sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Je, ni muda sahihi wa dunia kuwa pamoja?

    Duniani ni mahali tunapoishi na pamebeba historia yetu kubwa,maendeleo yetu ktk nyanja zote yamepatikana hapa, upuuzi na uelevu wote tulionao tunautendea hapa!,hapa ni nyumbani. Binafsi kwangu mimi hivi sasa ni muda muafaka wa dunia kuwa pamoja!,hakuna ambacho hatukijui kuhusiana sisi kwa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tanasha ni mtu sahihi kwa Diamond Platnumz

    Leo tuje kwenye maisha binafsi ya wasanii wetu nje ya mziki wao Tokea diamond awe na uhusiano na tanasha, mondi ametulia sana usikii sijui katoa na Nani Nampa pongezi tanasha kwa kumtuliza mondi maana mondi kiukweli kweli alizidisha kuchepuka hata kama ni mwanaume sio kwa vile. Tanasha ni mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Haya ndio matumizi sahihi ya mshahara wako

    Mshahara ni malipo/ujira anaopokea mtu baada ya kutekeleza majukumu yako katika kipindi fulani kwa mujibu wa makubaliano. Mshahara unaweza kuwa mkubwa au mdogo kwa kulinganisha kiwango cha uzalishaji,gharama za maisha na mtazamo binafsi. Kuna mtu au mazingira ambapo mshahara wa TZS ni 170,000...
  4. JamiiForums Tanzania Shule au chuo kipi ni sahihi kwa matokeo haya

    Habar zenu ndugu zangu. Me naishi na binti yangu, amemaliza kidato cha NNE mwaka 2017. matokeo yake akawa na C1 na D2, ambay ni kiswahili C na eng/islamic, akawa na D mengine yote aliferi, akarudia mwaka jana masom yot kasoro islamic na kiswahili na akapata C ya eng, na mengne akafel tena...
  5. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Siasa za Rangi: Hakika watanzania walichagua njia sahihi za kupatia maendeleo

    Moja ya kumbukizi ya mamboleo ni kuhakikisha unawapa na kutoa Sifa mathubuti Kwa watu weupe (shit) people hawa mara nyingi huwa ni wanasiasa wakiwemo kama Bashe WA zamani, Heche, Sugu, Shonza n.k maana ni wepesi kuongea mambo mazito walizani wamefundisha jamii Yao kumbe ni kusikiliza na kucheka...
  7. JamiiForums Tanzania Mjadala: Leseni inapokwisha muda wake ni sahihi dereva kuilipia kisha kupewa mpya bila kupewa mafunzo tena?

    Kuna vitu mtu unashindwa kujua lengo la serikali zetu hizi, dereva anapewa leseni, anaendesha gari kwa miaka fulani kisha inachuja (expire). Inampasa alipie kiasi fulani kisha apewe kadi (leseni) nyingine. Lengo ni kudhibiti ajali barabarani au kuongeza mapato? Kama lengo ni kuongeza mapato...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni sahihi kweli? nini kazi ya bwana harusi?

    Habari zenu wanandugu!!! Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza.. 1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufuta umoja wa Kabila fulani katika mkoa fulani

    Hivi karibuni nimesikia mkuu wa mkoa fulani akipiga marufuku umoja wa makabila yoyote yaliyopo mkoani kwake na kuhimiza kuundwa kwa umoja wa makabila yaliopo mkoani kwake! Hoja zilizotolewa ni kuwa ni chanzo cha ukabila! Nimefikiria mara kadhaa na kuja kuona hakuna sababu ya kufika au kuchukua...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti na CUF, waasisi wa Chadema hawakuwa wanasiasa bali wafanyabiashara wasio na lengo la kushika dola. Mbowe ni mtu sahihi kukiongoza

    Maneno hayo yamesemwa na mwanasiasa mstaafu Mzee Mgaya kwamba waasisi wa CUF wakina mzee Mapalala (RIP) ndio walikuwa na malengo ya kushika dola tofauti na wenzao wa NCCR - Mageuzi na Chadema. Mzee Mgaya amenihabarisha kuwa ukiyaelewa kwa makini malengo ya waasisi wa Chadema utakubali pasipo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Rais Magufuli yuko sahihi, vyuo vikuu duniani kulikoendelea huandaa wahitimu kujiajiri na sio kusubiri ajira ya serikali

    Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali. Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi na falsafa ya Afrika

    FALSAFA YA AFRIKA NA VIONGOZI WA LEO. Afrika ina namna yake ya pekee sana ya kuutafsiri ulimwengu wake kwa kuzingatia misingi yake. Licha ya falsafa hiyo kupewa majina mengi ya lugha jamii bado misingi yake ni ileile. Mathalani kwa Afrika ya kusini wao waliita UBUNTU na ukiangalia kwa ndani...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Mshitakiwa kuandika maelezo kabla ya Mlalamikaji?

