawezi piga
Tujaribu kuangalie wahindi wanapotafuta waimbaji wale majaji ni watu walioshiba
Ni wasanii wakubwa hata ukiangalia nyimbo zao youtube utapata ushahidi kwa mfano jaji
awe Himesh Reshmiya
Au Sonu Nigam
Au Udit Narayan
Au Kumar Sanu

Hapo ikitokea MTU ameshinda hawezi potea sasa hawa majaji wetu sasa Sijui wametokea kwenye kitengo gani kuhusu Sanaa au uimbji au kwakuwa maarufu hapa kwetu
Walimwambia konde boi hana kipaji hao matokeo yake daimondi akawaumbua
 
Hujawahi kuamua hata mashindano ya komborela halafu unakosoa majaji wa BSS? Anzisha mashindano yako uwabembeleze washiriki.
 
Mimi ni mfuatiliaji wa AGT na The Voice, wale jamaa huwa wastaarabu sana hata kama unafanya ujinga kwenye stage.
Ni mara chache unaweza kuta washiriki ni wakorofi hivyo majaji hureact lakini sio kwa matusi bali huitwa security.

Pia kingine mara nyingi ni watu wenye elimu ya music au uzoefu kwenye hiyo sector hivyo wanajua wanchokifanya na wanachokitafuta.
Unaweza kuta mtu ata sauti ya kuongea haitoki, au akiimba sauti inatetema kama tractor lakini badala ya majaji kuwa mean wanakuwa mentor na kuwaambia nini cha kufanya na wapi wanakosea.
wafanye mazoezi zaidi pia warudi tena mwaka mwingine kuja kujaribu tena.

Kwenye The Voice utakuta jaji anamuambia mshiriki jinsi gani ya kuimba au asimame vipi na ashikilie chombo vipi.

Wako so professional na serious na wanachokifanya.

Huku kwetu BSS ni kama comedy au kipindi cha kuaibisha, udharirishaji na kubeza watu wanaojaribu na kuwacheka (humiliation tv show)
Maana ya kuwa jaji yes ni kukosoa lakini sio kukosoa kwa kumuaibisha mtu na kumbeza au kumgeuza kituko.

Mfano jaji anaingia chini ya meza makusudi, anacheka mpaka kuinamia meza, kumwambia huna kipaji unajisumbua bure.
Au kama walivyomwambia harmonize kwamba hana kipaji na anaharibu wimbo wa malaika (fvkthem sasahivi harmonize ana pesa na kipaji kushinda wao wala huyo muimbaji wa malaika haoni ndani hata kwa microscope wala hajulikani alipo)

Kuimba sio kipaji tu bali ni mazoezi mengi ili kujua uwezo wako na udhafu wako na uzeofu wa kutosha wa kuweza kucontrol vocal cords zako.
badala ya kumwambia mshiriki nini cha kufanya, wapi anakosea ili ajirekebishe badala yake wanamfanya ajione sio chochote na akate tamaa.
Wako so unprofessional ni kuuza sura na uswahili mwingi na mambo mengine ya kijinga.

Solution ni watokee watu wengine walio serious na wanachokifanya.
 
Hujawahi kuamua hata mashindano ya komborela halafu unakosoa majaji wa BSS? Anzisha mashindano yako uwabembeleze washiriki.
Mkuu acha kuwa na akili na tabia za nyani ambaye hafikirii wala hajui kwamba wengine wanaumia au lah sababu hawana Utu.
Hebu nenda kaangalie America's Got Talent na The Voice then ujifunze. wao pia wana mapungufu yao lakini hawapo kama hawa waswahili wa BSS.

KENGE WEWE..

Unaona nimekuita kenge hasira zimepanda na unataka kunirudishia mvua ya matusi.
Sasa imagine mtu akudharirishe mbele ya camera kila mtu anaona ndugu zako hadi familia yako then uone utajisikiaje.

Ungelijua hilo usingeandika hii post yako.
 
Mimi ni mfuatiliaji wa AGT na The Voice, wale jamaa huwa wastaarabu sana hata kama unafanya ujinga kwenye stage.
Ni mara chache unaweza kuta washiriki ni wakorofi hivyo majaji hureact lakini sio kwa matusi bali hutwa security.

Pia kingine mara nyingi ni watu wenye elimu ya music au uzoefu kwenye hiyo sector.
Unaweza kuta mtu ata sauti ya kuongea haitoki, au akiimba sauti inatetema kama trector lakini badala ya majaji kuwa mean wanakuwa mentor na kuwaambia nini cha kufanya na wapi wanakosea.
wafanye mazoezi zaidi pia warudi tena mwaka mwingine kuja kujaribu tena.

Kwenye The Voice utakuta jaji anamuambia mshiriki jinsi gani ya kuimba au asimame vipi na ashikilie chombo vipi.

Wako so professional na serious na wanachokifanya.

