Maisha yanaenda kasi sana, Eti Shilole naye ana msanii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,456
21,167
Maisha yanaenda kasi sana eti shishi baby naye ana msanii 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Msanii wake mwenyewe ni mpishi wake wa shishi food πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa cha kuchekechesha ni kwamba eti msanii ataendelea kupika na kutosha vyombo kama kawaida hapo shishi food wakati huo huo atakuwa anaimba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aliponiacha hoi Sasa eti yeye hatoi Cha gari, wala hampangii nyumba msanii wake hivyo vyote atavipata kupitia mshahara wake wa upishi na kwenye kuimba.

Msanii wake anaitwa Nice TZ , amemsaini kupitia lebo yake ya Shishi gang 🀣🀣🀣🀣na amemtambulisha rasmi usiku wa Leo.



1684314381.jpg

Yote kwa yote nampongeza Shishi beibeeee kwa uthubutu, japo wabongo wanasema eti jamaa atachukua nafasi ya Rommy soon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila Shishi bhana ....
 
Back
Top Bottom