Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,091 Reaction score 102,696 May 27, 2026 #1 Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana. Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi.
Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana. Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,429 Reaction score 138,199 May 27, 2026 #2 Mad Max said: Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana. Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi. Click to expand... Mbezi ipi hyo Ova
Mad Max said: Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana. Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi. Click to expand... Mbezi ipi hyo Ova
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 11,886 Reaction score 16,104 May 27, 2026 #3 Utakuwa mgeni wa Mbezi, hilo tatizo lipo toka enzi na enzi na kipindi hichi mbona halina makali. Weka Tank Litre 10,000
Utakuwa mgeni wa Mbezi, hilo tatizo lipo toka enzi na enzi na kipindi hichi mbona halina makali. Weka Tank Litre 10,000