sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimepata mgeni yuko rafu sana

    1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa. 2. Dawa ya meno anaminya popote tu. 3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na glass zipo. 4. Inshort things are mess
  2. JamiiForums Tanzania Technologically Tanzania bado tupo nyuma sana, ni kama vile tupo 1990s

    Mpaka leo 2023 internet ya fibre ni anasa kwa wachache hata wanaoishi kwenye majiji, yani hizo process za kuja kufungiwa tu waweza kata tamaa labda isp awe kampuni binafsi, wenzetu hapo Kenya hizi ishu za Fibre washazizoea tangu 2010s nyumba kibao kuna fibre unlimited internet. Luku za umeme...
  3. JamiiForums Tanzania Meli yenye Wahindi yapigwa na drone ya Iran

    Mnapenda kulazimisha ugomvi kote kisha mnalia lia kwamba mnaonewa, fahamuni kwamba Wahindi nao ni kama Wayahudi, hupiga sana, temaneni nao, yaani kwenue maugomvi yenu temaneni na Wayahudi, Wahindi, Wachina. Shobo zenu tufanyieni sisi. ===== https://www.youtube.com/watch?v=tdcWFEf-zQI A...
  4. JamiiForums Tanzania Ninawapenda sana walimu wangu

    Japo ni miaka mingi sijaonana na wengi wao, lakini ningali nikiwakumbuka sana. Wapo walionifundisha shule ya Msingi, wengine Sekondari, wengine High School na wengine Chuo Kikuu. Wote hao ni walimu wangu na ninawaheshimu wote. Kama ningetakiwa nitoe kipaumbele katika kuwaheshimu, ningeanzia na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni lini Zanzibar itatangaza mashoga na mateja kuwa janga la kitaifa? Hali ni mbaya sana hapa visiwani

    Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua. Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi. Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu vinashangaza sana

    Yaani watu wako radhi kukumbatia dhambi za ajabu sana ila papa kagusia tu kuwahurumia mashoga imekuwa nongwa. Waafrica ni wapuuzi wa kufikiri. Angalia hii: Watu Hawa wanazini wazi wazi ila huwezi kukuta makanisa au misikiti inawafikuza zaidi ni kuwakumbatia kwa sababu wana hela: 1. Diamond...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera sana Jerry Silaa. Naona mwanzo wa nchi yetu yote kupimwa na kupangwa chini yako

    Kama kuna jambo linalonifanya kila siku niseme inawezekana nchi yetu tulilaaniwa ni namna ambavyo nchi yetu imejengwa vibaya bila mpangilio. Yaani namna watu wanavyojijengea hovyo hovyo tu bila mpangilio na kupangwa. Kila siku tumekuwa tukiandika humu na kusema humu huku titicaca Serikali...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Beberu anamtaka sana Iran ajiingize Gaza

    1. Joe Biden ametimba Camp David kinafiki kwa mapumziko ya Christmas; masikitiko yake kulikoni Iran hajichanganyi Gaza? 2. Kwenye simu yake na Natenyahu kabla ya kuelekea mapumzikoni, amempa Natenyahu baraka zote: "kazi iendelee, Mungu si Athumani." 3. Kwake yeye, kila shambulizi dhidi ya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fangasi zinateketeza sehemu zangu za siri kwa kasi sana

    Wakuu, Ni muda sasa kumekuwa na fangasi kwenye pumbu zangu lakini sikuchukulia serious , kila nilipofatilia naambiwa ni usafi tu , basi naongeza usafi na precaution zingine huku maisha yakiendelea. Nimeishia nayo kama miaka sita hivi. Rate ya kueneaa kwake ilikuwa ndogo tu lakini kilichonistua...
  10. JamiiForums Tanzania Njaa ilinidhalilisha sana kwenye harakati zangu za kutafuta ajira

    ndugu zangu ukiona giza nene jua kumekaribia kucha. katika safari yangu ya utafutaji wa kazi na ajira nipate ridhiki yangu aiseeeh siwezi sahau. njaa kali,kufubaa, kudharaulika na kukosaa nauli za daladala na basi wakati nasambaza bahasha na usahili ilikua jambo lakawaida. uso wangu ulipoteza...
  11. JamiiForums Tanzania Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

    Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki. Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani...
  12. JamiiForums Tanzania Hali ya upatikanaji wa ajiraTanzania kwa sasa ni ngumu sana

    Kutokana na uzoefu wangu. Kwa sasa Tanzania ajira ni adimu kuliko wakati wowote ule. Wakati mnapiga makelele ya mgao wa umeme. Kaeni mkijua graduates wanasota sana huku kitaa bila maelezo. Miaka kumi iliyopita ajira Tanzania zilikuwa za kumwaga hali haikuwa hivi. Kuna kila dalili kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania Asec schools wana jipya gani. Maana naona ime trend sana.

    Kuna shule nyingi zime simama shule kama Tusiime Zhabika St Ane Maria Fortune Sahara Abc school FOUNTAIN GATE ACADEMY GREENHILL PRIMARY SCHOOL MAJMAAL BAHRAIN PRIMARY STMAXIMILIAN PRIMARY SCHOOL - PS0202113 Ziko fire kwanini hawa Ask school wasumbue hivi??
  14. JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, Eti Shilole naye ana msanii 😂😂😂😂😂😂

    Maisha yanaenda kasi sana eti shishi baby naye ana msanii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Msanii wake mwenyewe ni mpishi wake wa shishi food 😂😂😂😂😂 Sasa cha kuchekechesha ni kwamba eti msanii ataendelea kupika na kutosha vyombo kama kawaida hapo shishi food wakati huo huo atakuwa anaimba 😂😂😂😂😂 Aliponiacha hoi Sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Wakatoliki mmeniangusha sana ndugu zangu. Ina maana kweli mmekosa watu wa kubadilisha upepo wa papa?

    Poleni sana ndugu zangu wakatoliki kwa taharuki mliyo ipata baada ya kauli tata ya papa. Binafsi wala hata sioni threat ya maneno ya papa kwa ustawi wa kanisa katoliki duniani.. Wala sioni damage yoyote kwa kanisa katoliki. Na hii ni kwa sababu, maneno ya papa yana loop holes nyingi mno na...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu; Chama Jr akija Yanga, Benchi litamuhusu sana. Nashauri aende Azam

    Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi. Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi. Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga! Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.
  17. JamiiForums Tanzania Ni Msemo gani Umebamba Sana Mitaani Mwaka Huu 2023

    Kumekuwa na misemo mingi sana iliyotamba na kushika umaarufu mitaani kwetu. Wanajamvi tukumbushane hapa misemo iliyojipatia umaarufu nchini katika mwaka huu wa 2023 ambao umebakiza siku chache utamatike.
  18. JamiiForums Tanzania Wangapi tumeangalia series nyingi kiasi kwamba tunateseka sana kupata series mpya za kuangalia

    Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini. Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
  19. JamiiForums Tanzania Nimegundua hii njia ni salama na ya raha sana kwa mapenzi naenjoy sana

    kwa sasa kiukweli sitaki kabisa papuchi.... unanipenda nakupenda tunaenda sehemu nakupa MIC cheza nayo..... sitaki kabisa kujihusisha na papuchi magonjwa mengi sana na huko chini hakuna raha kama mtu kunyonya Hot Cream. yaanii huwa sina maneno maneno.... na hii ni rahisi tu naenda sehemu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simba wamechukia sana Diara kupangua Penati

    Hii mipira inatupeleka kusiko kabisa . Diara kupangua Penati jana eti kuna wabongo wameumia kuzidi hata Medeama. Inaelezwa chuki hii ni kwasababu AMEHARIBU VIBE LILILOKUWA LINA TREND LA AYOUB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…