sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba ujiuzulu haraka sana

    Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha baleke na Generally wa Zambia. Baada ya hapo wajiuzuru kwa kushindwa kuio goza team kupata ushindi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba wameumia, lakini wataumia sana Yanga ikishinda leo

    Ili kuficha AIBU najua maombi ya mashabiki wa Simba leo ni kuona YANGA anafungwa. Na ikitokea Yanga kufungwa utawasikia maneno yao ya shobo na majigambo. Wanasimba ombeni sana tu Yanga afungwe. Vinginevyo mtakuwa na yale macho ya kichawi yaani huwezi kumuangalia mtu machoni...
  3. JamiiForums Tanzania Poleni sana wanasimba. Mpira mdogo kelele nyingi

    Poleni sana kwa dhahama mliyokutana nayo jana. Tuseme tu ukweli Simba hawana timu ya kumfunga Ahly. Hapa bongo huwa mna struggle sana kuzifunga timu pinzani. Ukweli ni kwamba mna bidii lkn hamna wachezaji wenye viwango Baada ya kusema hayo sasa angalieni kaka zenu kimpira watakachomfanya...
  4. JamiiForums Tanzania Mafao wanayopata wenza wa viongozi wakuu wastaafu Tanzania ni kufuru

    Tanzania = Tanganyika + Zanzibar 🙏 • Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere. • Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi. • Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa • Mke wa Jakaya M. Kikwete, Salma Kikwete • Mke wa John P. Magufuli, Janeth Magufuli • Mume wa Samia S. Hassan, Hafidh...
  5. JamiiForums Tanzania Yaani umefunga halafu unaenda kutafuta wanaopika na kula? Inawezekana Mungu huwa anacheka sana akiangalia haya maigizo

    Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula? Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula? Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si...
  6. JamiiForums Tanzania Rwanda kuna njaa kali sana? Wameficha wee Jumuiya ya mataifa imejua

    Hii kashfa ilikuepo siku nyingi sana sema ndo nchi haina vyombo vya habari hamna wa kureport. --- New fears have arisen about the suitability of Rwanda as a destination to send UK asylum seekers after a damning government assessment about the prevalence of poverty and malnutrition in the...
  7. JamiiForums Tanzania Dini za Ukristu na Uislam zinaendekezwa sana kwenye nchi za Kisekula

    Wakomunisti sikubaliani nao katika mambo mengi sana. Wana upumbavu wao katika mambo mbalimbali ila linapo fika suala la nchi isiyo ya kidini wajua kweli kuchora mstari wa haki kwa dini zote. Wakomunisti wa China wamechora mstari wa haki kwa dini zote si wakristo, si waislam, si wabudha n.k...
  8. JamiiForums Tanzania Wengi wetu ni wakopaji sana kwenye mabenki ila hili ni sikio la kufa

    Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi sana. Sitowataja ila ni kati ya benki mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi. Niseme ukweli benki ni taasisi za wizi asikuambie mtu. Zaidi na zaidi hawa wamezidi ni wadanganyifu. Leo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kushinda. Yanga ni mtihani

    Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani. 1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali. 2...
  10. JamiiForums Tanzania Huwa sipendi sana Shomary Kapombe kufanya Pre Match Meetings pale Simba SC ikiwa na Mechi ngumu Kesho yake

    Ni Mchezaji mwenye Nuksi hasa akivaa Kitambaa cha Unahodha au akichaguliwa kwenda kufanya Pre Match Meeting na Watu wa Media. Naheshimu mno Kipaji chake na Uwezo wake wa kucheza Mpira ila huwa sipendi awe anapewa Majukumu ya Uandamizi pale Kikosi kikiwa na Jukumu Kubwa kwani ana bahati mbaya...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna watu wanaenjoy kwenye ndoa? Nawachukia sana! Nasumbuliwa na post traumatic syndrome I hate all woman even my sister

    Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman even my sister I hate too Nasumbuliwa na post traumatic syndrome yaani ambapo nikitaka kuoa au...
  12. JamiiForums Tanzania Kiimani Ijumaa Kuu Tunakatazwa Kula Nyama..Hii ina maana kubwa sana Kwa Mnyama SIMBA

    Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni😂😂
  13. JamiiForums Tanzania Uzi wa mamelod kwa sasa umakwenda vizuri sana sokoni ! Kwa hapa dar umeanza kuadimika kabisa

    Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
  14. JamiiForums Tanzania Emma siku hizi umekuwa mvivu sana, kimoja kweli?

    Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikuwa busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma siku hizi umekuwa mzembe sana yani kimoja kweli? Siridhiki ujue" asee nilijisikia vibaya kinoma...
  15. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wana vituko sana wanaamini wao wameshamfunga Al Ahly

    Washabiki wa Simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya Al Ahly yaani wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao, Mangungu na Dewji Ni hatari sana kuingia na matokeo mfukoni
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya pili Afrika kuamini uchawi na ushirikina. Elimu duni, kuamini dini sababu kuu za kuamini uchawi sana

    Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika. 1. Cameroon 2. Tanzania. DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana. Quran imeongelea ushirikina na ina...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vijana wetu wamezidiwa sana na wenzao wa Senegal

    Vijana wetu wamezidiwa sana na vijana wenzao wa Senegal kwasababu. 1. Vijana wa Senegal wanapenda na kutafuta mbinu za kujua habari na sio habari za kulishwa na serikali. 2. Vijana wa Senegal walichoshwa na wazee ambao walikuwa watawala toka uhuru wakati vijana wa Tanzania wenyewe ndiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Wanamichezo kumsifia Rais wa nchi kwenye kila jambo tuiitaje?

    Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia Sekunde 30 tu Kuziongelea na Kuzisifia Simba na Yanga. Hivi ni nani Aliyewaroga sasa baadhi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

    Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata kidogo. Yaani kuna taarifa hutakiwi kuwa nazo. Hata hapa Tanzania hii ipo, yaani kuna taarifa ambazo...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vyema. kwa wale wenye changamoto, ni maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu kwamba atufanyie wepesi hasa katika kipindi hiki tunapomalizia mfungo wa Kwaresma na tunapoendelea na Ramadhani wengine. Ni jambo nimelishuhudia kituo cha dala dala leo asubuh katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…