ALLY BANANGA YUPO SAHIHI; FAMILIA KWANZA.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Kwa watu wasiojua maana ya familia, wasiojua maana ya ndoa ni rahisi kumponda na kumkosoa vikali Ally Bananga. Lakini kwa wanaojua maana ya familia, wanaojua maana ya Mke/mume na watoto ambao ndio familia yenyewe watamuunga...
Nina wasiwasi hawa tunaowapa kazi ya kuchapisha pesa zetu wanachapisha na makontena ya ziada na kuyaingiza kwenye mzunguko kimya kimya. Should i be concerned?
Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri yatakayotokeoa mikoani.
Alisema kwa msomi mzuri wa sociology atafahamu nini kitatokea kwa kuangalia...
Kama shabiki wa Simba kindakindaki nimekaa nikiiangalia timu yangu hasa eneo la ushambuliaji. Ambako kuna Bocco, Kagere na Mugalu. Katika huyu Mugalu sasa anaweza kupata nafasi 5 za kufunga ila akafunga goli moja tu. Tukirudi kwa Kagere yeye akipata nafasi ya kufunga katika mbili atatupia at...
Kocha wa timu ya Taifa ya Spain, Jose Luis Enrique ameita kikosi cha timu ya taifa kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya Ulaya kwa Timu za Taifa zitakzoanza Juni 11 mwaka huu.
katika hali ya kushangaza hakuna mchezaji hata mmoja kutoka kwa wababe Real Madrid aliyeitwa kikosini humo.
Je, Luis...
Mwendo ni mrefu na inatakiwa upite kila siku njia hiyo hiyo: kutoka Mji (A ) kwenda kula JIJI (B).
Zingatia; (Hairuhusiwi kwenda kwa miguu, pikipiki wala bajaji)
(Njia ya kwanza ni Lami yenye Foleni):
Kutoka sehemu (A) kwenda (B) kuna barabara ya lami, lakini imejaa magari mengi na inafoleni...
Zama tunazoishi sasa ni zama ngumu mno ambapo mtu usipokuwa na msingi imara utaishia kuanguka vibaya.
Fursa ni nyingi mno, lakini nyingi siyo fursa za kweli.
Fursa hizo zinahamasisha na kutamanisha kwa sababu unaona kabisa wengine wakinufaika nazo.
Kumbe hiyo ni sehemu ya mtego wa kukunasa ili...
Habari wadau..!
Kabla sijaanza mada yangu ni declare interest kwamba mm ni moja ya watu waliozaliwa katika familia za kikatoliki na kubatizwa na kupata mafundisho yote huko.Lakini kwa sasa nimechagua njia yangu baada ya kupoteza imani ya kikatoliki.
Ndani ya kanisa wameanzisha utaratibu wa...
Heshima sana wanajamvi,
Tanzania ilipata uhuru wake zaidi ya miaka 60 iliyopita.Tumepitia awamu mbali mbali kuanzia awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere hadi sasa awamu ya sita ya Mama Samia Suluhu.
Nimekuwa nikitatizwa na namna tunavyojitawala,hasa katika suala la zima la mamlaka ya uteuzi wa...
CCM itaendelea kutegemea dola ili ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hadi lini?
CCM itaendelea kutegemea mbeleko ya Wakurugenzi na wakuu wa wilaya hadi lini ilhali katika uhalisia mioyo ya wapiga kura huwezi kuisemea wala kuiamulia?
Ni wakati sasa CCM ijijengee uhalali wa...
Katika maamuzi ya serikali iliyopita ambayo sikufurahishwa nayo ni kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii kwakuwa haukuwa shirikishi na haukuzingatia sababu za kiutafiti zilizopelekea kuundwa kwake.
Nilijiuliza maswali mengi juu ya faida ya uamuzi huo lakini nilipata chache mno na zenye...
Zipo spark plug za aina nyingi sana. Yapo mambo mengi sana yanayoweza kutofautisha spark plug za gari na gari jingine.
Mambo hayo ni
1.Material yaliyotengeneza hizo plug (iridium copper n.k)
2. Urefu wa thread (nyingine zinakuwa na thread ndefu nyingine fupi)
3. Gap (nyingi zina gap la...
Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri.
Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa...
Katika mazingira ya kawaida askari polisi haruhusiwi kutumia nguvu dhidi ya mtuhumiwa yeyote isipokuwa tu kama mtu huyo anakataa kukamatwa au anajaribu kutoroka
Ijapokuwa askari polisi anaweza kutumia nguvu, lakini hayuko juu ya sheria, na iwapo atatumia nguvu isivyohitajika atachukuliwa hatua...
Viongozi na watendaji walioshiriki kuumiza na kunyanyasa watu kwa sababu ya madaraka na kumlinda kiongozi bado wanaamini Mungu akuwaona?
Je bado wanakula mema ya nchi Kama walivyotegemea au nyakati zakusaga meno zimewadia? Ni sahihi kuishi kwakumtegemea mwanadamu?
Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja.
Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Line of Succession nzima inaweza...
https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims
HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI
Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
Rais Samia amesema menejimenti na bodi za baadhi ya mashirika wamekuwa wakitafuta fedha huku na kule waweze kulipa gawio serikalini ili kulinda ajira zao.
CPA Uttoh alisema dividend hulipwa kutoka kwenye faida na siyo vinginevyo.
Ramadhan Kareem!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.