Kuna Watanzania ni makatili sana na hawana upendo kabisa. Wanafurahia nini kuona dunia ikikosa amani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,834
Nchi ina mijitu ina roho mbaya hii sijapata kuona. Watu wanauana huko Ukraine 🇺🇦, watu wanashangilia utadhani mechi ya mpira wa Mrs Simba na @mr Yanga.

Hawa wanajiita team Ukraine 🇺🇦 wakiongozwa na Mkenya anayetamani sana kuwa Mtanzania MK254 , na pia kuna team Russia 🇷🇺 inayoongozwa na Yericko Nyerere .

Serikali nayo iko kimya tuuuu utadhani haiathiriki na vita inayoendelea.

Serikali ya CCM kwa miaka nenda rudi tangu tumepata uhuru wa kuchovya mwaka 1961 hadi leo wamekuwa wakisadikisha raia wake kwamba wana chombo cha kuleta amani.

Yaani namna hicho chombo kinavyofanya kazi ni kwa njia moja tu, na kina leta amani fastaaa.

Chombo hicho kinaitwa mwenge, mkikiwasha mnakizungusha kwenye mipaka na kila mahali mnapotaka amani itokee na ghafla amani hupatikana.

Yaani kama ulikuwa umeshika binduki ghafla bin vuuu utajikuta umesgika mshumaa mweupe unaware, amani, amani, amani.

Lakini serikali hii haitaki kupeleka huo mwenge Ukraine ili , uzungushwe amani ipatikane.

HUO NI UKORRRRROFFFFFFIIIIIIIIIII
 
Shukrani sana sikua nimejua nimefikia hadhi ya kuwa kiongozi wa timu Ukraine, maana historia inaenda kuandikwa, Mrusi aliingia kwenye nchi ya watu na kufanya mauaji ya kimbari, na kwamba nilikua mmojawapo wa waliopinga hayo mauaji, natumai JF bado itakuwepo ili niwaonyeshe wajukuu zangu nyuzi zangu.

Leo hii kunao watu hujivunia kwa namna moja au nyingine uhusika wao dhidi ya Hitler, ila pia waliokua wanamuunga mikono wamebaki kimya, hizo habari huwa hawazitaji ili wasisemwe vibaya na wajukuu zao.

Tanzania imeingiza mkia katikati ya miguu na kuogopa kutoa tamko la kiujasiri, aidha ikemee huu uvamizi na mauaji au ifungamane na Urusi, nafikiri ndivyo mlifanya hata kwa Rwanda miaka ile, jirani zenu hapo walichinjana mpaka basi, mkapiga kimya.

Stand up and be counted, history is being writen right in front of our eyes.
 
Acha wanyukane ulimwengu wetu watatu hayatuhusu au kama unauwezo kaamue huo ugomvi
 
Ulikuwa shabiki hukuwa mpingaji
 
Nchi ina mijitu ina roho mbaya hii sijapata kuona. Watu wanauana huko Ukraine 🇺🇦, watu wanashangilia utadhani mechi ya mpira wa Mrs Simba na @mr Yanga.

Hawa wanajiita team Ukraine 🇺🇦 wakiongozwa na Mkenya anayetamani sana kuwa Mtanzania MK254 , na pia kuna team Russia 🇷🇺 inayoongozwa na Yericko Nyerere .

Serikali nayo iko kimya tuuuu utadhani haiathiriki na vita inayoendelea.

Serikali ya CCM kwa miaka nenda rudi tangu tumepata uhuru wa kuchovya mwaka 1961 hadi leo wamekuwa wakisadikisha raia wake kwamba wana chombo cha kuleta amani.

Yaani namna hicho chombo kinavyofanya kazi ni kwa njia moja tu, na kina leta amani fastaaa.

Chombo hicho kinaitwa mwenge, mkikiwasha mnakizungusha kwenye mipaka na kila mahali mnapotaka amani itokee na ghafla amani hupatikana.

Yaani kama ulikuwa umeshika binduki ghafla bin vuuu utajikuta umesgika mshumaa mweupe unaware, amani, amani, amani.

Lakini serikali hii haitaki kupeleka huo mwenge Ukraine ili , uzungushwe amani ipatikane.

HUO NI UKORRRRROFFFFFFIIIIIIIIIII

IMG_20220302_115525_094.jpg
 
We jamaa wee Mungu anakuona
 
Shukrani sana sikua nimejua nimefikia hadhi ya kuwa kiongozi wa timu Ukraine, maana historia inaenda kuandikwa, Mrusi aliingia kwenye nchi ya watu na kufanya mauaji ya kimbari, na kwamba nilikua mmojawapo wa waliopinga hayo mauaji, natumai JF bado itakuwepo ili niwaonyeshe wajukuu zangu nyuzi zangu.

Leo hii kunao watu hujivunia kwa namna moja au nyingine uhusika wao dhidi ya Hitler, ila pia waliokua wanamuunga mikono wamebaki kimya, hizo habari huwa hawazitaji ili wasisemwe vibaya na wajukuu zao.

Tanzania imeingiza mkia katikati ya miguu na kuogopa kutoa tamko la kiujasiri, aidha ikemee huu uvamizi na mauaji au ifungamane na Urusi, nafikiri ndivyo mlifanya hata kwa Rwanda miaka ile, jirani zenu hapo walichinjana mpaka basi, mkapiga kimya.

Stand up and be counted, history is being writen right in front of our eyes.
Kwa nini hukupinga mauaji ya raia wa libya tena wengine ni wabantu kama wewe waliouwawa na madege ya NATO.
 
Halafu Uzi wangu wameufuta.
Hakuna mabadiliko makubwa yaliyotokea katika ulimwengu huu bila kupigana vita.
 
Eti tushiriki kuandika historia 🤣🤣.... Maisha ni haya nayoishi sasa, hata kama ukija kutajwa na kila binadamu haikufai kitu wakati ukiwa chakula cha siafu na mchwa huko chini ya Tani 7.

PUTIN kama vipi hiyo kitu ya NYUKLIA fungulia tu watakaobaki wataanza UPYA..
 
Back
Top Bottom