TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Habari wadau..!
Ebu leo tumjadili huyu mtu anayejiita Mwana FA achana na Hamis Mwinjuma maana huyo nasikia siku hizi ni Mbunge huko jimbo la Muheza.
Je, ni sahihi kwa wanamuziki wa kizazi hiki kipya kujivisha ma vyeo kama Gwiji,King n.k wakati hawajawai kuliletea taifa hata tuzo moja ya heshima kama ilivyo kwa Fatuma Binti Baraka (Bibi Kidude ) ambaye mpaka Wikipedia na mitandao mingine mikubwa duniani inamtambua kama Gwiji.
Bi Kidude mpaka umauti unamfika huyu ndio tunamtambua kama Gwiji la muziki ,alikuwa anaimba mpaka watu wanatoka uarabuni na ulaya kuja kumuangalia akiimba.
Sasa huu ugwiji wa mwana FA unatoka wapi??mwenye kujua hili suala atupe ufafanuzi.