Poleni sana wanasimba. Mpira mdogo kelele nyingi

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
19,728
28,284
Poleni sana kwa dhahama mliyokutana nayo jana. Tuseme tu ukweli Simba hawana timu ya kumfunga Ahly.

Hapa bongo huwa mna struggle sana kuzifunga timu pinzani.

Ukweli ni kwamba mna bidii lkn hamna wachezaji wenye viwango

Baada ya kusema hayo sasa angalieni kaka zenu kimpira watakachomfanya mamelodi leo. Mpira mkubwa kelele kidogo.
 
Tunza post yako na baadae baada ya mechi urudi, usikimbie uzi wako yanga ikifungwa
 
Simba kwa timu waliyonayo na kuweza kufika robo ni jambo la kustaajabisha sana katika soka.
Nimeamini waganga wanafanya kazi kubwa maana katika hali ya kawaida timu haishawishi kufika hatua iliyopo.

Ata kama Simba itatolewa, pongezi ziwafikie waganga/ walozi waliyo iwezesha kuwafikisha apo.
 
Poleni sana kwa dhahama mliyokutana nayo jana. Tuseme tu ukweli Simba hawana timu ya kumfunga Ahly.

Hapa bongo huwa mna struggle sana kuzifunga timu pinzani.

Ukweli ni kwamba mna bidii lkn hamna wachezaji wenye viwango

Baada ya kusema hayo sasa angalieni kaka zenu kimpira watakachomfanya mamelodi leo. Mpira mkubwa kelele kidogo.
Pamoja na kuwa mimi ni shabiki wa Yanga, leo nasubiria kuona muujiza wa soka tukiifunga Mamelodi. Ikitokea hivyo basi nitakuwa na pasaka njema kabisa
 
Mashabiki wa simba wengi wao huwa wanacheza mpira wa mdomoni. Timu yao ikifika tu uwanjani, mambo yanageuka na kuwa tofauti kabisa.
 
Muwe mnaweka na tu picha twa kuwazodoa devotivo de la makolo napendaga kutusevu kwenye cm yng ..tuma uwezavyo
 
Back
Top Bottom