Iran yaonesha miundombinu ya kijeshi 228 ya Marekani ilipigwa vibaya sana mashariki ya kati. Marekani ilificha

Iran yaonesha miundombinu ya kijeshi 228 ya Marekani ilipigwa vibaya sana mashariki ya kati. Marekani ilificha

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,616
Reaction score
8,152
Picha za satellite za Iran zilionesha uharibifu mkubwa na hasara kubwa sana Marekani ilipata kutokana na kipigo Cha Iran kilichofanywa katka makambi (bases) za Supapawa Marekani huko mashariki ya kati.

Makambi mengi yalipigwa, na ndani ya makambi hayo yalikua ni Kambi za ndege,meli,rada, ADS,makombora na Kila aina ya silaha muhimu za Marekani.

Vitu,vifaa na silaha vyenye jumla ya idadi ya 228 viliharibiwa ikiwa ni pamoja na ndege Kwa makumi,rada,vituo vya mawasiliano,meli na vifaa vingine vya kijeshi.

Hasara inakadiriwa kufikia USD 1.1
Na matentengezo ya makambi na vifaa hivyo vinaweza kuchukua miaka miwili na kuendelea.

Kuvuja kwa taarifa hizi kumetokana na Iran kuonesha picha za satellite ambazo baadhi ya Vyombo vya habari vya Marekani pia vimethibitisha.
Uharibifu huu ni mkubwa mno kushindwa uharibifu uliofanywa katika bandari ya Pearl Harbour baada ya kuvamiwa na Jeshi la Japan.
Kuvuja kwa picha hizo kumeiaibisha mno na kuikera mno Marekani.

iran showed damaged us facilities in gulf

Iran released satellite imagery and state media footage revealing that its strikes severely damaged or destroyed at least 228 structures across 16 U.S. military sites in the Middle East. This widespread damage includes critical assets across Gulf countries, such as: [1, 2, 3, 4]
  • Bahrain: Extensive structural damage to the U.S. Navy Fifth Fleet headquarters and satellite communication systems.
  • Kuwait: Major infrastructure damage and operational disruptions at Camp Buehring, Camp Arifjan, and Ali Al Salem Air Base.
  • Qatar: Damage to a runway and facilities at Al Udeid Air Base.
  • Saudi Arabia: Significant destruction reported at Prince Sultan Air Base. [1, 2, 3]
These targeted strikes have rendered multiple facilities unusable, resulting in the destruction of advanced equipment, including fighter jets, air defense batteries, and surveillance planes. Repair and replacement costs are expected to reach billions of dollars. [1, 2, 3]
For a deeper dive into the specific bases hit and detailed satellite analysis, explore the Washington Post Investigation
or view the CNN Reporter
https://www.ndtv.com/beeps/india-ne...ours-in-bihar-11546780?pfrom=top_widget_beeps
https://www.ndtv.com/beeps/health/1...perts-explain-11545521?pfrom=top_widget_beeps

Satellite Pics Show Iran Strikes Damaged 228 Assets Across 15 US Bases​

Among the sites that were damaged in Iran's missile and drone strikes was a satellite communications site at al-Udeid Air Base in Qatar. Patriot missile defence systems at bases in Bahrain and Kuwait were also hit.​

Satellite Pics Show Iran Strikes Damaged 228 Assets Across 15 US Bases

Among the sites that were damaged was a satellite communications site in Qatar
Tehran:
Iranian airstrikes on US military bases across the Middle East have inflicted a lot more damage than acknowledged by the Donald Trump administration in America, satellite imagery released by Iran's state media showed. The Iranian claims were corroborated by a Washington Post investigation, which found that Tehran's attacks damaged or destroyed at least 228 structures or pieces of equipment at US military sites across the Middle East since the war began on February 28.

