Simba wameumia, lakini wataumia sana Yanga ikishinda leo

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,349
4,807
Ili kuficha AIBU najua maombi ya mashabiki wa Simba leo ni kuona YANGA anafungwa.

Na ikitokea Yanga kufungwa utawasikia maneno yao ya shobo na majigambo.

Wanasimba ombeni sana tu Yanga afungwe. Vinginevyo mtakuwa na yale macho ya kichawi yaani huwezi kumuangalia mtu machoni, unakwepeshakwepesha tu.

SIMBA NI BAUNSA BROILER
 
Maweeeeeeeeee!
20240330_080656.jpg
 
Back
Top Bottom