Natafuta tiba au dawa sahihi ya Gonorrhoea (kisonono) kwa Mama Mjamzito wa miezi 8

Kiazi Kitamu

Senior Member
Feb 16, 2013
122
125
Salamu wanabodi,

Nina dada yangu nimempeleka maabara asubuhi ya leo na kupimwa mkojo na majibu kuonyesha kuwa ana kisonono (gonorrhoea) na kwa bahati mbaya ana ujauzito wa miezi 8.

Sasa je, dawa sahihi ya kuweza kutibu ugonjwa huu bila kumdhuru yeye na mtoto.

Msaada wenu ni muhimu sana.

Asante na Jumapili njema.
 
Mtoto hawezi kupata madhara kwa maana kashakua mkubwa. Miezi 8 ni Third Trimester, mpeleke hospital atibiwe, narudia tena mpeleke Hospital atibiwe. Ukijichanganya tu mtoto atapata gono la macho.

Na huyo Baba mtu naye akatibiwe. Najua chanzo kitakuwa Ni yeye.

Kitakachofuata Hutoamini.
 
Back
Top Bottom