Wengi wetu ni wakopaji sana kwenye mabenki ila hili ni sikio la kufa

Kisesetusese

Senior Member
Sep 12, 2022
173
242
Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi sana. Sitowataja ila ni kati ya benki mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi. Niseme ukweli benki ni taasisi za wizi asikuambie mtu. Zaidi na zaidi hawa wamezidi ni wadanganyifu.

Leo nimeamua niseme bila kutaja jina la hii taasisi.

Nilikopa mara mbili tu katika utumishi wangu wa miaka 27. Nikikaribia kustaafu sasa. Lkn wamenitia machungu na kwa kweli wananchi na watumishi tunakopa kwenye hizi benki lakini tunavumilia maumivu. Kwanza wana riba kubwa wanajifanya riba yao ndogo wakijinasibu kukupa mkopo wa miaka hadi 8 au 9.

Nina mkopo kwako wote na huyu mwenzie ila kwa mwenzake sina maumivu na hawa jamaa ni benki inasaidia bila kuumia.

Zamani wakati nakuwa kunako miaka 5 hivi mzazi wangu alinifunguliaga akaunti japo ilikufa. Lkn hawa wana asili ya kudunduliza. Hata sasa wanadunduliza na wakikukama hata 3mil utailipa kwa uchungu sana.

Pamoja na mshahara wangu wa 3mil kwa mwezi lkn hawa ni kama kupe. Mkopo kwanza hauishi. Kwa anayepitia hii kitu atajua kamkopo kadogo wanakaweka kama kunyonya vibaya sana.

Hizi taasisi zijitahidi kuwa na kiasi. Chukueni riba ila kwa kiasi. This bank is exploiting loanees. Kwa kweli inasikitisha.

Nakumbuka nilijipanga nilipe hii pesa ndg ambayo haiishi..waligoma kutoa loan balance statement na barua. Ili nite pesa niwe huru. Huyu kijana alinizungusha na hadi kard niliiacha hapo hapo kumaanisha nilivunja ndoa na hii benk.

Mods huna haja kuondoa uzi huu haujamtaja yoyote zaidi ninatoa awareness kwa wananchi na watumishi hzi benki zijirekebishe. Wanatumia mbinu zisizowaz kwa raia kukwapua pesa kwa njia za mikopo na mikataba ya ulaghai.

Njnaamini hawa jamaa ni sikio la kufa japo wengi tuwakopaji sana huko. Umakuta nakopa nakatwa 450,000 kwa mwezi. This is fine. Ukikopa 3mil watakupigia 9 years hili deni haliishi.

Ulitaka kulipa deni watakuzungusha sana.

Kwa sasa ukitaka kukopa hawakukopeshi kama nni mtumishi bila salary yako kupitio kwao. Huu ni udhaifu na unyanyasaji. Wanataka wawavute watumishi kwa lazima. Na hakuna benki itakubali kukuhamishia mshahara uende kwengine kama umekopa . Hii ni aina ya unyanyasaji wa watumishi..benk hii inaongoza kwa hu unyanyasaji....

Baadhi ya shule wajukuu wanasoma.huko tunalipa ada basi tu kupitia hawa watu lkn hawafai kabisa
 
Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi san. Sintawataja. Ila ni kati ya benk mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi...niseme ukweli benki ni taasisi za wizi asikuambie mtu. Zaidi na zaidi hawa wamezidi ni wadanganyifu.

Leo nimeamua niseme bila kutaja jina la hii taasisi.

Nilikopa mara mbili tu katika utumishi wangu wa miaka 27. Nikikaribia kustaafu sasa. Lkn wamenitia machungu na kwa kweli wananch na watumishi tunakopa kwenye hizi benk lkn tunavumilia maumivu. Kwanza wana riba kubwa wanajifanya riba yao ndogo wakijinasibu kukupa mkopo wa miaka hadi 8 au 9.

Nina mkopo kwako wote na huyu mwenzie ila kwa.mwenzake sina maumivu na hawa jamaa ni benki inasaidia bila kuumia.

Zamani wakati nakua kunako miaka 5 hiv mzazi wangu alinifunguliaga akaunti japo ilikufa. Lkn hawa wana asili ya kudunduliza. Hata sasa wanadunduliza na wakikukama hata 3mil utailipa kwa uchungu sana.

Pamoja na mshahara wangu wa 3mil kwa mwez..lkn hawa ni kama kupe. Mkopo kwanza hauishi. Kwa anayepitia hii kitu atajua...kamkopo kadogo wanakaweka kama kunyonya vibaya sana.

Hizi taasisi zijitahidi kuwa na kiasi. Chukueninriba ila kwa kiasi. This bank is exploiting loanees. Kwa kweli inasikitisha.

Nakumbuka nilijipanga nilipe hii pesa ndg ambayo haiishi..waligoma kutoa loan balance statement na barua. Ili nite pesa niwe huru. Huyu kijana alinizungusha na hadi kard niliiacha hapo hapo kumaanisha nilivunja ndoa na hii benk.

Mods huna haja kuondoa uzi huu haujamtaja yoyote zaidi ninatoa awareness kwa wananchi na watumishi hzi benki zijirekebishe. Wanatumia mbinu zisizowaz kwa raia kukwapua pesa kwa njia za mikopo na mikataba ya ulaghai.

Njnaamini hawa jamaa ni sikio la kufa japo wengi tuwakopaji sana huko. Umakuta nakopa nakatwa 450,000 kwa mwezi. This is fine. Ukikopa 3mil watakupigia 9 years hili deni haliishi.

Ulitaka kulipa deni watakuzungusha sana.

Kwa sasa ukitaka kukopa hawakukopeshi kama nni mtumishi bila salary yako kupitio kwao. Huu ni udhaifu na unyanyasaji. Wanataka wawavute watumishi kwa lazima. Na hakuna benki itakubali kukuhamishia mshahara uende kwengine kama umekopa . Hii ni aina ya unyanyasaji wa watumishi..benk hii inaongoza kwa hu unyanyasaji....

Baadhi ya shule wajukuu wanasoma.huko tunalipa ada basi tu kupitia hawa watu lkn hawafai kabisa
Yaani unakopa fedha halafu ukitaka kumaliza deni lote kwa mara moja wanakataa? Ni ajabu.
 
Acha malalamiko..tamaa zako za kutaka kutumia zaidi ya kipato chako ndio tatizo..afu nilijuaga wazee Wana hekima na busara sio walalamikaji kumbe Kuna wengine bado..

Mkopo uliomba mwenyewe terms na condition ulisoma na kusain Wala hukusomewa asa kama uliona riba kubwa ulisain ili iwaje...kulalamikalalamika ni hulka ya mtu aliejikatia tamaaa!!!
 
Sio hulka ya mtu aliekata tamaa, ni hulka ya failures
 
Hii ni chai tena haina hata sukari, Kama una miaka 27 utumishi na ulikuwa na akaunti at 5 years maana yake ulikuwa na akaunti kabla hizi benki ulizogoma kuzitaja hazijaanzishwa. Nakumbuka tapeli mmoja aliniambia kakimbia Rwanda enzi za mauaji ya kimbali nilipomuuliza ana umri gani akataja miaka michache kuliko umri wa mauaji tangu yatokee.
 
Back
Top Bottom