sakata

Sakata (酒田市, Sakata-shi) is a city located in Yamagata Prefecture, Japan. As of 1 October 2015, the city has an estimated population of 106,244 in 39320 households, and a population density of 180 people per km². The total area of the city is 602.97 square kilometres (232.81 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Sakata la marehemu Hamza lisifanye tukasahau matatizo yetu ya kisiasa

    Tuna matatizo makubwa sana kama chama, hili lipo wazi kabisa. Mpaka sasa uongozi ni kama haupo kabisa maana kila kitu kimekwenda mrama. Mwenyekiti yupo jela kama mahabusu. Makamu mwenyekiti yupo Ubelgiji na inaonekana hana mpango wa kurudi bongo. Sasa ni kama kuna ombwe la uongozi maana kama...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbowe - Matokeo ya busara ya kawaida kushindwa kutamalaki

    Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko. Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi. Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya? "Inawezekana namna gani...
  3. Mtini

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu: Rais Samia awe makini na sakata la Mbowe, litamaliza kabisa kibali kidogo alichobakiwa nacho kwa Watanzania

    Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini. Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbowe: Kuna dalili za watu kuja kuandamana

    Hii ndio hali halisi huko Mbeya leo hii(mwnyewe utajiongeza):
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Hosea, kauli yako ni ipi kuhusu sakata la Mbowe/uvunjifu wa Katiba na sheria?

    Tulionya kuwa huyu hafai kuwa kiongozi wa taasisi kama hiyo lakini bado akina Fatuma , Lisu and wasomi wazuri wengine wakampigia kampeni. Ona sasa hawezi kufungua mdomo kukemea haya yanayoendelea maana naye ni CCM. Lisu umepata la kujifunza angalau kwa hili? Hosea mwoga , mzee, hawezi harakati...
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kabambikiwa sakata la Mwanza?

    JE NI KWELI KAAGIZWA? NI LAZIMA ASEME? Sakata la CHADEMA na Polisi huko Mwanza lina harufu ya hujuma zifuatazo: 1. Je ni kweli Mh. Rais kaagiza kongamano lizuiwe? 2. Kama kaagiza kwa nini amuagize RPC badala ya IGP? 3. Je ni kweli RPC kasema hadharani kuwa kaagizwa na Rais au kachomekewa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la kutoridhika na utendaji wa serikali

    Kumekucha! Vilio vya kutoridhika na utendaji wa serikali ambavyo vimekuwapo kwa miaka mingi, hatimaye sasa vinasikika kila kona: 1. Zinazoitwa tozo za uzalendo, 2. Kodi zaidi zikiwamo kwenye mafuta ya vyombo vya moto, 3. Ongezea la nauli za mabasi na usafiri kwa ujumla kutokana #2, 4...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka: BASATA waingilia kati sakata la Miss Tanzania aliyevuliwa taji

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaita Kamati ya Miss Tanzania pamoja na na Miss Tanzania 2020/21 ambaye amevuliwa taji hilo, Rose Manfere. Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Katiba Mtendaji wa Basata, Matiko Mniko, iliyotolewa leo Jumatano Julai 14, 2021 Kamati pamoja na mrembo huyo...
  9. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mauaji ya Rais wa Haiti lachukua sura mpya

    Kukamatwa kwa mfanyabiashara mwenye uraia wa Haiti ambaye anaishi Florida ambaye vyombo vya usalama vinadai kwamba ni mhusika mkuu wa mauaji ya aliyekuwa raisi wa Haiti, kunazidi kuongeza maswali kwenye hili sakata ambalo tayari limeacha mawasli mengi. Vyombo vya usalama vya Haiti vinadai...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sakata la majanga ya Moto yanayoendelea yatazima upepo kudai Katiba Mpya?

    Wakuu Kwema! Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana. Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya? Karibuni tujadili.
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sakata la bomoabomoa Dar lachukua sura mpya

    Baada ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kutoa notisi ya siku 30 ya kubomoa nyumba, kuta, uzio au fremu za biashara katika hifadhi ya Barabara ya Morogoro, wakazi wa maeneo hayo wamesema hawakubaliani na hatua hiyo kwa kuwa hawajalipwa fidia. Kwa mujibu wa barua iliyosainiwa na...
  12. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu sakata la uchaguzi wa TFF

    Mimi Binafsi nadhani huyu Hawa Mniga alikuwa mgombea wa Urais wa (TFF) avhunguzwe, Kwa nini achunguzwe. Unaweza kusema huyu dada ndiye aliyezuia baadhi ya wagombea, kufanya wakose sifa ya kugombea kwa mujibu wa kanuni zilizotungwa na (TFF). Rais Karia na huyu dada ndio waliopata udhamini...
  13. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Sakata la maslahi ya Wabunge na hekaya ya Hilda Newton

    Habari wanabodi, Kumekuwa na trend ya muda kuhusu sakata lililoibuliwa na Mh Nicodemas Henry Maganga mbunge wa Mbongwe kuwa maslahi yao ni madogo kuliko inavyodhaniwa. Katika kuutanabaisha huu mjadala ulioleta hasira toka kwa wapiga kura. Nimekutana na kasimulizi toka kwa Hilda Newton juu ya...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

    SABAYA FOR CHANGE (S4C) Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama kwa upande wa sabaya mmeamua kupambana na Serikali?" UFAFANUZI WA KWANZA: Well, Hatupambani na...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni matumaini yangu mmejiandaa vilivyo kuhusu Sakata la Yanga SC na Mchezaji Morisson kwani naona limekaa vibaya Kwetu huko CAS

    Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI ' inaenda Kutuangukia na huenda tusiamini na tukaja Kujuta pia. Tafadhali upesi sana Simba SC...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ole Sabaya atendewe haki

    Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hai: Zaidi ya Wafanyabiashara 36 wathibitisha kuwa na Nyaraka za uhakika kuthibitisha tuhuma za Sabaya. Waomba kukutana na mamlaka inayomchunguza

    Hii ndio habari mpya inayosambaa Wilayani Hai kwa sasa baada ya Taarifa ya kufutwa kazi kwa aliyekuwa DC wa hapo bwana mdogo bilionea mpya Sabaya (miaka 34) , ambaye anachunguzwa kwa makosa mbali mbali ikiwemo uvamizi , uporaji wa pesa na wizi wa kuaminiwa ikiwa ni pamoja na ulevi wa madaraka...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Sirari-Tarime: Inadaiwa Askari wa Kenya Wamewashambulia Wafanyabiashara wa Mahindi, baadhi wamejeruhiwa kwa Risasi

    Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo. Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital. Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na...
  20. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makamu wa Rais Riadha Tanzania John Bayo kuhusu Vyeti, BMT wakosa majibu

    Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics. Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
Back
Top Bottom