sahihi

  1. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Mzee Mkapa ni nguzo ya Taifa wapo sahihi

    Tarehe 28/12/2019 niliandika kuhusu Mzee Mkapa kichwa Cha habari kikisema Nini maana ya Legacy? Niliandika naomba Kunukuu:- "Natamani sana kujua wasaidizi wa Rais Mkapa alioingia nao madarakani 1995. Kama kuna mtu ameacha Legacy ya kutosha kwenye nchi hii japokuwa hatuoni kwa macho ya kawaida...
  2. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki za Binadamu ya (IPU) yazitaka mamlaka nchini Tanzania kumuhakikishia Tundu Lissu usalama wake pindi atakaporejea nchini

    Kamati ya haki za binadamu (IPU) imezitaka mamlaka husika nchini Tanzania kuhakikisha usalama wa kiongozi huyo pindi atakaporejea nchini. Aidha, kamati hiyo inadai kuwa tangu Tundu Lissu atangaze nia ya kurejea nchini hivi karibuni imekuwa ikilifuatilia suala hilo kwa ukaribu. Mh. Tundu Lissu...
  3. King JiluX

    JamiiForums Tanzania Membe, Tundu Lissu si karata sahihi kupeperusha bendera kupitia Muungano wa Vyama vya Upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Naomba nianze na salamu wana jukwaa la siasa. Hapa jamvini jamii Forum. Kutokana na kipindi tulichopo(kuelekea uchaguzi mkuu 2020) kumekuwa na majina mengi ya wagombea nafasi ya urais hasa kupitia upinzani ambako ndiko jicho la ushindani wa kupewa nafasi lipo huko (CCM alipita bila kupingwa)...
  4. mdudu

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai kumuomba Rais Magufuli ajenge Ofisi za TAKUKURU Kongwa ni sahihi?

    Ndugu wana bodi Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi mpya za TAKUKURU Chamwino mkoani Dodoma, Sipika Ndugai amemwambia Raisi Magufuli kuwa Wilayani kwake hawana Ofisi za Takukuru . Kitu cha kushangaza ni kwamba ,Bajeti ya Bunge imepitishwa takribani mwezi mmoja sasa na yeye alikuwa ndiye msimamizi wa...
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani sahihi ya kufunga ndoa, unakoendeshea shughuli zako au ilipo asili yenu?

    Mfano unaishi mji A ambao ndiko makazi yako na ndiko unapoendeshea shughuli zako za kila siku, kiasi kwamba watu wako unaoshirikiana nao kila siku wanapatikana Mji huo. Pia, una makazi yako Mji B ambako huko ndio asili yako, wazazi, ndugu na jamaa wengine wanapatikana kwa wingi. Utafunga...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Polepole hata kama uko Songea mjini na siyo Peramiho bado siyo sahihi kumpigia kampeni Jenister Mhagama!

    Nimeshangazwa sana na kauli ya komredi Polepole baada ya kumsifia sana Jenister Mhagama akasema kwa kuwa mkutano ule unafanyika Songea mjini na siyo Peramiho kummwagia sifa lukuki Jenister Mhagama siyo kampeni. Kilichonitisha ni ukweli kuwa Polepole ni mjumbe wa kamati kuu ambayo itachuja...
  7. palahingwe

    JamiiForums Tanzania Wadau: Kuwahi kumaliza Tendo la Ndoa na kuchelewa kipi kina madhara? Na kipi ni sahihi?

    Habari ndugu zangu Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
  8. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli: Ubunge umekuwa rahisi na usiotisha tena. Kuna wa kulaumiwa au kupongezwa?

    Mimi si mtu mzima sana ingawa nami najongea miaka ya kuweza kugombea Urais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa(miaka 40). Hatahivyo, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na mambo ya kinchi tangu nikiwa mdogo. Leo, nitalizungumzia Bunge kama Mhimili mmojawapo wa dola. Mingine, wengi...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Rasta ateuliwa Mwanasheria Mkuu wa Malawi aapishwa, baadhi ya maneno kwenye kiapo agoma kuyatamka. Jaji amsainisha kiapo. Je, ni sahihi kisheria?

    Rastafarian ateuliwa na Raisi mpya Mchungaji Chikwera kuwa mwanashria mkuu wa serikali ya Malawi aapishwa kwa Biblia watu wamshangaa huyo Rasta akiapa kwa Biblia. Maneno mengine kwenye kiapo anayeapa agoma kuyatamka Jaji muapishaji ajikausha na kupotezea ni kituko fulani hivi Wanasheria...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini BAKWATA inashindwa kumpa miongozo sahihi kiongozi wa dini Sheikh Ponda?

