Chelsea imefanya uwamuzi sahihi Sana wa kumfukuza Lampard

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,577
18,901
Yaani hapa nilipo ninafuraha isiyo na kifani leo ninachinja mbuzi kabisa big up Abramovic na board nzima ya Chelsea hii ndio Chelsea tunayoijua hakuna kumvumilia mtu ukiaharibu unafukuzwa.

Kama Lampard angeendelea kubaki hata ligi ya mabingwa tungetolewa na A.Madrid na tungeambulia patupu kocha gani hata kupanga kikosi kinamshinda tuna kikosi kizuri alafu anashindwa kukitumia Chelsea Ni sehemu ambayo kocha unapewa kila kitu tofauti na jirani yetu Arsenal unashindwaje kufanikiwa?

Namtakia kila la kheri Lampard najua ulikuwa ni uwamuzi mgumu kumfukuza legend huyu kutokana na legacy aliyoiacha Chelsea lakini pia na mahusiano mazuri aliyonayo na Abramovic ila kilichoangaliwa Ni maslahi mapana ya team kuliko yeye binafsi.
 
Yaani hapa nilipo ninafuraha isiyo na kifani leo ninachinja mbuzi kabisa big up Abramovic na board nzima ya Chelsea hii ndio Chelsea tunayoijua hakuna kumvumilia mtu ukiaharibu unafukuzwa.Kama Lampard angeendelea kubaki hata ligi ya mabingwa tungetolewa na A.Madrid na tungeambulia patupu kocha gani hata kupanga kikosi kinamshinda tuna kikosi kizuri alafu anashindwa kukitumia Chelsea Ni sehemu ambayo kocha unapewa kila kitu tofauti na jirani yetu Arsenal unashindwaje kufanikiwa?

Namtakia kila la kheri Lampard najua ulikuwa ni uwamuzi mgumu kumfukuza legend huyu kutokana na legacy aliyoiacha Chelsea lakini pia na mahusiano mazuri aliyonayo na Abramovic ila kilichoangaliwa Ni maslahi mapana ya team kuliko yeye binafsi.
AJE YANGA
 
Walikosea sana
Lampard amesajiri wachezaji wengi vijana na wametoka ligi tofaut tofaut na aina ya soka lao ni tofauti tofauti.

Kwahiyo msimu huu huu wasingeweza kukaa wote kwenye form .
Lampard alibugi kujaza machezaji mengi
Alitakiwa azibe kidog kidogo

Angeendelea na team hii msimu ujao watu wangetafutana
 
Lampard Hana tactical ability hii ndio imechangia kufukuzwa
 
Lampard Hana tactical ability hii ndio imechangia kufukuzwa
No hana hata miaka mitatu kwenye game
Tactical ability zinakuja Mara hii ghafla
Ana mengi ya kujifunza kwa kaka zake kija jk na pep
Kama mlitegemea kombe msimu huu mlijidanganya.

Tatizo alipewa team kubwa ghafla
Wenzie kina pep walikuwa Barcelona b huko kwanza
Klopp alianza Mainz .

Umeshaona?
 
Chelsea sio team ya kujifunza Ni team inayotaka matokeo na ndio maana ikampa kila kitu anachotaka.
 
Back
Top Bottom