sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Ni sahihi Yanga kumlilia Morrison

    Kwa kiwango hiki huyu Wakili Msomi alichoonyesha dhidi ya Red arrows huwezi kuwalaumu Yanga kwa kuendelea kumlilia na Kumkumbuka Benard Morrison, Wakili Msomi.. Hakika Yanga Nendeni Fifa Tena mkakate Rufaa
  2. JamiiForums Tanzania Hii Logic ipo sahihi..?

    Habari 👋 Wajuzi ningependa kujuzwa zaidi kuhusu hili. It's a geometry of belief, makanisa ya kikatoliki hasa jimbo kuu la mkoa fulani hua limejengwa katikati ya mji. Yaani sehem inapoonyesa kwamba hapa ndio kati ya mji basi kanisa (Jimbo kuu) linakua limejengwa hapo. Sio kwenye clock tower or...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda kesi CAS Bernard Morrison anataka kuishtaki Yanga SC kwa kufoji sahihi yake katika Usajili

    Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

    Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jamani
  5. N

    JamiiForums Tanzania Upi ndio uwekezaji sahihi?

    Watanzania wenzangu naomba tufanye tafakuri hii ili kuona na kupima maono ya viongozi wetu ambao tumewapa dhamana ya kutuongoza na kutufikisha katiko mafanikio ya juu kwenye historia ya mwanadamu. Natambua kuwa kila mtu ndani ya nchi hii ana wajibu wa kulilinda, kilijengwa na kilitetea taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini utaoa/olewa na mtu asiye sahihi

    (usomaji wa dakika 7) Wangapi wanaweza kukiri kuwa wanahisi wameoa/wameolewa na mtu asiye sahihi? Basi mimi nipo hapa kutoa ushauri nasaha pamoja na faraja kwenu. Unajua watu wengi tuna hasira tulizozibeba ndani yetu juu ya mahusiano yetu ya kimapenzi, jinsi mahusiano yetu yalivyoenda. Leo...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiri kuwepo upungufu wa umeme, Makamba alisema ni 'scheduled maintainance'

    Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani. Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
  8. JamiiForums Tanzania Oil sahihi Kwa injini za Boti

    Boti ndogo zinatumia injini za Nje(Outboard Engine) zimetengenezwa kulingana na mapigo ya injini (engine stroke/cycle). Hapa kuna aina mbili (2) injini kulingana na mapigo Kuna 2 Stroke Outboard Engines na 4 Stroke Outboard Engines. Watumiaji wengi wa boti au vyombo vidogo vya majini wamekuwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi akaunti ya Serikali ya TCCIA ku-follow changudoa mitandao ya kijamii?

    Kama mnavyoona hapa yaani hata ukiwa unatumia account ya company huwezi KUFOLLOW account za Instagram za machangudoa
  10. JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Mheshimiwa Jaji ukiisoma hukumu hii UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS pingamizi letu juu ya diary ya shahidi utaliona ni sahihi

    Kibatala: Mheshimiwa Jaji niende kwenye hii Kesi ya Wenzetu ya UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS Kama Kuna Kesi itakuisaidia basi kesi hii.. Na Kupeleka Ukurasa wa Tano, Sisi tumesema Kwamba Shahidi Ni INCOMPETENT. Kibatala: Kama unaona Kuna ugumu wa kufanya uamuzi kwenye kesi hii naomba itumie...
  11. JamiiForums Tanzania Rayvanny anatengeneza direction sahihi ya Bongo Fleva. Wasanii muifate

    Kuna siku niliweka thread nikisema Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi cha sasa, wakatokea watu wakanishambulia sana. Sasa niwaambie movement za sasa za Ray ndio standard tunayopaswa kwenda nayo kama tunataka kutoboa soko la international. Ukisikia EP yake mpya inaitwa New Chui unaona kabisa hii...
  12. JamiiForums Tanzania Kanuni sahihi za ufugaji wa kuku wa kienyeji

    KANUNI SAHIHI ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe, imedhihirika CHADEMA walikuwa sahihi kutokwenda Mahakamani baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020

    Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama. Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufanya maamuzi haya kwa hali ninayoipitia kwa sasa?

    Habari za wakati huu wanajamvi Naomba nitoe utambulisho kwa kifupi tu,,,, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nina mke na watoto kadhaa ni mfanya biashara hivyo hulazimika kusafiri mara kwa mara hali hiyo imekuwa inaniladhimu kuwa mbali na mama watoto. Katika kusafiri kwangu hivi karibuni...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Je, neno 'Mashiko' ni neno sahihi na iko kwenye kamusi?

    Nimekuwa nikifuatilia kesi ya Ndugu Mbowe na wenzake lakini mara nyingi Mawakili wa Serikali wakitaka kupinga hoja za Mawakili wa utetezi utasikia wakisema kuwa hoja hii HAINA MASHIKO. Sasa nauliza je neno hili ni neno sahihi kwa matumizi yetu ya kila siku na ipo kwenye kamusi ya kiswahili...
  16. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Wilaya ya Hai, kumwambia Mama mjamzito anunue vifaa vya kujifungulia ni sahihi kweli au kawaida

    Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao...
  17. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Versailles uliomaliza WWI ilipotiwa sahihi mwaka 1919

    Mkataba huu ulitiwa sahihi miaka mitano baada ya kifo cha Archduke Franz Fernand aliyekua mrithi wa Ufalme wa Hungary, Bosnia na Austria, hii ilikua falme moja kabla ya mgawanyiko. Sababu ya mauwaji ilikua vuguvugu la wanafunzi wa Bosnia waliotaka Bosnia iwe huru kutoka katika utawala wa...
  18. JamiiForums Tanzania Maamuzi matatu ya Serikali ya awamu ya sita yanayolalamikiwa yote yapo sahihi Na Sababu zangu ni kama ifuatavyo

    Kwanza unatakiwa kujua kwamba Serikali inapokuwa inafanya maamuzi yake Inaweza isiwe sahihi Kwa mujibu WA katiba lakini ikawa sahihi kisiasa, kiuchumi, kiusalama wa nchi au kiutawala.( Constitutionally wrong but politically right etc and vice versa). Utaratibu Huu upo katika Serikali zote...
  19. JamiiForums Tanzania Erik Ten Hag ndiye kocha sahihi kupewa Machester United

    Kama Manchester United wanataka kurejea zile enzi za Babu basi wamchukue huyu kocha hatari wa Ajax Huyu jamaa ni zaidi ya Pep kwa tactics, Mpira wa kisasa ili upambane na Chelsea na Liverpool unahitaji kocha mwenye uwezo wa Kufundisha mpira na kutumia vipaji na kuwajenga wachezaji wapya wawe...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Polepole alikuwa sahihi kuwa "Serikali ni mwanasesere"

    Kuna kauli moja alitoa pole pole kuhusu kuwa na parallel state, yaani nchi kuendeshwa na kikundi flani kimejificha nyuma huku serikali tunayoiona kubali kama pambo au MWANASESERE, hii inaweza kuwa kweli kwa upande mmoja kutokana na mifano hii. 1. Kesi ya Mbowe inaonekana kuna nguvu zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…