    BAKWATA ndio chombo cha juu kabisa cha waislamu nchini Tanzania kikiongozwa na Mufti. Hizi taasisi nyingine ni jumuiya tu lakini chombo kikuu chenye utambulisho wa kuwawakilisha waislamu kitaifa ni Bakwata. Ndio maana hata kwenye Bunge la Katiba waislamu nchini Tanzania waliwakilishwa na...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kabisa kusema kuwa CCM ya sasa ni "CCM ya Magufuli"

    Hatimaye Magufuli amefanikiwa kuiweka CCM mfukoni mwake, tena mfuko wa shati huku akiibeba na kutembea nayo kwa bashasha na makeke mwake. CCM ya sasa inaulizwa kilichopendekezwa na mwenyekiti tena kwa maneno "Si ndivyo jamani?" Kuwarahisishia wapwa na wakulungwa waliojazana humo kwa lengo la...
  12. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuangalia level ya ATF kwenye gearbox ya gari yako

    Kama huwa unaangali level ya ATF kwenye gari yako kama unaangalia Engine oil basi unakosea sana. Hata mimi nilikuwa na mawazo kama hayo mpaka nimekuja kujua kuwa kumbe huwa nakosea. Kwa asilima kubwa ya magari njia sahihi ya kuangalia level ya ATF ni wakati engine ina joto, gari ipo kwenye...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kifaa sahihi cha kupima uwezo wa betri za simu

    Jamani kwa anayejua ni kifaa gani kina uwezo wa kupima uwezo wa Betri za simu anifahamishe tafadharini waungwana.
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli ya kasi uende sanjari na utoaji wa elimu ya matumizi yake sahihi

    Kujenga reli ya aina hii ni jambo geni sio tu geni kwetu Tanzania lakini hata kwa mataifa mengine. Hivyo namna bora ya kuitumia, kuitunza, na kuepuka madhara kama yatakuwepo kwa usahihi lazima ianze sasa kabla ujenzi haujakamikika Yabakie yale tu yanayosubiri hadi ianze kufanya kazi kama vile...
  15. Carleen

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nadharia ya kila pendo la kweli lazima liishie kwenye ndoa ipo sahihi?

    Hi guys, Naomba kufahamishwa usahihi wa hii nadharia ya kila mnayependana kwa dhati ni lazima muonane ina ukweli kiasi gani? Maana ukizungumzia tu upendo wa dhati halafu hayo mazungumzo yasiishie kwenye ndoa hakuna anayekuelewa kama kweli mlipendana. Hivyo natamani kufahamishwa kuwa je ni...
  16. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Siku zote Mwanamke asiyekutaka na aliyekuchoka atakuwa anakusumbua tu hadi Ukasirike kwakuwa anakuwa ameshamuona Mwanaume aliye sahihi Kwake Kiupendo

    MORRISON KUKATWA MSHAHARA: Yanga yatoa ufafanuzi kuhusu mkataba wake na Bernard Morrison, yasisitiza kuwa ni mchezaji wao halali hadi Julai 2022, yasema itamkata shilingi milioni 1.5 kwenye mshahara wake kwa kosa la kufanya mahojiano na chombo cha habari kinyume na utaratibu. Chanzo: Azam TV...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuacha mchumba au kumuoa kufuata wapambe wanavyosema licha ya kuona sifa ulizopanga kazikidhi? Ipo nafasi ya washauri kwa mpenzi wako?

    Kila anayechumbia anakuwa na malengo na mipango yake na sifa alizojiwekea kuwa lazima nioe au nioelewe na mtu mwenye sifa kadhaa!! Je unaweza kumuacha mtu wako kisa maneno ya wanaosema hata kama amekidhi vigezo vyako? Mfano wakwambie Ni mwizi Ni malaya Ana mtoto usioe mwenye mtoto Kwao...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

    CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?
  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuacha Mkeo aparangane na biashara za masafa ya Mbali?

    Ni asubuhi nyingine, matumaini ni kuwa mmeamka salama. Je, ni sahihi kumuacha mkeo kufanya biashara ya kusafiri kwenda mbali kufuata mzigo au bidhaa akiwa mwenyewe? Mfano, mke kusafiri kwenda mikoani kununua mazao ya nafaka na kupeleka dar ambako anamuacha mme wake. Au kusafiri kwenda Dubai...
Back
Top Bottom