lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,147
- 33,297
Kwanza kabisa tukubali kuwa Urusi ni mwamba.
Pia tukubali kuwa ni kweli hii ni operation maalumu kama Wanavyoiita wao Urusi.
Ni kweli lengo la Urusi ni kuiodhiofisha kijeshi Ukraine na ni kweli Sasa Ukraine imedhoofika kabisa kijeshi kwa sababu kambi zake zote muhimu zimeharibiwa na miundimbinu mingi sana ya kijeshi imeharibiwa na hilo ndio lilikua moja ya malengo muhimu ya Urusi.
Lengo kingine kubwa kabisa ni kua Ukraine haitajiunga milele na NATO.
Na hapa ndio mzizi wa fitina ulipo na Urusi kashamaliza kazi.
Ukraine akija kujiunga na NATO basi watu wa west wote ni vichaa.
Tukubali kuwa hakuna muda maalumu tuliotangaziwa na Urusi kuwa hii Operation Yao itadumu mda Gani,hili tusiwalishe maneno.
Kama Kuna mtu alisikia kuwa walitamka itadumu mda Gani anitajie ntafuta aya hii ya mda.
Vita Ina Siri nyingi sana ,Kambi ya Ukraine Wana Siri zao na Kambi ya Urusi Wana Siri zao.
NATO haiwezi kuingiza majeshi yake.
Kama TU kuiwekea vikwazo Urusi Hali za kiuchumi za nchi nyingi duniani zimeanza kuyumba na zaidi kwa hizo nchi zilizoweka vikwazo,yaani nchi za Magharibi.
Je itakuaje kama nchi hizo zitaingiza majeshi yake Ukraine kwenda kupambana na Urusi?
Tuanze .
Iraq iliivamia Kuwait,USA na washirika wake ambao wengi ni NATO walitenda upande wa Kuwait na kumpiga Iraq Hadi kumrudisha nyuma,nyumbani kwake.
Sasa kwa mzozo huu,maana yake NATO wataingia Ukraine kumpiga Urusi na kumtoa Ndani ya Ukraine.
Je hili linawezekana?
Ukweli ni kwamba NATO wakiingia Maana yake Urusia atalazimika kubadili mbinu za vita kutoka operation na kua vita kamili.
NATO wanaujua uwezo wa kijeshi wa Urusi hawawezi kuingia kizembe wataingia na nguvu kubwa,Urusi nae ataongeza nguvu na atabadilisha shabaha,kutoka kupiga Kambi za Ukraine na kuanza kupiga Kambi za nchi za NATO.
Hapa ndipo Wananchi wa nchi za west hawatawaruhusu Viongozi wao waingie.
Vita hiyo itakua hivi.
Naomba niongelee upande wa Urusi kwanza kwa kirefu.
NATO wakiingia Urusi ,(na hata west ) kitu Cha kwanza ambacho " natoa mfano TU" wanachweza kufanya ni kama vita kati ya NATO na Urusi ikipamba moto,ni kwa uwezo wao wa makombora ni kupiga ama kulenga Kambi zote za kijeshi za nchi za NATO Ulaya na Marekani,
Kulenga na kupiga makao makuu yote ya nchi za NATO Ulaya na Marekani,ili kuharibu mawaziliano ya kutoa amri au miongozo ya kivita.
Kupiga na kulipua viwanda vyote vya silaha vya nchi za NATO,
Kulipua na kuangamiza viwanda vyote muhimu,viwanda mama,viwanda UTI wa mgongo wa nchi za NATO,ili kizidhoofisha kiuchumi nchi hizo.
Kulenga ama kupiga miundimbinu yote ya nchi za NATO,
Kupiga ikulu zote za NATO,
Kuharibu kwa kulipua kwa makombora sehemu zote za kiuchumi,kama viwanda na sehemu muhimu zote za biashara,visima vya mafuta ,migodi na sehemu zote zinazowaingizia mapato.
Kulipua na kuharibu Bandari zote, air pot zote railway station zote za nchi za NATO.
Klipua Kambi zote za Kijasusi za nchi za NATO,
Kwa uchache ni hayo.
Sasa tuje kwenye athari,
Unajua sehemu zote hizo ni zinztoa ajira?
Ni raia Gani wa ulaya au USA Yuko radhi kupoteza ajira kwa sababu ya ujinga wa Ukraine kutaka ajiunge NATO?
Ni nchi Gani mwanachama ama asie mwanachama wa NATO Yuko tayari kwa mtafaruki huo?
Je Dunia inayojiita ya wastaarabu wako tayari raia wao wawe wakimbizi Afrika? Au Uarabuni au Mashariki ya mbali? Kwa sababu ya Ukraine lazima ijiunge NATO?
Kwa uchache ni hayo.
Lakini pia wafuasi wa NATO,mliwahi kufikiria kuwa kama NATO ikiingiza majeshi Ukraine kupambana na Urusi kuwa Uchina nayo haitaacha kuingia upande wa Urusi,Korea Kaskazini,Iran,Syria na nchi nyingi nyinginezo zikimsapoti Urusi?
Wanamgambo mbalimbali kama Hizbola,mamluki wasioipenda NATO na. Vikundi tofauti tofauti.
Jamani NATO sio kwamba inapendwa na watu wote.
Nimeyafikiria hayo kwa kuangalia pia kuwa hata NATO nao wanawaza kua ikitokea vita kati Yao na Urusi hata wao pia inawezekana shabaha zao au malengo Yao nao ni kupiga sehemu muhimu za kijeshi na kiuchumi za Urusi.
Sasa je Raia wa NATO wako tayari kwa Hali hiyo?
Nimetoa maoni yangu TU jamani.
Wasiwasi ndio akili.
Vita sio nzuri
Lakini kama hamna makubaliano kwa njia za mazungumzo ndio watu huanzisha vita,pengine upande unaokataa mazungumzo huelewa zaidi lugha ya vita.