Mrema kaona mbali sana, sisi tunapiga mayowe tu kwa kutojua siasa makini

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Mrema ni Mchaga makini sana. Anaweza kubalance biashara, maisha na siasa. Kwa kifupi Mrema ni mwanasiasa mfanyabiashara. Kila alifanyalo analiwekeza kwenye kupata.

Pamoja na kuwa mpinzani Mrema ameendelea kutambulika na kila Serikali tangu Enzi za Mkapa wakati Chama chake kilikuwa kinakula ruzuku tamu sanaaaaa!

Hapa Mrema anacheza na biashara ya kisiasa ninyi mnaona kaoa. Huyi mmama aliyemwoa ni mtu wake wa siku nyingi na ni mshauri wake makini sana. Mrema ndiye aliyemtoa.

Huyu mama wamekubaliana vizuri tu na Mrema kuwa kwa kuwa Mrema anazidi kuporomoka kiafya lakini bado anaihitaji Serikali kumsaidia.

Mrema atasaidiwa na Serikali kupitia huyu mama. Sio muda mrefu huyu mama atateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya au nafasi ingine yeyote ile. Huyu mama anaialika Serikali kumtunza Mrema kupitia yeye! Huyu mama hata Mrema akiondoka leo tayari Serikali imeshamwona.

Uliona Serikali hii imewahi kumtupa Mama Anne Makinda? Au uliona Mama Anna Abdala kuachwa? Je unamwona mama Samweli Sitta?

Mrema na huyu mama ni wajanja sana. Wanatengeneza brand kubwa - Mrema ni mtu wa Serikali hawezi kutupwa kamwe. Huyu anatakiwa kuendelea kuishi na huyu mama akiwezeshwa na Serikali basi Mrema ataishi zaidi!

Ni hayo tu kwa leo!
 
Kwa taarifa yako huyo dada Doris ni mtu mpambanaji kuliko unavyomfikiria.

Kuna mambo umeongea ya msingi ikiwemo kuporomoka kiafya, lakini sio kwa kuvizia uteuzi.

Huyo dada anaendesha biashara zaidi ya tano tofauti na zinafanya vizuri zote mjini Moshi kati.

Sasa unaweza kuiacha biashara kubwa kama hizo ikiwemo kampuni ya Ulinzi ili uende kufukuzia mshahara wa U-DC?

Ebu nenda Global Online tv
emoji342.png
huko YouTube halafu uangalie clip anayotaja vitega uchumi vyake ili umielewe.
 
hata mimi nimeona
ana kampuni kadhaa ikiwemo ya utalii
 
Sasa mwono na mtazamo huo ni wenu wanachukua chako mapema pamoja na vyama vyote ndugu,SII hatuhitaji tote hayo ila mfumo ulikuwa sawa na Bora Kwa maslahi mapana ya taifa letu.Hapa mnatuthibitishia kwani nyie na washirika wenu ni wanachukua chenu mapema (ccm)🤸
 
Sijakuelewa hapa!
 
Doreen sanamu lake lijengwe wapi Jamani?!!..
Maana Ni bosiledii..mrembo..mke na sii tu mke..Ni mke wa Mrema.
 
Ni ngumu Kwa kuwa unaoupande unaoupambania Kwa maslahi Yako na wao.ni hivi umetoa simulizi kumhusisha mrema na Chama chake na kufanya ulinganisho ikiwa ni pamoja na chadema,ila nikataka ujue Chama tawala kinavyo vyama ndugu/au marafiki wa ndani na adui pia.sasa nilitaka ujue kuwa Kila Chama kina mtazamo wa jinsi kushuhulikia mambo ya kichama na hata Yale ya kitaifa.vyenye mrengo sawa vitafanya Kwa mrengo wao.
Sijakuelewa hapa!
 
Mrema ni Mchaga makini sana. Anaweza kubalance biashara, maisha na siasa. Kwa kifupi Mrema ni mwanasiasa mfanyabiashara. Kila alifanyalo analiwekeza kwenye kupata.

Pamoja na kuwa mpinzani Mrema ameendelea kutambulika na kila Serikali tangu Enzi za Mkapa wakati Chama chake kilikuwa kinakula ruzuku tamu sanaaaaa!

Hapa Mrema anacheza na biashara ya kisiasa ninyi mnaona kaoa. Huyi mmama aliyemwoa ni mtu wake wa siku nyingi na ni mshauri wake makini sana. Mrema ndiye aliyemtoa.

Huyu mama wamekubaliana vizuri tu na Mrema kuwa kwa kuwa Mrema anazidi kuporomoka kiafya lakini bado anaihitaji Serikali kumsaidia.

Mrema atasaidiwa na Serikali kupitia huyu mama. Sio muda mrefu huyu mama atateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya au nafasi ingine yeyote ile. Huyu mama anaialika Serikali kumtunza Mrema kupitia yeye! Huyu mama hata Mrema akiondoka leo tayari Serikali imeshamwona.

Uliona Serikali hii imewahi kumtupa Mama Anne Makinda? Au uliona Mama Anna Abdala kuachwa? Je unamwona mama Samweli Sitta?

Mrema na huyu mama ni wajanja sana. Wanatengeneza brand kubwa - Mrema ni mtu wa Serikali hawezi kutupwa kamwe. Huyu anatakiwa kuendelea kuishi na huyu mama akiwezeshwa na Serikali basi Mrema ataishi zaidi!

Ni hayo tu kwa leo!
 
Kwa taarifa yako huyo dada Doris ni mtu mpambanaji kuliko unavyomfikiria.

Kuna mambo umeongea ya msingi ikiwemo kuporomoka kiafya, lakini sio kwa kuvizia uteuzi.

Huyo dada anaendesha biashara zaidi ya tano tofauti na zinafanya vizuri zote mjini Moshi kati.

Sasa unaweza kuiacha biashara kubwa kama hizo ikiwemo kampuni ya Ulinzi ili uende kufukuzia mshahara wa U-DC?

Ebu nenda Global Online tv
emoji342.png
huko YouTube halafu uangalie clip anayotaja vitega uchumi vyake ili umielewe.
Pesa huwa haitoshi akiongeza na za mirathi kama mke wa Mrema huoni atapata pesa nyingi Sana
 
Back
Top Bottom