Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,833
- 155,780
Hoja yangu nimeiweka kwenye namna ya swali ili tuweze kupata majibu sahihi, na tuangalie vyema hali yetu ya kiusalama kiuchumi, kijamii na kisiasa pia.
Vita ya kiuchumi imepamba sana Moto, maadui wetu wanatumia mbinu mbalimbali ili watufute kwenye sura ya dunia.
Shirika kubwa la afya la Marekani kupitia tovuti yake COVID-19 in Tanzania - COVID-19 Very High - Level 4: COVID-19 Very High - Travel Health Notices | Travelers' Health | CDC imeiweka nchi yetu kwenye daraja la nne ambalo ndilo daraja hatari kabisa kwa maambukizi ya COVID-19.
Dhumuni kubwa kabisa la kufanya hivi, kwanza ni kuzuia watalii kutoka sehemu mbalimbali za dunia, wasitiririke kwa wingi kuja nchini kwetu kipindi hiki ambacho kwao kuna baridi kali sana na maambukizi ya COVID-19 yako juu sana.
Wanaichafua nchi yetu ili tukose mapato, tuendelee kuwategemea wao kwa kila kitu, wahenga walisema adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama ni shujaa.
Kusudi la pili kututangaza kuwa tuko kwenye daraja la nne la juu la maambukizi ya COVID-19, ni kutaka kuja kuachilia bio weapons zao, ambapo wataleta virusi hatari kuliko COVID-19, tufe kwa wingi na waitangazie dunia kuwa yule Tanzania ambaye alikuwa mkaidi sasa anaangamia.
Kumbuka kuwa pia tutatengwa na jamii ya Kimataifa.
Sasa kabla haya yote hayajatokea, Rais wetu chuma, mwamba, jiwe, bulldozer unaonaje huu ni wakati sahihi kwako kufunga balozi za mabeberu, tubaki na balozi tu ambazo sio za kibeberu?
Chelewachelewa utamkuta mwana si wako