Njaa ilinidhalilisha sana kwenye harakati zangu za kutafuta ajira

Objective football

JF-Expert Member
Oct 21, 2023
1,195
2,758
ndugu zangu ukiona giza nene jua kumekaribia kucha. katika safari yangu ya utafutaji wa kazi na ajira nipate ridhiki yangu aiseeeh siwezi sahau.

njaa kali,kufubaa, kudharaulika na kukosaa nauli za daladala na basi wakati nasambaza bahasha na usahili ilikua jambo lakawaida.

uso wangu ulipoteza nuru, namshukuru MUNGU sana. sasa hadi kazini muonekano wangu wa ujana umerudi napata simu nyingi,jumbe nyingi wakati haikuwa hivo before.

Nawasihi wanangu mnaopitia msoto, huo msoto una mwisho mtajipata tu wanetu. mimi imenichukua zaidi ya miaka 3 kupata unafuu wa kiuchumi.
 
Ndo kipindi nachopitia saivi japo saiv kuna afadhar sabu nasmamia biashar ya mshikaji wangu hela ya kula sikosi,naumiza sana akili kutafuta chaka la maana nikipata t ntakimbia hapa make nachokipata chote ni kwa ajili ake japo uhuru ni mkubwa kwenye biashar ila nafsi ya kuiba au kutumia vibaya cha mtu waga najskia vbaya..napenda mtu apate alichowekeza nami npate kwa kiasi.
all in all kitaa kugumu,tpeane ramani chief,ishu yoyte halali napiga..
 
Kwa uaminifu huu huu Mungu atakufungulia majira mapya very soon, wewe ongeza bidii kupambana.
 
Ndo kipindi nachopitia saivi japo saiv kuna afadhar sabu nasmamia biashar ya mshikaji wangu hela ya kula sikosi,naumiza sana akili kutafuta chaka la maana nikipata t ntakimbia hapa make nachokipata chote ni kwa ajili ake japo uhuru ni mkubwa kwenye biashar ila nafsi ya kuiba au kutumia vibaya cha mtu waga najskia vbaya..napenda mtu apate alichowekeza nami npate kwa kiasi.
all in all kitaa kugumu,tpeane ramani chief,ishu yoyte halali napiga..
Uaminifu ni mlango wa mafanikio...usije ukaingia tamaa. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
 
Ndo kipindi nachopitia saivi japo saiv kuna afadhar sabu nasmamia biashar ya mshikaji wangu hela ya kula sikosi,naumiza sana akili kutafuta chaka la maana nikipata t ntakimbia hapa make nachokipata chote ni kwa ajili ake japo uhuru ni mkubwa kwenye biashar ila nafsi ya kuiba au kutumia vibaya cha mtu waga najskia vbaya..napenda mtu apate alichowekeza nami npate kwa kiasi.
all in all kitaa kugumu,tpeane ramani chief,ishu yoyte halali napiga..
pole sana mkuu,yatapita
 
ndugu zangu ukiona giza nene jua kumekaribia kucha. katika safari yangu ya utafutaji wa kazi na ajira nipate ridhiki yangu aiseeeh siwezi sahau.

njaa kali,kufubaa, kudharaulika na kukosaa nauli za daladala na basi wakati nasambaza bahasha na usahili ilikua jambo lakawaida.

uso wangu ulipoteza nuru, namshukuru MUNGU sana. sasa hadi kazini muonekano wangu wa ujana umerudi napata simu nyingi,jumbe nyingi wakati haikuwa hivo before.

Nawasihi wanangu mnaopitia msoto, huo msoto una mwisho mtajipata tu wanetu. mimi imenichukua zaidi ya miaka 3 kupata unafuu wa kiuchumi.
wewe miaka mitatu tu wakati mimi nahangaika mwaka wa kumi huu bado sijajipata
 
Back
Top Bottom