Serikali yoyote inayokopa sana inaongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wake na mfumuko wa bei

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,175
11,177
Leo napenda kuongelea madhara ya serikali kukopa sana ndani na nje ya nchi.

Deni nikitu kizuri ila pia deni laweza kuwa chungu pindi unacho zalisha na kile unatakiwa kulipa vina zidiana.

Unaweza chukua mfano wa mtu tu anapo kopa let say 100m na anatakiwa rudisha kila mwezi 3m ila anazalisha 2m bado hajatoa pesa za uwendeshaji ili alipe deni hapo ndipo chungu ya deni huwa chungu zaidi.

Deni la taifa kwa serikali zipo imara na taasisi zote zipo free pasipo kuingiliwa na serikali deni la taifa lina kikomo na Rais hawezi kukopa nje ya GDP ya Taifa. Yani big no.

Deni la taifa lina sababisha mambo mengi ktk uchumi na maisha yakila siku ya wananchi. Deni linalipwa na serikali kwa niaba ya wananchi wala hakuna mbadala wakulipa deni. Kupitia deni lingine liwe la mashariti marahisi au magumu.

Hakuna malipo ya deni yasio na riba iwe ni mkopo wakawaida au mkopo wa Kiislam wote wanakata riba sema wanatofautiana ukokotoaji.

Deni la taifa hufanya vitu kupanda na gharama za maisha kuwa juu. Nahii inatokana na serikali kuongeza makato na kodi mbali mbali ili kuweza ku meet obligation kwenye kulipa madeni.

Deni la serikali lina kitu kina itwa grace period yani serikali inakopeshwa nakupewa muda wakuto kulipa kwa mwaka au miaka ili wamalize mradi .. na madeni haya huwa Yana lipwa kwa muda mrefu sana.

Tuseme ukweli serikali ina madeni yamesha mature hivyo nilazima yalipwe ila the same serikali ina matumizi kama kulipa mishahara, manunuzi na ulinzi na usalama wa taifa na ina semekana malipo ya mishahara ni Billons of tz karibu nusu ya mapato kwa mwezi.

Nitaendelea..
 
Mkuu nadhani mpasuko na vita VYA maslahi vimepamba moto ndani ya CHAMA!!naona leo hujapost komenti kuhusu Mabadiliko ndani ya CHAMA tawala!!umesusa!!?
 
Alikuwepo Mr born town mkasema anacheka sana haya akaja mkali kweli kweli mkasema kwanza sio raia ubabe umezidi haya jinsia tofauti bado mnalia lia kwani mnataka nini?
 
Acha kumkosea mkongwe!!uchawa utakuua wewe!!Sasa kadanganya nini WAKATI KWELI TUPU!!
Kulipa deni sio lazima makato yaongezwe,unaweza lipa deni kwa Kukopa tena na unalipa deni kwa mapato yanayoongezeka kutokana na ukuaji wa uchumi..

Nchi haiwezi enda bila Kukopa ,China yenyewe hadi kufika hapo imekopa Sana na bado inaendelea Kukopa..

Kwanza Tzn hata hatuna deni la kutisha yaani til.64 ni pesa ndogo sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom