sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Mpaka leo 2023 internet ya fibre ni anasa kwa wachache hata wanaoishi kwenye majiji, yani hizo process za kuja kufungiwa tu waweza kata tamaa labda isp awe kampuni binafsi, wenzetu hapo Kenya hizi ishu za Fibre washazizoea tangu 2010s nyumba kibao kuna fibre unlimited internet.
Luku za umeme tunaziingiza utadhani tupo 1990s, yani mtu uinue simu uanze kuingiza tarakimu kibao za namba za mita. utatumiwa litoken lirefu namba kibao uanze kuziingiza manually kwenye mashine ya luku, ikisumbua uanze kwenda kwa majirani, such bureacracy!! at least warahisishe hili zoezi iwe unanunua umeme moja kwa moja, mita iwe ya kucheki salio tu
Paypal ni kama Mpesa ya dunia, lakini mpaka leo kwa Tanzania tunaruhusiwa kutuma pesa tu, account hazipokei pesa, huko BOT wanaosimamia hizi ishu ni kama vile wamekariri excuses, watakwambia wanazuia money laundering, Yes ni mwaka 2023 bado wanatumia visingizio vya 1990s kwenye dunia ya sasa, dunia ishafika mpaka kwenye cypto currencies lakini hapa kwetu nado Paypal imebanwa.