Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,868
Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary.

Je hii ni sahihi kweli jamani
 
Stationery ukiwabana maswali ya uhalali wa wao kuthibitisha loss report hawana cha kujibu, mimi siku hizi naenda moja kwa moja kwa mtoa huduma wa sim card yangu ikipotea, kuharibika au kuibiwa, maadamu nina NIDA
 
Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jaman
Ni kwamba iko online mkuu!
 
Bado hujaeleweka! Mi nishatoa hiyo report mara mbili kwa kutumia simu yangu nikaenda print tu then nikaenda kuoata huduma sehemu husika bila matatizo yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata mm last time nili download mwenyewe kisha nikaenda ku print tu,
Ila nimeshangaa leo wana sema nifike kituo cha polisi ili waithibitishe
 
Hii ishakuwa kero hakika, mtu anatumia 1hour kwa ajil ya loss report
 
Hao stationary wanaweza wasiwe na uhalali lakini ni bora wamerahisishia watu kazi manake ukienda polisi ni shida tupu yani.
Mimi pia nilishawai kujaza mwenyewe kisha nikaenda stationary nika print ile karatasi kwa miatano tu.nikazama ofisi za tigo kurenew laini yangu.
 
Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary.

Je hii ni sahihi kweli jamani
Ndugu nisaidie link y kujaza /register loss report
 
Ata mm last time nili download mwenyewe kisha nikaenda ku print tu,
Ila nimeshangaa leo wana sema nifike kituo cha polisi ili waithibitishe
Unafanuaje kujaza form online. Kila nikijaribu kujaza online inaleta error
 
Wakuu kila nikijaza form ya loss report naletewa ujumbe huu.

Je nakosea nin
Screenshot_2023-08-31-01-10-23-942_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2023-08-31-01-10-23-942_com.android.chrome.jpg
 
Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary.

Je hii ni sahihi kweli jamani
Online Police Loss Report Form Tanzania 2023/2024
Fill out the form via the Internet to provide a description of the loss.
You will get Control Number 99XXXXXXXXXX.
Pay Tsh 500 / = through the internet.
Go to any police station for confirmationPrint your letter to your time
 
Back
Top Bottom