Huku kwetu BSS ni kama comedy au kipindi cha kuaibisha na kubeza watu wanaojaribu na kuwacheka (humiliation tv show)
Maana ya kuwa jaji yes ni kukosoa lakini sio kukosoa kwa kumuaibisha mtu na kumbeza au kumgeuza kituko.

Mfano jaji anaingia chini ya meza makusudi, anacheka mpaka kuinamia meza, kumwambia huna kipaji unajisumbua bure.
Au kama walivyomwambia harmonize kwamba hana kipaji na anaharibu wimbo wa malaika (fvkthem sasahivi harmonize ana pesa na kipaji kushinda wao wala huyo muimbaji wa malaika haoni ndani hata kwa microscope wala hajulikani alipo)

Kuimba sio kipaji bali ni mazoezi mengi ili kujua uwezo wako na udhafu wako na uzeofu wa kutosha wa kuweza kucontrol vocal cords zako.
badala ya kumwambia mshiriki nini cha kufanya, wapi anakosea ili ajirekebishe badala yake wanamfanya ajione sio chochote na akate tamaa.
Wako so unprofessional ni kuuza sura na uswahili mwingi na mambo mengine ya kijinga.

Solution ni watokee watu wengine walio serious na wanachokifanya.
Mkuu umemamliza hizi show zao wala mm siangaliagi maana wanawazalilisha sana watu na mijitu haikomi kwenda sijui inajisikiaje inapochekwa vile.Mm unicheke vile nakutupia mike usoni ukashonwe hata nyuzi tano ili uwe na adabu.
 
Habari zenu wakuu,

Nimeamua Leo kuleta mada hii haswa mamlaka pigeni marufuku shindano la BSS kwa sababu hakuna anaestahili kuwa jaji pale na ndio maana pamoja na serikali yetu haina mpngo mbdala wa kuzalisha wasanii ila ndani ya nchi yetu kila mwenye pesa anaenda studio.

Hebu tuangalie nchi za wenzetu jinsi wanavyotafuta waimbaji hakuna jaji hata mmoja anaemwambia mshiriki una sauti mbaya ila hapa kwetu jaji anatamka wazi anakwambia huwezi kuimba sasa ukiangalia huyo jaji wenyewe hata chombo kimoja cha muziki hawezi piga

Tujaribu kuangalie wahindi wanapotafuta waimbaji wale majaji ni watu walioshiba.

Ni wasanii wakubwa hata ukiangalia nyimbo zao youtube utapata ushahidi kwa mfano jaji awe Himesh Reshmiya

Au Sonu Nigam
Au Udit Narayan
Au Kumar Sanu

Hapo ikitokea MTU ameshinda hawezi potea sasa hawa majaji wetu sasa Sijui wametokea kwenye kitengo gani kuhusu Sanaa au uimbji au kwakuwa maarufu hapa kwetu
Ukiambiwa ukweli ndio vizuri. Kuimba kunatakiwa mafunzo- hata kama una kipaji , lazima upitie mafunzo ya sauti na kadhalika. Majaji wa Bongo star search wanakuambia ukweli - uende kujipanga upya. Kufanikia hapa duniani lazima uweze kuhimili lawama, kutuliza hasira, na kupokea sifa zinazokuja kwako.
 
AGT na The Voice ina majaji wastaarabu na wengine huwa mpaka wanalia kubembeleza washiriki.

Sasa niambie Tanzania na Marekani wapi wanatoka waimbaji bora?
 
Habari zenu wakuu,

Nimeamua Leo kuleta mada hii haswa mamlaka pigeni marufuku shindano la BSS kwa sababu hakuna anaestahili kuwa jaji pale na ndio maana pamoja na serikali yetu haina mpngo mbdala wa kuzalisha wasanii ila ndani ya nchi yetu kila mwenye pesa anaenda studio.

Hebu tuangalie nchi za wenzetu jinsi wanavyotafuta waimbaji hakuna jaji hata mmoja anaemwambia mshiriki una sauti mbaya ila hapa kwetu jaji anatamka wazi anakwambia huwezi kuimba sasa ukiangalia huyo jaji wenyewe hata chombo kimoja cha muziki hawezi piga

Tujaribu kuangalie wahindi wanapotafuta waimbaji wale majaji ni watu walioshiba.

Ni wasanii wakubwa hata ukiangalia nyimbo zao youtube utapata ushahidi kwa mfano jaji awe Himesh Reshmiya

Au Sonu Nigam
Au Udit Narayan
Au Kumar Sanu

Hapo ikitokea MTU ameshinda hawezi potea sasa hawa majaji wetu sasa Sijui wametokea kwenye kitengo gani kuhusu Sanaa au uimbji au kwakuwa maarufu hapa kwetu
Kwani hayo mashindano Bado yapo? Mara ya mwisho kufuatilia hiyo Bongo star search ni kipindi cha Muhula wa Kwanza wa JK
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom