sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Haya mawazo ni sahihi au kuna sehemu nimekosea nipeni mwongozo

    Je haya mawazo ni sahihi au kuna sehemu nimekosea nipeni mwongozo. Mawaziri na Spika: Waziri mkuu, mawaziri wa wizara, spika wa bunge na naibu spika wa bunge wanatakiwa wasiwe wabunge. Matokeo ya uchaguzi Mkuu: Matokeo ya uchaguzi mkuu yahojiwe mahakamani. Tume huru ya uchaguzi: Kuwepo na...
  2. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kwa viongozi wetu wa kisiasa kuchagua maneno sahihi ya kujibu hoja za wananchi

    Nakumbuka awamu ya tatu wakati serikali ikitaka kununua ndege ya Rais aina ya Gulfstream G550 kwa thamani ya bilioni 46 Watanzania walio wengi, walionyesha kupinga hatua hiyo, kwa kuzingatia hali ya uchumi ya nchi yetu kwa wakati huo Lakini, aliyekuwa waziri wa fedha wa wakati huo, mzee...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; hiki ninachoenda kufanya ni sahihi?

    Wakuu habari zenu na poleni kwa majukumu. Naombeni ushauri kwa hili jambo ingawa ni la kiofisi ila naamini humu nitapata muongozo au mawazo yatayoniongoza kufanya maamuzi sahihi. Ipo hivi, nipo kwenye kampuni ambayo inajihusisha na mambo ya afya narudia tena (a profit kampuni) kwasasa nimepewa...
  4. JamiiForums Tanzania Utata juu ya Rais Samia kuingilia kati tozo mpya za miamala

    Mi nimetafakari kwa kina sana ila nimeshindwa kupata jibu. Yafuatayo najiuliza 1. Mh. Rais alisaini au hakusaini hiyo sheria ya TOZO mpya? 2. Kama alisaini, je alikuwa anapima upepo wa wananchi? 3. Je, ni political tension? 4. Je, itakuwa imemuongezea asilimia za kuupiga mwingi? Kama kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu wa CHADEMA, Hayati Magufuli alikuwa sahihi kizuia siasa uchwara

    Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo. Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA. Leo...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa wapendanao ( wanandoa & wapenzi ) kutumia video za ngono kama muongozo wawapo faragha?

    Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu. Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono zilikuja kwa nia njema ya kututoa tongo tongo juu ya maswala mazima yahusianayo na tendo la ndoa kama...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Fanya haya ili uweze kuchagua kozi sahihi chuoni

    Binafsi nimebahatika kusoma chuo kwa Tanzania kilicho na kozi nyingi za Bachelor Degree kuliko vyuo vingine, Chuo kikuu cha Dodoma, Nilikuwa nasoma Shahada ya kwanza ya Ualimu katika ndaki ya sayansi asilia pamoja na hesabu(CNMS), Hivyo nimebahatika kula, kuishi, kujadili, kuongelea na kulala...
  8. JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kuwakwamua wazazi wasiwe wategemezi kwako siku za mbeleni

    Wazazi wetu ni watu muhimu sana ambao hakuna ambae aliwaomba wamlete hapa duniani,kila mmoja alikuja duniani kwa sababu wazazi wake walitamani mtoto hivyo tumekuja duniani kwa mapenzi ya wazazi na sio mapenzi yetu. Katika siku za karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya vijana tunaotafuta...
  9. JamiiForums Tanzania Miamala ya Pesa: Benki ni njia sahihi, salama na nafuu zaidi

    Kufanya miamala kwa kutumia M-PESA , Tigopesa , Aitel Money, Halopesa nk ni gharama sana hasa kwa maisha ya Mtanzania. Siku hizi karibu kila mtu ana akaunti number ya benk, na matawi ni mengi sana nchi nzima. Hata Wakala wa NMB, CRDB wametapakaa kote nchini. Ni njia rahisi na bei yake ni ndogo...
  10. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Je, ni sahihi aichofanya Mkurugenzi wa Kasulu?

