Uzi wa mamelod kwa sasa umakwenda vizuri sana sokoni ! Kwa hapa dar umeanza kuadimika kabisa

Alafu Cha ajabu wanunuzi wakubwa toka mwanzo ni Yanga! Mwana Simba kindaki ndaki hawezi kununua jezi linalofanana na la Yanga!
 
Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
kazi yenu
FB_IMG_1711641656667.jpg
 
Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
Mkasahau kama mnacheza na Mwarabu.
 
Attachments

  • images (1)-1.jpeg
    images (1)-1.jpeg
    25.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom