sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa wapi jamani, mbona kimya sana

    Nauliza mzee Lowassa yupo wapi? Mbona hatumsikii kabisa. Tumezoea kumuona mzee Lowassa akitoa maoni yake kuhusu mwenendo wa Serikali aidha kukosoa au kusifia lakini amekuwa kimya muda mrefu sijui yupo wapi?
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mirathi ya Mengi inafikirisha sana

    Najaribu kuwaza nikifuatilia kisa hiki cha mirathi ya Mengi na najiuliza maswali mengi kuhusu haya maisha. Mengi amepigana akajenga familia yake na biashara zilizomfanya mmoja wa matajiri wakubwa nchini. Akiwa katika uzee wake, akaachana na mkewe na karibu kila kitu kinavurugika. Ugomvi ndani...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Hili la wamachinga kurudi kwenye maeneo waliyoondolewa, wasaidizi wa Rais Samia wajitafakari sana

    Ni muda kidogo sasa tangu kutekelezwa kwa agizo la kuwaondoa Wamachinga maeneo ya katikati mwa majiji na miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha kwa lengo la kuwapanga vizuri lakini pia kuyaweka maeneo hayo katika hali ya usafi. Habari mbaya ni kwamba katika maeneo mengi...
  4. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya washika dini sana na roho mbaya/ubinafsi? Maana ni kama hivi vitu havitengani!

    Kichwa cha mada kimejitosheleza, yaani kwa utafiti hawa watu machoni petu huonekana wema na wenye msaada mkubwa sana kwetu. Ila ukianza kuwa karibu nae ndio utagundua ni watu hatari sana kwenye maisha. Kwako anaweza onekana mwema sababu kilichowakutanisha ni suala la dini tu. Ila kwa wale...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Cuba, taifa lilikua na uswahiba wa karibu sana na Urusi, laomba msaada Marekani

    Sio rahisi kuepuka Marekani.... Cuba has asked the United States for help in restoring a major fuel storage plant devastated by a massive fire that left 16 people dead, the island nation's foreign ministry said on Friday. The request was made during an online meeting Wednesday between experts...
  6. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana rafiki yangu wa mtandaoni

    "Ahsante sana RAFIKI YANGU wa mtandaoni." Hii ni special kwako wewe rafiki yangu wa mtandaoni. Rafiki yangu ambae mitandao ya kijamii imetufanya tuwe karibu zaidi kama watu tuliopitia historia moja ya maisha. Tangeni, Mzumbe - Morogoro ndipo nilipozaliwa na kusoma shule ya msingi kabla ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania MB za Tigo zinakimbia sana au ni kwangu tu?

    Mambo vipi wadau, MB za tigo zinayeyuka sana. Kitendo cha kuunga bando tu, baada ya dakika chache wanakutumia ujumbe umetumia 75% ya kifurushi chako! Hivi ni kwangu mimi tu au ni kwa wote?
  8. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayomkuta Macon greenwood wa man utd.Ulaya kula kinyama ni ngumu sana.

    Nimepitia mitandaoni. Pamoja na talent yake mchezaji kinda wa Man utd ana Hali mby Sana. Makampuni yanajitoa na kuapia kutojihusisha na mwingereza huyo mshambuliaji wa united. Kwa hali hiyo Ulaya kula kinyama hicho ikiwa hujaoa ni ngumu sana. Na hata kama umeoa mkuu uache yeye(mchuchu)atake...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hatutaki Akope wala hatutaki Tozo! Noma Sana!

    HATUTAKI AKOPE! WALA HATUTAKI TOZO! Anaandika, Robert Heriel Nikiwashauri tuvamie mataifa mengine mnaniona Popoma! Mnaona siwezi kufikiri vizuri! Sawa bhana! Ipo siku mtanielewa hata Kwa kuchelewa. Jueni kuwa Taikon hafikirii akiwa ananjaa au akiwa ameshiba. Ninafikiria nikiwa nimetuliza...
  10. Ituzaingo Argentina

    JamiiForums Tanzania Messi hajaacha mambo yake, hatari sana.

