Kwanini Vijana wetu wamezidiwa sana na wenzao wa Senegal

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Vijana wetu wamezidiwa sana na vijana wenzao wa Senegal kwasababu.

1. Vijana wa Senegal wanapenda na kutafuta mbinu za kujua habari na sio habari za kulishwa na serikali.

2. Vijana wa Senegal walichoshwa na wazee ambao walikuwa watawala toka uhuru wakati vijana wa Tanzania wenyewe ndiyo wamechoka hata kuandamana kwa faida yao!

3. Vijana wetu ni rahisi kudanganywa kwa kiki na siasa kuliko wenzao ambao wanaangalia hali halisi.

4. Uvivu na tabia za kulalamika kwa kupingdukia kwa vijana wetu bila kufanya lolote.

5. Vijana wa Tanzania hawatumii mitandao kujifunza au kujiendeleza kama wenzao wa Senegal.

6. Vijana wa Tanzania kufikiria vitu vya msingi kama katiba ni za vyama na sio vitu vyao!

7. Vijana wa Kitanzania kufikiri mabadiliko yatatokana na huruma ya viongozi watawala na badala ya kudai na kuwajibisha viongozi.

8. Vijana wa Tanzania kukubali kuibiwa kura wazi wazi na wezi wa kura kujiaminisha vijana wetu hawawezi kufanya lolote.

9. Vijana wa Tanzania kuwa na tabia ya kudeka kwa kupindukia. Wa senegal wanatafuta maisha mahali popote Duniani.

10. Wasanii vijana wa Tanzania wamekalia uchawa wenzao wa Senegal wamekalia harakati.

11. Vijana wa Senegal hawakubali kuitwa wanyonge wakati vijana wa Tanzania wanajiita wanyonge.

Vijana wetu wanahitaji kupigwa shot za umeme kuamka kutoka usingizini. Walivyo legelege sijui kama vijana wetu wanaweza kufanya lolote kwa sasa.
 
Hakuna nchi ya watu weusi yenye vijana wenye sifa hizo. Tofauti ya tabia ni ndogo sana na kuthibitisha hilo ni kwamba nchi za waafrika weusi almost zinafanana kiwango cha maendeleo
 
Vijana wetu wamezidiwa sana na vijana wenzao wa Senegal kwasababu.

1. Vijana wa Senegal wanapenda na kutafuta mbinu za kujua habari na sio habari za kulishwa na serikali.

2. Vijana wa Senegal walichoshwa na wazee ambao walikuwa watawala toka uhuru wakati vijana wa Tanzania wenyewe ndiyo wamechoka hata kuandamana kwa faida yao!

3. Vijana wetu ni rahisi kudanganywa kwa kiki na siasa kuliko wenzao ambao wanaangalia hali halisi.

4. Uvivu na tabia za kulalamika kwa kupingdukia kwa vijana wetu bila kufanya lolote.

5. Vijana wa Tanzania hawatumii mitandao kujifunza au kujiendeleza kama wenzao wa Senegal.

6. Vijana wa Tanzania kufikiria vitu vya msingi kama katiba ni za vyama na sio vitu vyao!

7. Vijana wa Kitanzania kufikiri mabadiliko yatatokana na huruma ya viongozi watawala na badala ya kudai na kuwajibisha viongozi.

8. Vijana wa Tanzania kukubali kuibiwa kura wazi wazi na wezi wa kura kujiaminisha vijana wetu hawawezi kufanya lolote.

9. Vijana wa Tanzania kuwa na tabia ya kudeka kwa kupindukia. Wa senegal wanatafuta maisha mahali popote Duniani.

10. Wasanii vijana wa Tanzania wamekalia uchawa wenzao wa Senegal wamekalia harakati.

11. Vijana wa Senegal hawakubali kuitwa wanyonge wakati vijana wa Tanzania wanajiita wanyonge.

Vijana wetu wanahitaji kupigwa shot za umeme kuamka kutoka usingizini. Walivyo legelege sijui kama vijana wetu wanaweza kufanya lolote kwa sasa.
Kama tofauti ipo, basi itakuwa ndogo sana
 
Back
Top Bottom