Among the Iranian targets, as identified through satellite imagery analysis, were hangars, barracks, fuel depots, aircraft, and critical radar, communications, and air defence systems across US bases in the Middle East.

https://nigaturethected.com/5277fc98-636d-421f-bebd-65febfa347b5
The American outlet reported that the scale of the damage was much larger than previously admitted by the US government. Citing US officials, the report said that some US bases in the region were rendered too dangerous to staff at normal levels, and commanders moved most of the personnel from these sites
 
Attachments

  • 1779737503177.gif
    1779737503177.gif
    43 bytes · Views: 15
  • 1779737503258.gif
    1779737503258.gif
    43 bytes · Views: 15
  • 1779737503336.gif
    1779737503336.gif
    43 bytes · Views: 14
  • 1779737503408.gif
    1779737503408.gif
    43 bytes · Views: 13
  • 1779737503485.gif
    1779737503485.gif
    43 bytes · Views: 14
  • 1779737503567.gif
    1779737503567.gif
    43 bytes · Views: 13
  • 1779737503645.gif
    1779737503645.gif
    43 bytes · Views: 15
  • 1779737503715.gif
    1779737503715.gif
    43 bytes · Views: 13
  • 1779737503786.gif
    1779737503786.gif
    43 bytes · Views: 14
  • 1779737503866.gif
    1779737503866.gif
    43 bytes · Views: 12
  • 1779737503937.gif
    1779737503937.gif
    43 bytes · Views: 16
  • 1779737504005.gif
    1779737504005.gif
    43 bytes · Views: 17
  • 1779737504076.gif
    1779737504076.gif
    43 bytes · Views: 14
  • 1779737504149.gif
    1779737504149.gif
    43 bytes · Views: 16
Kipigo kilikuwa wazi kabisa jinsi Trump alivokuwa anatapatapa kusimamisha Vita tukajua tayali mzee mzima yupo taabani !!

Mpaka leo kimyaaa kabaki na vitisho vyake vile vile kabla ya Vita.

Yani Trump kama jinga jinga kwamaana kaangaika yeye kutafuta kusitisha Vita !!!

tena yeye uyo uyo eti anatoa vitisho💩💩💩
 
Marais wengi wa USA waliopita hakuwai kuigusa Iran zaidi ya vikwazo vya kukaa mezani leo ni aibu kwa USA
 
Picha za satellite za Iran zilionesha uharibifu mkubwa na hasara kubwa sana Marekani ilipata kutokana na kipigo Cha Iran kilichofanywa katka makambi (bases) za Supapawa Marekani huko mashariki ya kati.

Makambi mengi yalipigwa, na ndani ya makambi hayo yalikua ni Kambi za ndege,meli,rada, ADS,makombora na Kila aina ya silaha muhimu za Marekani.

Vitu,vifaa na silaha vyenye jumla ya idadi ya 228 viliharibiwa ikiwa ni pamoja na ndege Kwa makumi,rada,vituo vya mawasiliano,meli na vifaa vingine vya kijeshi.

Hasara inakadiriwa kufikia USD 1.1
Na matentengezo ya makambi na vifaa hivyo vinaweza kuchukua miaka miwili na kuendelea.

Kuvuja kwa taarifa hizi kumetokana na Iran kuonesha picha za satellite ambazo baadhi ya Vyombo vya habari vya Marekani pia vimethibitisha.
Uharibifu huu ni mkubwa mno kushindwa uharibifu uliofanywa katika bandari ya Pearl Harbour baada ya kuvamiwa na Jeshi la Japan.
Kuvuja kwa picha hizo kumeiaibisha mno na kuikera mno Marekani.

iran showed damaged us facilities in gulf

Iran released satellite imagery and state media footage revealing that its strikes severely damaged or destroyed at least 228 structures across 16 U.S. military sites in the Middle East. This widespread damage includes critical assets across Gulf countries, such as: [1, 2, 3, 4]
  • Bahrain: Extensive structural damage to the U.S. Navy Fifth Fleet headquarters and satellite communication systems.
  • Kuwait: Major infrastructure damage and operational disruptions at Camp Buehring, Camp Arifjan, and Ali Al Salem Air Base.
  • Qatar: Damage to a runway and facilities at Al Udeid Air Base.
  • Saudi Arabia: Significant destruction reported at Prince Sultan Air Base. [1, 2, 3]
These targeted strikes have rendered multiple facilities unusable, resulting in the destruction of advanced equipment, including fighter jets, air defense batteries, and surveillance planes. Repair and replacement costs are expected to reach billions of dollars. [1, 2, 3]
For a deeper dive into the specific bases hit and detailed satellite analysis, explore the Washington Post Investigation
or view the CNN Report
Iran ilijibu vyema sana yale mashambulizi.

Ila inashangaza kujua Kumbe UAE na Saudia nazo zilijibu mashambulizi kwa kuishambulia Iran ila hazikutangaza.

