Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,911
- 6,502
Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini"
IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast
IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast