Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kushinda. Yanga ni mtihani

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,434
5,096
Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani.
1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali.
2. Wachezaji wa Simba wameonyesha wanajiamini kuifunga Al Ahly. Hili ni jambo mujimu sana katika mapambano
3. Viongozi wa Simba wana amini timu yao inaweza kuitoa Al Ahly
4. Mashabiki wa Simba safari hii wanaonekana kujiamini zaidi na kuipa nguvu timu yao. Hili ni jambo kubwa sana psychologically.
5. Al Ahly wanaonekana kuihofia Simba.

Kwa upande wa Yanga ni hali tofauti kwasababu kuanzia wachezaji , Mashabiki na viongozi wanaonekana kuwa na hofu kucheza na Mamelod. Tayari psychologically Mamelod sundown wameshashinda game zote mbili tena kwa idadi kubwa ya magoli. Yanga kuanzia mashabiki na viongozi wanaonekana wanyonge sana. Hata kwa wachezaji wa Yanga inaonyesha kuihofia sana Mamelod na ndio maana baadhi ya wachezaji wao wameona wajipe injury ili kuikwepa mechi na kukwepa lawama.

La mwisho ambalo limemaliza confidence kwa Yanga ni propaganda zilizokuwa zinatolewa na mashabiki wa Simba kuizungumzia game ya Yanga na kuiogopesha zaidi Yanga. Ikumbukwe mechi ya Simba Vs Al Ahly haizungumzwi sana kama ya Yanga Vs Mamelod. Na kwa hili hakika propaganda zimeshafanikiwa kuidhoofisha Yanga na ITAFUNGWA.

Yanga hawajifunzi ku counter propaganda, kipindi kile waliwekewa kibegi cha jezi ya Simba hadi mlima Kilimanjaro nao wakaenda na beat ya kibegi wakasahau mambo yao. Sasa leo hii wameingizwa kwenye beat za propaganda kwenye social media na tayari wamekuwa wanyonge na kuwapa confidence Mamelod.

Simba wapo vizuri sana kwenye psychological warfare
 
Umetumia nadharia sana katika uzi wako kuliko uhalisia. Yaani umejiaminisha kuwa unayemuona anacheka usoni basi na moyo wake ndani unafuraha, na unayemuona katulia basi hana furaha moyoni mwake kitu ambacho sio kweli. Wapo wanaozuga kufurahi ila moyoni anajua ana hali gani

Kwanzia droo ipangwe ni mashabiki wa Simba ndio wameonekana kuwa na furraha na kuwakebehi Yanga. Furaha yao ni kwasababu kikombe cha Mamelod wamekikwepa na wakashukuru kupewa Al Ahly jambo ambalo wanaamini ni mpinzani waliomzoea na wana mmudu. Sasa kila siku kuwatisha Yanga na kuiongelea mechi ya Yanga wakati mashabiki wa Yanga wameamua kuchagua kutulia na kuacha mpira uchezwe uwanjani.

Hakuna shabiki wa Yanga anayeangaika kupapatikia jezi za Al Ahly ila tunaona jinsi mashabiki wa Simba wanavyoangaika na jezi za Mamelod kwavile tu imeonekana Yanga ina mlima na Simba ina kitonga, mpira una matokeo katili aliyekuwa anachekwa wiki mbili nzima huenda akacheka yeye mwishoni.
 
Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani.
1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali.
2. Wachezaji wa Simba wameonyesha wanajiamini kuifunga Al Ahly. Hili ni jambo mujimu sana katika mapambano
3. Viongozi wa Simba wana amini timu yao inaweza kuitoa Al Ahly
4. Mashabiki wa Simba safari hii wanaonekana kujiamini zaidi na kuipa nguvu timu yao. Hili ni jambo kubwa sana psychologically.
5. Al Ahly wanaonekana kuihofia Simba.

Kwa upande wa Yanga ni hali tofauti kwasababu kuanzia wachezaji , Mashabiki na viongozi wanaonekana kuwa na hofu kucheza na Mamelod. Tayari psychologically Mamelod sundown wameshashinda game zote mbili tena kwa idadi kubwa ya magoli. Yanga kuanzia mashabiki na viongozi wanaonekana wanyonge sana. Hata kwa wachezaji wa Yanga inaonyesha kuihofia sana Mamelod na ndio maana baadhi ya wachezaji wao wameona wajipe injury ili kuikwepa mechi na kukwepa lawama.

La mwisho ambalo limemaliza confidence kwa Yanga ni propaganda zilizokuwa zinatolewa na mashabiki wa Simba kuizungumzia game ya Yanga na kuiogopesha zaidi Yanga. Ikumbukwe mechi ya Simba Vs Al Ahly haizungumzwi sana kama ya Yanga Vs Mamelod. Na kwa hili hakika propaganda zimeshafanikiwa kuidhoofisha Yanga na ITAFUNGWA.