Nguruvi3 zitto junior T14 Armata
 
Kama bahrain sijui kama itafanya kazi maana walikungutwa vibaya mno na wameuawa wengi mno hapo bahrain, kambini na mahotelini ilikua msako hatari, US harudi yule kwa muajemi atabaki ni Makelele tu ya mbwa kubwekea ndani...
 
Kapigwa Marekani, lakini kuna wamatumbi watakasirika na kuanza kurusha matusi.
Kwa kpindi kirefu marekani amefanikiwa kuwapumbaza watu wengi duniani, hadi Trump alipokuja na kufanya upepo upulize manyoya ya matakoni na sasa kila mtu kaona Marekani alivyo tapeli baada ya kukutana na shipa la Iran
 
Kapigwa Marekani, lakini kuna wamatumbi watakasirika na kuanza kurusha matusi.
Kwa akili hizi Marekani atabaki kuwa super power duniani na amefanikiwa kwa 100% kuwahadaa wajinga.
Makombora ya Iran yanafika USA kwanini hajapiga Marekani?
Kipindi vita inaendelea Iran, shughuli zote za kiuchumi zilisimama Iran ila USA watu wanakula bata, shughuli za kiuchumi zinaendelea kama kawaida mpaka sasa.
Baadae unakuja kusema umemshinda Marekani😄😄😄😄😄😄😄
 
Kwa kpindi kirefu marekani amefanikiwa kuwapumbaza watu wengi duniani, hadi Trump alipokuja na kufanya upepo upulize manyoya ya matakoni na sasa kila mtu kaona Marekani alivyo tapeli baada ya kukutana na shipa la Iran
Kwanini Iran asipige New York au mji wowote wa Marekani ili tujue yeye ni badala ya USA?
 
Iran ilijibu vyema sana yale mashambulizi.

Ila inashangaza kujua Kumbe UAE na Saudia nazo zilijibu mashambulizi kwa kuishambulia Iran ila hazikutangaza.

Nguruvi3 zitto junior T14 Armata
Katika vita ya sikyu 12 , Marekani na Israel zilishambulia Iran zikitokea UAE na Saud Arabia

Kabla ya kuanza vita inayoendelea Iran ilionya kwamba ikishambuliwa middle East itakuwa vitani. Hakuna aliyewaelewa hadi sasa. Iran ilifanya Ujasusi wa kutosha na kubaini kwamba mashambulizi yanatoka kwa jirani zake wa EU na Saud Araabia

Kama ilivyokuwa vita ya siku 12 , UAE na Saud Arabia zilitoa nafasi ya mashambulizi ya mwanzo dhidi ya Iran yaliyomuua Ayatollah Khamenei. Iran ikaanza nao na kuwavuruga vizuri sana, hawakuwa na majibu

Saud Arabia na UAE hawawezi kusimama na Iran! ni vibaraka wanaotegemea ulinzi wa Marekani
Ni kama Israel inavyotegemea Marekani! Kwamba, hawaridhiki na makubaliano yanayoendelea lakini hawawezi kumkabili Iran peke yao.

In fact Trump alisimamisha vita kuinusuru Israel. Nusu ya silaha za ulinzi wa anga za Marekani zimetumika Israel, silaha zinazotengenezwa kwa muda mrefu. Trump hataki kurudi tena baada ya jaribio la kuchukua Uranium kufeli, jaribio la kufungua Hurmuz kufeli na manowari zake kuonekana advance mitumbwi ya wavuvi
 
Iran ilijibu vyema sana yale mashambulizi.

Ila inashangaza kujua Kumbe UAE na Saudia nazo zilijibu mashambulizi kwa kuishambulia Iran ila hazikutangaza.

Nguruvi3 zitto junior T14 Armata
Iran ilizishambulia UAE na Saudia hivyo zilijibu mashambulizi kwa kiasi fulani.
Iran ilitumia approach ambayo ilikuwa inatarajiwa kabisa, hakuna kitu imefanya hakikuwa obvious au cha kushtua.
 
Kwanini Iran asipige New York au mji wowote wa Marekani ili tujue yeye ni badala ya USA?
Kwanini Iran kapiga Middle East lakini kilio kiko Washington? Unajua mlinganyo wa energy and power? Uliza stocks market za Marekani na maisha ya mmoja mmoja ndio utajua Iran akili mingi,
 
Kama hajashindwa kwanini aliomba kusimamisha vita basi.
 
Back
Top Bottom