Hali ya upatikanaji wa ajiraTanzania kwa sasa ni ngumu sana

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,444
8,296
Kutokana na uzoefu wangu. Kwa sasa Tanzania ajira ni adimu kuliko wakati wowote ule.

Wakati mnapiga makelele ya mgao wa umeme. Kaeni mkijua graduates wanasota sana huku kitaa bila maelezo.

Miaka kumi iliyopita ajira Tanzania zilikuwa za kumwaga hali haikuwa hivi. Kuna kila dalili kabisa uchumi wetu umepalaganyika hasa kupanda kwa gharama za maisha kila mtu anabana matumizi.

Hata wanaopta ajira kwa sasa most of them are.underpaid, uwekezaji umepungua hasa katika sekta ya viwanda na maeneo mengine yanayo ajiri watu wengi.

Graduates mjipange huku mtaani hali ni tete

20231205_181128.jpg
 
Tanzania hii kila unapokanyaga ni fursa

Tatizo Vijana wetu wamejawa upumbavu wa Siasa za Ujamaa kusubiri Ajira za Serikali, Ndio unawakuta wanazurura mitaani na Mavyeti yaliyopita na wakati
Kama wenye vyeo na pesa wanaandaa chipukizi hizo fursa unaziona wewe peke Yako?
 
View attachment 2850358
Ngoja mkome,mliambiwa nendeni shambani hamuelewi.

Wacha wakulima wapige pesa

View: https://www.instagram.com/p/C1KuADTLwJT/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Tanzania hii kila unapokanyaga ni fursa

Tatizo Vijana wetu wamejawa upumbavu wa Siasa za Ujamaa kusubiri Ajira za Serikali, Ndio unawakuta wanazurura mitaani na Mavyeti yaliyopita na wakati
Zitaje hizo fursa
Unakuta ndugu zako wapo tu hawana mbele wala nyuma wanasubri ajila za serikali
 
taja hizo fursa angalau mbili tu ambazo graduate anaweza kujiajili akimaliza chuo!!?? au unaandika kama punguani.kiuhalisia hali ni mbaya sana na hii inatokana na kukabidhi nchi kwa majizi,wasio na upeo wa kuongoza,mafisadi ambao ni zao la chama cha ovyo CCM
 
Kama wenye vyeo na pesa wanaandaa chipukizi hizo fursa unaziona wewe peke Yako?
Ndio sababu nimesema Vijana wa Tanzania mmejaa upumbavu mwingi

Hao viongozi wa CCM wamefika Kizazi cha nne

Nikupe mfano: Nyerere Kizazi cha kwanza alimchapa bakora Samweli Sitta ambaye ni Kizazi cha pili. Samweli Sitta akamchapa bakora Benjamin Sitta aliyekuwa Meya wa Kinondoni ambaye ni Kizazi cha Tatu na sasa mtoto wa Ben yuko Chipukizi huyo ni Kizazi cha nne

Kwa kifupi Vijana wasio Wazawa wa CCM mtaendelea Kuwa CHAWA kwa sababu Nafasi za Uongozi zilishaandaliwa kwa wateule

Fursa ziko kibao sasa Wewe subiri hapo hapo kwa wazazi Wako Maskini uletewe

Jiongeze kama Diamond tutusa Wewe!
 
Zitaje hizo fursa
Unakuta ndugu zako wapo tu hawana mbele wala nyuma wanasubri ajila za serikali
Anayesubiri Ajira za Serikali duniani kote ni Mpumbavu Aliyetukuka

Wakati wa Nyerere ukimaliza Degree Mlimani au Diploma Mzumbe ilikuwa ni lazima ukafanye Kazi Serikalini kwa miaka 5 Ndio utaruhusiwa kuendelea na mishe zako Lakini Dunia ya Leo ni ya Sekta Binafsi inayoanza na Wewe Mwenyewe

Wakati wa Nyerere makopo yaliokotwa na Vichaa na Wendawazimu Lakini leo wenye akili wameigeuza kuwa fursa

Tutusa wahed 😂
 
Ndio sababu nimesema Vijana wa Tanzania mmejaa upumbavu mwingi

Hao viongozi wa CCM wamefika Kizazi cha nne

Nikupe mfano: Nyerere Kizazi cha kwanza alimchapa bakora Samweli Sitta ambaye ni Kizazi cha pili. Samweli Sitta akamchapa bakora Benjamin Sitta aliyekuwa Meya wa Kinondoni ambaye ni Kizazi cha Tatu na sasa mtoto wa Ben yuko Chipukizi huyo ni Kizazi cha nne

Kwa kifupi Vijana wasio Wazawa wa CCM mtaendelea Kuwa CHAWA kwa sababu Nafasi za Uongozi zilishaandaliwa kwa wateule

Fursa ziko kibao sasa Wewe subiri hapo hapo kwa wazazi Wako Maskini uletewe

Jiongeze kama Diamond tutusa Wewe!
hauna hoja una payuka tu! wana wanataka uwaoneshe hzo fursa unazodai wanazembea
 
Ndio sababu nimesema Vijana wa Tanzania mmejaa upumbavu mwingi

Hao viongozi wa CCM wamefika Kizazi cha nne

Nikupe mfano: Nyerere Kizazi cha kwanza alimchapa bakora Samweli Sitta ambaye ni Kizazi cha pili. Samweli Sitta akamchapa bakora Benjamin Sitta aliyekuwa Meya wa Kinondoni ambaye ni Kizazi cha Tatu na sasa mtoto wa Ben yuko Chipukizi huyo ni Kizazi cha nne

Kwa kifupi Vijana wasio Wazawa wa CCM mtaendelea Kuwa CHAWA kwa sababu Nafasi za Uongozi zilishaandaliwa kwa wateule

Fursa ziko kibao sasa Wewe subiri hapo hapo kwa wazazi Wako Maskini uletewe

Jiongeze kama Diamond tutusa Wewe!
upeo wako wa kufikiri mdogo sana na sitashangaa mtu kama wewe siku moja ukapewa madaraka ili uongoze na hii ni kutokana na mifumo yetu mibovu kwamba ukiwa mtu wa kujipendekeza basi utaula na hii ndio nature ya chama cha mataahira
 
Wewe kaa hapo hapo usubiri Ajira ya Serikali!
nimejiajiri mjinga wewe na biashara yangu inategemea umeme ila kutokana na hayo majizi na majambazi ya CCM kukumbatia ufisadi biashara yangu soon inaenda kufa kutokana na mgao unaosababishwa na hao washenzi.AFU ANATOKEA BWEGE MMOJA KAMA WEWE UNAYEISHI KWA KULAMBA WATU MIGUU unaanza kuandika mashudu
 
Back
Top Bottom