Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu.
Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono zilikuja kwa nia njema ya kututoa tongo tongo juu ya maswala mazima yahusianayo na tendo la ndoa kama...
Binafsi nimebahatika kusoma chuo kwa Tanzania kilicho na kozi nyingi za Bachelor Degree kuliko vyuo vingine, Chuo kikuu cha Dodoma, Nilikuwa nasoma Shahada ya kwanza ya Ualimu katika ndaki ya sayansi asilia pamoja na hesabu(CNMS), Hivyo nimebahatika kula, kuishi, kujadili, kuongelea na kulala...
Wazazi wetu ni watu muhimu sana ambao hakuna ambae aliwaomba wamlete hapa duniani,kila mmoja alikuja duniani kwa sababu wazazi wake walitamani mtoto hivyo tumekuja duniani kwa mapenzi ya wazazi na sio mapenzi yetu.
Katika siku za karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya vijana tunaotafuta...
Kufanya miamala kwa kutumia M-PESA , Tigopesa , Aitel Money, Halopesa nk ni gharama sana hasa kwa maisha ya Mtanzania.
Siku hizi karibu kila mtu ana akaunti number ya benk, na matawi ni mengi sana nchi nzima. Hata Wakala wa NMB, CRDB wametapakaa kote nchini.
Ni njia rahisi na bei yake ni ndogo...
Mkurugenzi wa Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Fatna Laay amekataa kutumia fedha zote shilingi milioni 210 alizopewa kwa ajili ya kujinunulia gari lake la kazi na badala yake amenunua gari la Milioni 162 na fedha iliyobaki amewanunulia pikipiki Watendaji wa Kata 12.
Swali: Je, alichofanya ni sahihi...
kuzingatia matumizi sahihi ya dawa ni jambo muhimu na jukumu la kila mmoja wetu,
Unapopewa dawa sehemu yoyote iwe hospitali au famasi za jamii hakikisha umepewa maelekezo ya kutosha ya namna ya kutumia dawa husikana kama kuna kitu kina kutatiza ama hukielewi muulize mtaalamu wako.
Dawa hiyo...
Kuna mdau amenihoji nini msimamo wangu kuhusu hizi tozo au tuseme sakata la Tozo. Nitamjibu bila unafiki...
Mimi ni muumini wa nchi kujitegemea na kujiendesha kikamilifu kwani hiyo ndio maana kamili ya uhuru. Haiwezekani kwa miaka yote hiyo tangu uhuru tuendelee...
Pamoja na approach aliyoitumia ila alichokisema RC antony mtaka ni ukweli uliochelewa kusemwa kwa sababu ni kwa miaka mingi sana elimu yetu imekuwa ikifanyiwa siasa na kuharibiwa na viongozi tuliowapa dhamana ya kuisimamia.
Mara kadhaa kumekuwa kukitolewa matamko yasiyo na kichwa wala miguu...
Afrika tumekuwa tukitafsiri siasa tofauti , miaka ya nyuma kidogo hususani miaka ya 2000 vijana wengi tulijua siasa ni uongo mtupu , na jamii nyingi za vijana ziliamini kwamba hupaswi kumuamini kabisa mwanasiasa , lakini miaka ya 2015 na kuendelea, siasa ilianza kuonekana ni ajira nzuri na...
Habari hii hapa chini kuhusu ongezeko la maambukizi mpya ya corona huko Israeli, nchi iliyochanja raia wake wengi kiasilimia kuliko nchi nyingine yeyote duniani, inaonesha jinsi ambavyo Magufuli was all right kuhusu corona, namna ulivyo ugonjwa ambao itabidi tujifunze kuishi nao kama...
Wanabodi,
Nashawishika kuamini kwamba kwa shughuli za kisiasa wanazozifanya CHADEMA kwa sasa katika jimbo la Segerea zinazotokana na mtaji mkubwa wa kisiasa ulichonacho chama hicho jimboni hapo.
Tumeshuhudia vuguvugu la kudai katiba mpya likianzishwa pale, na sasa ufunguzi wa ofisi ya chama...
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza kijana mdude Nyagali, ameonyesha uthabiti wa nia wa kupambana na udikteta na uvunjifu wa sheria na katiba nchini.
Mdude ni aina ya vijana jeuri ambao mwalimu Nyerere alisema anataka kuwaona katika nchi hii, ambao wakimuona Bwana mkubwa anakosea basi...
Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu.
Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba.
Hawa CCM...
Je, tung'ang'anie Katiba Mpya huku Uchumi wetu Ukidorora au tuimarishe na tukuze Kwanza Uchumi wetu na Katiba Mpya tuwaachie Vizazi vijavyo?
Leo nitakuwa ninasoma tu Maoni yenu.
Nimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati wa Kimaisha ila waliwakataa na Kuwadharau kwakuwa walikuwa hawana Kipato ( Pesa ) na Kukimbilia...
Mimi nimeumia na nimeniuma sana: haiwezekani mtu ume-graduate 2015 unaachwa kuajiliwa eti anaajiriwa wa 2018 kisa kakuzidi umri
Kwahiyo kutokuwa na umi mkubwa ni kosa?
Je, ajira za serikali sharti iwe na miaka mingapi? Tunaomba ufafanuzi,
Mtu kaanzia kufanya kazi kwenye taasisi binafsi hadi...
Ukiwasikia, ukiwasoma Wanayanga wakilikataa goal walilofungwa Azam ambao jana Captain wao alilikubali na kusema ni Uzembe wao. Unagundua wanayanga siyo Binadamu.
Hawaujui mpira. Ndo maana huwa wanaambia haya kambebeni Sarpong wanaenda, wanaambiwa kambebeni Hersi wanaenda.
Wanaambiwa nendeni...
NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO MAMA UMETUSHINDIA
Na Yericko Nyerere
Hureeeeee vita vyetu kwa maslahi ya Taifa tumeshinda! Asante Rais Mama Samia suluhu Hassan, nilimpinga Magufuli alipositisha mradi huu kwa hoja dhaifudhaifu na za uongo wa kiwango cha rami. Nikampinga baada ya kufariki baada ya...
Habari wadau,
Ukiambiwa peleka tangazo la mirathi katika gazeti? Je, gazeti la kampuni yeyote ama gazeti maalumu.
Ni gazeti gani linakubalika na mahakama?
Ama umepoteza vyeti ukaambiwa katangaze gazetini? Gazeti gani linakubalika na mahakama?
Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana.
Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka.
Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.