Yanga hawajifunzi ku counter propaganda, kipindi kile waliwekewa kibegi cha jezi ya Simba hadi mlima Kilimanjaro nao wakaenda na beat ya kibegi wakasahau mambo yao. Sasa leo hii wameingizwa kwenye beat za propaganda kwenye social media na tayari wamekuwa wanyonge na kuwapa confidence Mamelod.

Simba wapo vizuri sana kwenye psychological warfare
Mbumbumbu kazini, kwaiyo kutoizungumzia Simba na Aly ahly ndio ushindi wa Simba? Icho ndicho kitafanya muwe na squad Bora ya kushinda mechi? Icho ndicho kitafanya muwe na viongozi Bora? Akili zenu ni Bwana Rage pekee aliona Zina walakini🚮🚮
 
Subiri leo na kesho ipite ndipo uje na jibu utumbo kama huu. Tatizo mnataka kupewa matumaini tu .
 
Utumbo ni kile ulichoandika, mpira sio makalio kusema utashika ya Kila mtu, ungeleta takwimu kati ya timu zote zinazocheza kesho kiufundi na kiubora ungeeleweka but unakuja na logic za kufikilika ambazo umesukumwa na mihemko yako ya kishabiki ndio unaleta hapa!! Unasema wachezaji wanajipa injury kwaiyo wanaogopa mechi na apo ndipo umedhihirisha kichwa chako akina ubongo ni empty brain!!!
 
NIKUAMBIE TU KUWA SIMBA ANASHINDA LEO NA MAMELOD ANASHINDA KESHO.

NAJUA INAKUUMA NDIO MAANA MAKASIRIKO NI MENGI.
 
Labda mshinde njaa, atimaye umeonyesha ukolo wako hadharani 🤔🤔 nilijua unazungumza fact kumbe ulikuwa na lako kichwani!!!
 
Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani.
1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali.
2. Wachezaji wa Simba wameonyesha wanajiamini kuifunga Al Ahly. Hili ni jambo mujimu sana katika mapambano
3. Viongozi wa Simba wana amini timu yao inaweza kuitoa Al Ahly
4. Mashabiki wa Simba safari hii wanaonekana kujiamini zaidi na kuipa nguvu timu yao. Hili ni jambo kubwa sana psychologically.
5. Al Ahly wanaonekana kuihofia Simba.

Kwa upande wa Yanga ni hali tofauti kwasababu kuanzia wachezaji , Mashabiki na viongozi wanaonekana kuwa na hofu kucheza na Mamelod. Tayari psychologically Mamelod sundown wameshashinda game zote mbili tena kwa idadi kubwa ya magoli. Yanga kuanzia mashabiki na viongozi wanaonekana wanyonge sana. Hata kwa wachezaji wa Yanga inaonyesha kuihofia sana Mamelod na ndio maana baadhi ya wachezaji wao wameona wajipe injury ili kuikwepa mechi na kukwepa lawama.

La mwisho ambalo limemaliza confidence kwa Yanga ni propaganda zilizokuwa zinatolewa na mashabiki wa Simba kuizungumzia game ya Yanga na kuiogopesha zaidi Yanga. Ikumbukwe mechi ya Simba Vs Al Ahly haizungumzwi sana kama ya Yanga Vs Mamelod. Na kwa hili hakika propaganda zimeshafanikiwa kuidhoofisha Yanga na ITAFUNGWA.

Yanga hawajifunzi ku counter propaganda, kipindi kile waliwekewa kibegi cha jezi ya Simba hadi mlima Kilimanjaro nao wakaenda na beat ya kibegi wakasahau mambo yao. Sasa leo hii wameingizwa kwenye beat za propaganda kwenye social media na tayari wamekuwa wanyonge na kuwapa confidence Mamelod.

Simba wapo vizuri sana kwenye psychological warfare
Kwahiyo kibegi kimewasaidia Simba kuongoza ligi?
Tukisema mashabiki wa Simba wengiwenu ni mambumbumbu tunaokena kuwavunjia heshima, lakini ukweli ndio huo.

Hakuna propaganda yoyote iliyowatoa wana Yanga kwenye mstari....... na sio kweli eti wachezaji wa Yanga wanaiogopa Mamenlody, zaidi zaidi wachezaji wa Yanga wanaitaka hiyo mechi ili kuongeza cv zao kama wachezaji.

Kuhusu nani atakae shinda mechi yake mi sijui sababu mimi sio mtabiri, tungoje dakika 90 ndio tutajua.

Joks. Chama leo asiombe juis
 
Subiri leo na kesho ipite ndipo uje na jibu utumbo kama huu. Tatizo mnataka kupewa matumaini tu .
Sisi kama wana Yanga hatuhitaji kupewa matumaini, sababu matumani hayachezi uwanjani.
Mbumbumbu munatia haibu
 
Pacome na Yao wameona mnataka kuipa mechi majina yao wakaona ya nini kuharibiana majina.

Sasa naona mmempatia kijana wa watu Mudadhir ili aibu ya kufungwa 5 iwe yake
 
Wewe kweli hamnazo.
 
Back
Top Bottom