    Huyu mwamba bado anaendeleza ubabe wake, huyo mchezaji nimemuonea huruma 😀😀 Kweli mpira una mtii huyu fundi Kwangu mimi MESSI ni Best player ever ever ever.. ibanezafrica
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hasa akina Dada hili Jambo si sawa Jamani tunatafutiana tu sababu za kuonana wabaya n.k chonde chonde sisi wengine zinatuathiri sana tu

    Hizi issues mkianika nje sisi wengine tunapatwa na hisia kinyama....yaani tena nikiona sehemu ambapo papuchi inakaa nadata kabisa ... Msianike nje please. Nyumba moja nlipanga dada mmoja akawa anaanika nje vifuniko vyake....siku moja nlimfuata na kumsihi sana asiendelee kufanya hivyo akaniambia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya huu mkubwa wa Waziri wa Madini Dotto Biteko unanipa sana Mashaka!

    Viongozi wa dini husema ukijua umefanya dhambi moja kubwa sana hapa duniani basi jitahidi utubu na usali mno kabla Mwenyezi Mungu hajakuita mazima.
  13. FourTwoNet

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado changa sana, hata hatujafikia teenage years

    Habari wakuu, Bila mengi, moja kwa moja naenda kwenye mada. Ukiangalia kwa umakini, viongozi wetu wakubwa wanaoindesha serikali kwa wakati huu, wengi wao ni watu waliozaliwa miaka ya 1960's. Wapo mpaka wa 1950's huko....na wachache sana ni wa 1970's...hadi kufikia 1980's ni wa kubahatisha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete, Nguvu unayoitumia Kutuhamasisha 'Kusensabika' ungeitumia kumwambia Rais apunguze Tozo tungekuona wa maana

    Mbona Viongozi Wenzako wengine hawana hiki Kiherehere kama ulichonacho? au huo Unaibu Uwaziri sasa Umeshauchoka na Unajipendekeza kwa Mama Ili ikimpendeza sasa akuteue Waziri Kamili kabisa? Tafadhali hebu hamishia hii Nguvu Kubwa unayoitumia kutuasa Kusensabika kwa kumwambia Rais ( Mama )...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

    Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI. Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Hivi wale majaji wa zamani hapa Tanzania mbona walikuwa imara sana?

    Nakumbuka kesi nyingi nzito Serikali ilikuwa inapigwa chini. Wakina Mtikila, Masumbuko Lamwai, Mabere Marando nk. kama wana hoja za msingi wanashinda kesi. Siku hizi mbona vijikesi vidogo tu ni mwendo wa kuahirisha kwa week moja au ndiyo kusikilizia maamuzi kutoka juu?! This is very sad and...
  17. co fm

    JamiiForums Tanzania Watoto waliotelekezwa huwa wana bahati sana

    Habarini za humu wana jamii, I hope mmeamka vizuri sana leo pamoja na changamoto ya tozo katika taifa letu hapa Tanzania. Kuna kautafiti kadogo nimekafanya na nimegundua kwamba asilimia kubwa sana ya watoto waliotelekezwa na baba zao huwa wanakismati sana katika maisha. Yaani hata kama sio...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mikono yako ni lango la baraka zako, ichunge sana mikono yako

    Mikono yako ni lango eidha la kupitisha baraka au la kupitisha laana kwenye maisha yako. Tunapata utajiri kupitia mikono, tunapata afya kupitia mikono, tunapata umasikini kupitia mikono na tunapata magonjwa kupitia miko. Tuichunge mikono yetu kwa kuiombea, kuinawisha kwa maji ya upako/ ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wadangaji hatari sana. Unakunywa bia ya 1500 yeye anaagiza St Anna bila hata aibu

    Yaani hayana hata aibu. Kisa tu umeliita mahala njoo ili upate kilaji alafu nikupige mashine. Linaaagiza wine wakati lina njaa na matatizo lukuki.
  20. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Sensa swali hili ni muhimu sana kuliko swali la kufa, lakini mmelikwepa

    Moja ya mambo muhimu sana kwenye nchi wakati wa sensa ni serikali kujua wananchi wake wanakula milo mingapi kwa siku, nilitumai nitaulizwa lakini nikaulizwa kama nina tatizo la kiafya! Ni vipi unamuuliza hali ya afya yake mtu ambaye hata kupata mlo mmoja kwa siku hana uhakika! Bahati mbaya...
Back
Top Bottom