Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 695
- 1,803
Habari.
Moja ka moja kwenye maada, Ni sahihi mwanamke/mke/girlfriend kumkosoa mume wake/boyfriend anapokosea?.
Mfano, mwanaume kamtumia mwanamke/mke wake text kwa lugha ya English. Hiyo text ikawa na makosa, sio ya bahati mbaya bali ni kwamba mwanaume hajui hiyo lugha vizuri. Mwanamke akichukua hatua ya kumrekebisha ni kuonesha dharau?
Mfano mwingine, mwanaume anamwelezea kitu mke wake, na anavyomwelezea sio sahihi, na mwanamke anajua usahihi wa hilo jambo. Akimkosoa atakuwa ameonesha dharau? Au mwanamke anapaswa asikilize tuu hata kama anapigwa fix?.
Wanaume na wanawake naombeni maoni yenu.