Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 1,038
- 2,566
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikuwa busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma siku hizi umekuwa mzembe sana yani kimoja kweli? Siridhiki ujue" asee nilijisikia vibaya kinoma mpaka tunafika mwisho wa safari Emma alikuwa bado hajajibu sms. Tufanyeni mazoezi wakuu😂.