Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,503
- 25,116
Hi guys,
Naomba kufahamishwa usahihi wa hii nadharia ya kila mnayependana kwa dhati ni lazima muonane ina ukweli kiasi gani?
Maana ukizungumzia tu upendo wa dhati halafu hayo mazungumzo yasiishie kwenye ndoa hakuna anayekuelewa kama kweli mlipendana.
Hivyo natamani kufahamishwa kuwa je ni kweli 'mafanikio' ya pendo lolote la dhati linapaswa liwe ndoa? Kwamba isipofika hapo maana yake hapakuwa na pendo la dhati ndani yake? This ain't nothing personal, nimetamani tu kufahamu..