Uchaguzi 2020 Wanaodhani ACT-Wazalendo na CHADEMA kushindwa kusimamisha mgombea mmoja ni uchu wa madaraka mnakosea, ni mbinu sahihi kuwabana NEC na CCM

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,634
30,000
Anayeandika hapa ni YEYE BRITANICCA

Wavivu wa Fikra wanadhani Imekuwa Ngumu ACT na Chadema Kuungana kisa uchu wa madaraka nani agombee, sasa nawafungua Bongo zenu
Hakuna ugumu kuna mbinu NEC lazima tuwapime wanajifanya wajanja wakiengua mgombea mmojawapo kwa ukatili, wananchi wanahamia upande mwengine wakiwaacha wote tunakubali mmoja nyoyo zimevurugwa ccm wanatapatapa hawana nguvu ya kusimama mbele ya umma na kuwadanganya.

Lazima kuwa na ubunifu ili ikitokea aina yeyote ya mizengwe Upinzani usikose mwakilishi imara,

Britannica
 
Kuna logic! Kama wana nia ya kuungana, ni matter ya mmoja kujitoa mwishoni if all two will be certified! , this also can work effectively!
Nikuulize, hivi Britanicca wa Twitter ndio wwe?
 
Mawazo yako yanaanza na kuenguliwa, halafu unaita wengine wavivu wa kufikiri

Kama.una adui mkubwa nafsini kwako, ni kuona kila.fikra zako ziko deep kuliko za wengine
 
Kuna logic! Kama wana nia ya kuungana, ni matter ya mmoja kujitoa mwishoni if all two will be certified! , this also can work effectively!
Nikuulize, hivi Britanicca wa Twitter ndio wwe?
Wagombea wote ambao watarudisha fomu majina yao yatakuwa kwenye karatasi ya kura hata kama atajitoa mwishoni. Unless huyo mgombea ni tishio hasa kwa Magufuli.

Uzuri wa CCM ni chama Katili, dhulumati na joka katili ambalo ubaradhuri wake uko underated na wadanganyika
 
Wagombea wote ambao watarudisha fomu majina yao yatakuwa keenye karatasi ya kura hata kama atajitos mwishoni.

Uzuri wa CCM ni chama Katili, dhulumati na joka katili amvalo ubaradhuri wake uko underated na wadanganyika
What is important is for the public to note that "somebody" be it Lisu/Membe has withdrawn his name though printed!
 
Back
Top Bottom