Toka kampeni imeanza hawakuzungumzia wala kufuatilia wanayo yafanya Mawaziri, Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa, hawa watendaji wamefanya mengi sana wengine wamejihusisha nakuwaagiza wananchi kutowachagua wapinzani kama Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya alifanya kampeni kata hadi kata, alizuia...
Leo nimeshuhudia OCD wa WIlaya ya Hai akisindikiza Mitihani kuelekea Moshi na kingora, Wapo wa chini yake kama OCS, OCCID ha hawa wasaidizi wake wote wana wasaidizi wao wenye nyota 1 hadi 2 pia, sasa inakuwaje. huyu ndio yule aliye mkarpia Mbowe na kumwambia hata shinda hata iweje.
Huyu na hiki...
Utafiti mpya kabisa wa kisayansi uliochapishwa jana kwenye Jarida la Sayansi la BMJ (BMJ 2020;371:m3588 ) umethibitisha kuwa JPM alikuwa sahihi kutowafungia watu kwa sababu ya corona.
Utafiti huo unaonyesha kuwa kuwafungia watu kunaongeza madhara zaidi ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya...
KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais.
Wajumbe 15...
barua
chadema
hukumu
kampeni
lissu
lisu
maadili
nec
news
sababu
sahihi
siasa
tume ya taifa ya uchaguzi
tume ya uchaguzi
tundu lissu
uchaguzi
uchaguzi 2020
vyama
wote
Katika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.
Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya...
Wakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili ujijengee taswira njema katika jamii?
Kuna siku moja mwezi wa August mwaka huu wa 2020 nikiwa nimemaliza mizunguko yangu huko Kariakoo...
Unakuta eti Serikali wanatenga bajeti kwa ajili ya kulipa makampuni binafsi ya mawasiliano ili waende wakasimike minara kwenye maeneo ambayo hayana mvuto wa kibishara hasa vijijini, hii ni sahihi?
Kwanini wasiwakopeshe hizo pesa hata kama ni kwa 0% intrest rate, yaani warudishe baada ya miaka...
Na David KAFULILA.
Septemba21,2020.
Awali sikutaka kuandika chochote kufuatia makubaliano yenye faida za pande mbili kati ya Serikali yetu chini ya Mhe.Rais. Dr John Pombe Magufuli na Kampuni ya Madini ya Barrick.
Hata hivyo, baada ya kusikiliza mahojiano ya BBC kuhusu tathimini ya...
Vijana wengi wanaacha masomo ya Chuo Kikuu kwa sababu asilimia ndogo sana ndio hupata mikopo. Sera ya CCM ni kuwapa mikopo mayatima tu. Soma sera hii ya CHADEMA halafu fanya chaguo sahihi kwa ajili ya mwanao.
"Ugharamiaji wa elimu ya juu ndio changamoto kubwa kwenye elimu ya juu na hivyo...
Mapenzi ukitaka kuyapima basi angalia tu kuhusu mabaya kama unaweza/anaweza kuyabeba na kuyavumilia.
Asili yetu binadamu tumeumbwa na mambo mazuri na kupenda mazuri,hivyo mtu akikupenda kwa mazuri tu huyo hajakupenda bali ndio asili yake tokea kuumbwa.
Kuna watu wanadhani mfano mwanaume...
SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR
Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5
Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
Habari JF.
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 Million but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Habari wadau,
Nawaza hii tabia ya koo za viongozi kushikilia wenyewe nafasi za ubunge kwenye majimbo mengi, mfano familia ya Kikwete.
Mzee Kikwete amekuwa mbunge Chalinze miaka zaidi ya 15 na Uwaziri na Urais juu. Ukoo wa Kikwete umeshapata nafasi yao hapa ya kula cake ya taifa.
Mtoto wake...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania;
Ujerumani iliwahi kuwaua binadamu zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya (European...
Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
Mhe. Kikwete alikuwa sahihi kukata jina la Membe 2015 kuwa mgombea urais kupitia CCM kwa kweli hana ushawishi wala mvuto wowote kwa watanzania, Kama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za...
Kwa wiki mbili sasa mitandaoni inazunguka barua inayoonyesha ni ya askofu Desiderius Rwoma wa jimbo katoliki la Bukoba. Barua hiyo inahusu padre aliyeandika barua ya kuacha upadre akaenda kusikojulikana.
Barua hiyo inaonyesha kwamba padre huyo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkenge...
Nianze mada yangu kwa kunukuu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 18(1) nayo inasema hivi "Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila kujali mipaka ya nchi na pia uhuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.