    Wanajamvi, Kuna mtu wangu aliandika maelezo mwezi wa sita mwaka 2019 na mlalamikaji akaandika maelezo yake mwezi Desemba mwaka huohuo. Ni sahihi? Mshitakiwa afanye nini?
  14. JamiiForums Tanzania Ali Kiba atangaza ujio wa ziara yake ya muziki ya ''Unforgettable"

    Leo ndo ile siku mfalme wa Bongo ata toa tamko rasmi,Na wadau wengi hatujui ni tamko gani ila ina semekana anataka kuzungumzia inshu ya kuibiwa penseli na mchiz wa tandale,,"inasemekana lakini" Hili tamko la mfalme litaruka live kupitia EATV na East africa Radio.
  15. JamiiForums Tanzania Kama Mwenyezi Mungu aliyetuumba ana upinzani(shetani) sisi binadamu nani tusiwe na upinzani-CHADEMA maamuzi yenu ni sahihi kabisa!

    Uongozi wa CCM hasa mwnyekiti wwtu anayebariki kila wazo ndani ya chama-upinzani unafaida nyingi kuliko hasara. Hata raisi wetu mpendwa kuwa katika nyazifa hiyo haikuwa bahati mbaya ni kutokana na upinzani uliokuwepo ndani ya chama uliofanya mapaungufu ya wenzake kuonekana wazi wazi mbele ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba au dawa sahihi ya Gonorrhoea (kisonono) kwa Mama Mjamzito wa miezi 8

    Salamu wanabodi, Nina dada yangu nimempeleka maabara asubuhi ya leo na kupimwa mkojo na majibu kuonyesha kuwa ana kisonono (gonorrhoea) na kwa bahati mbaya ana ujauzito wa miezi 8. Sasa je, dawa sahihi ya kuweza kutibu ugonjwa huu bila kumdhuru yeye na mtoto. Msaada wenu ni muhimu sana...
  17. JamiiForums Tanzania Nini Tafsiri sahihi ya Uchumi wa Kati?Je, nini faida ya kuwa nchi ya uchumi wa kati?

    Kuna msemo maarufu ambao unatumika sana na viongozi wetu wa kisiasa kuhusu lengo la taifa letu kuwa taifa la uchumi wa kati.Katika vipimo vya uchumi wa dunia nchi ya uchumi wa kati ni nchi ambayo raia wake wanalo pato la TZS 3,000,000 kwa mwaka hadi TZS 30,000,000 ambayo ni sawa na pato la kati...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ilikuwa sahihi kukataa taarifa ya IMF ya utabiri wa ukuaji uchumi na mfumuko wa bei?

    Naomba maoni yenu wadau kuhusu taarifa mbili za kasi ya ukuaji uchumi wa Tanzania kama zilivyo ripotiwa na Reuters, moja ya mwezi April 2019 iliyotolewa na IMF kisha kupingwa na serikali, na nyingine ya mwezi October 2019 iliyotolewa na serikali. Mwanzo IMF walitabiri (forecast) uchumi utakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu hapa sheria inasemaje? Nani yuko sahihi?

    Jamaa alikuwa na shamba pori. Serikali ikalitifaisha kwa sababu ya kutoendelezwa muda mrefu. Wakauziwa wengine kama viwanja na wana hati za serikali za mitaa. Miaka mingi imepita, jamaa kaibuka anadai kashinda kesi na wanunuzi wote ni wavamizi. Kwa Harakaharaka nani yuko sahihi. Mwenye shamba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo ni kujipanga

    Katika jambo lolote unalotaka kulifanya, ni muhimu kuweka katika mpangilio unaoeleweka. Yaani ujue mwanzo na mwisho ili unapotoka hatua moja ujue unaenda mbele au nyuma. Hivyo hivyo kwenye kilimo, ni vyema kijipanga. Unaweza kuwa na eneo kubwa kwa ajili ya kilimo alafu mwisho wa siku ukashindwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…