    Mkurugenzi wa Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Fatna Laay amekataa kutumia fedha zote shilingi milioni 210 alizopewa kwa ajili ya kujinunulia gari lake la kazi na badala yake amenunua gari la Milioni 162 na fedha iliyobaki amewanunulia pikipiki Watendaji wa Kata 12. Swali: Je, alichofanya ni sahihi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Zingatia matumizi sahihi ya dawa

    kuzingatia matumizi sahihi ya dawa ni jambo muhimu na jukumu la kila mmoja wetu, Unapopewa dawa sehemu yoyote iwe hospitali au famasi za jamii hakikisha umepewa maelekezo ya kutosha ya namna ya kutumia dawa husikana kama kuna kitu kina kutatiza ama hukielewi muulize mtaalamu wako. Dawa hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Hoja sio ukubwa wa tozo bali matumizi sahihi

    Kuna mdau amenihoji nini msimamo wangu kuhusu hizi tozo au tuseme sakata la Tozo. Nitamjibu bila unafiki... Mimi ni muumini wa nchi kujitegemea na kujiendesha kikamilifu kwani hiyo ndio maana kamili ya uhuru. Haiwezekani kwa miaka yote hiyo tangu uhuru tuendelee...
  13. JamiiForums Tanzania RC Mtaka yupo sahihi. Ni kweli kabisa viongozi wetu hawana uchungu na elimu ya watoto wetu

    Pamoja na approach aliyoitumia ila alichokisema RC antony mtaka ni ukweli uliochelewa kusemwa kwa sababu ni kwa miaka mingi sana elimu yetu imekuwa ikifanyiwa siasa na kuharibiwa na viongozi tuliowapa dhamana ya kuisimamia. Mara kadhaa kumekuwa kukitolewa matamko yasiyo na kichwa wala miguu...
  14. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Platform ya Siasa Afrika sio chaguo sahihi la maendeleo kwa vijana

    Afrika tumekuwa tukitafsiri siasa tofauti , miaka ya nyuma kidogo hususani miaka ya 2000 vijana wengi tulijua siasa ni uongo mtupu , na jamii nyingi za vijana ziliamini kwamba hupaswi kumuamini kabisa mwanasiasa , lakini miaka ya 2015 na kuendelea, siasa ilianza kuonekana ni ajira nzuri na...
  15. JamiiForums Tanzania COVID: Israel registers 501 new cases, cabinet to meet on new measures

    Habari hii hapa chini kuhusu ongezeko la maambukizi mpya ya corona huko Israeli, nchi iliyochanja raia wake wengi kiasilimia kuliko nchi nyingine yeyote duniani, inaonesha jinsi ambavyo Magufuli was all right kuhusu corona, namna ulivyo ugonjwa ambao itabidi tujifunze kuishi nao kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sahihi kusema CCM imelegalega au CHADEMA ni imara jimbo la Segerea?

    Wanabodi, Nashawishika kuamini kwamba kwa shughuli za kisiasa wanazozifanya CHADEMA kwa sasa katika jimbo la Segerea zinazotokana na mtaji mkubwa wa kisiasa ulichonacho chama hicho jimboni hapo. Tumeshuhudia vuguvugu la kudai katiba mpya likianzishwa pale, na sasa ufunguzi wa ofisi ya chama...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mdude Nyagali ni sahihi, ni muafaka na CHADEMA wasiingie mtego wa kuikana

    Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza kijana mdude Nyagali, ameonyesha uthabiti wa nia wa kupambana na udikteta na uvunjifu wa sheria na katiba nchini. Mdude ni aina ya vijana jeuri ambao mwalimu Nyerere alisema anataka kuwaona katika nchi hii, ambao wakimuona Bwana mkubwa anakosea basi...
  18. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

    Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu. Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba. Hawa CCM...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania tuamueni lililosahihi hapa tafadhali

    Je, tung'ang'anie Katiba Mpya huku Uchumi wetu Ukidorora au tuimarishe na tukuze Kwanza Uchumi wetu na Katiba Mpya tuwaachie Vizazi vijavyo? Leo nitakuwa ninasoma tu Maoni yenu.
  20. JamiiForums Tanzania Nimefanya Utafiti wangu huu Binafsi Je, nipo sahihi nao au niendelee Kuufanya zaidi?

    Nimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati wa Kimaisha ila waliwakataa na Kuwadharau kwakuwa walikuwa hawana Kipato ( Pesa ) na Kukimbilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…