sahihi

  1. Wanaume tujadiliane, hivi ni muda gani sahihi wa kuanza kumpa mwanamke hela baada ya kumtongoza?

    Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo. Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje? Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela...
  2. Watu sahihi kwenye mapenzi nao wana akili wakati wa kuja wana kuja na wakati wa kuondoka ukifika wanaondoka pia

    Salaam JF Maisha ni raha sana kwenye mapenzi kuna watu wanakuja ili kuwa na wewe, na pia kuna watu wanakuja ili wawe na wewe maisha mwako na kuyajenga maisha na wewe. Na kuna wenye vybez wanaopita kama mwewe. Uhuru ni wako na Akili ni yako pia. Chagua wewe wakati hausubiri ila akili pungufu...
  3. Unajua njia sahihi za kutunza chaji kwenye simu yako

    Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa simu janja unaweza ukawa una tumia muda wako mwingi kuangalia uwezo mkubwa wa uhifadhi kumbukumbu wa simu, kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display, processor na uwezo wa betri wa simu. Leo tuangalie za ndani ndani juu ya uwezo wa Battery la toleo la POP 7...
  4. Kama Wachumi Wawili Wazuri Hawawezi Kukubaliana, Kwanini Mwigulu Mchemba Adhani Anachoamini Yeye ni Sahihi?

    Mtunzi mmoja maarufu, George Bernard Shaw, aliwahi kusema: "Ikiwa wachumi wote wangewekwa kona hadi kona, hawangefikia hitimisho (tamati)." (Tafsiri yangu) Kwa hiyo, inakuwaje wachumi wawili wabobezi wenye uzoefu, maarifa, wanasoma na kuchambua takwimu sawa na kila mmoja anakuja na utabiri au...
  5. Sakata la video ya madawati Sinde Mbeya mwalimu wa kujitolea alikuwa sahihi

    Hili sakata kwa tuliowasikiliza viongozi wa mkoa ni wazi walikiri kuwa kulikuwa na uhaba wa madeski shuleni Sinde, viongozi hao walisema siku husika walikuwa wakigawa madeski japo haohao wanasema shule haikuwa na uhaba wa madeski! Hayo madeski walikuwa wakigawa ni ya ziada? Viongozi wa mkoa...
  6. N

    Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
  7. Je, ni sahihi mamlaka za elimu kumbadilishia Mwanafunzi jina lake?

    Salaam wakuu, Nimepata shida kwa watoto wangu wawili kubadilishiwa majina.Wa kwanza alifanya mtihani wa darasa la nne mwaka 2020 na mwingine 2022.Nilipata kufahamu tatizo Hilo baada ya matokeo ya darasa la nne.Shule walizosomea majibu yao ni kuwa wao walisajili sawasawa kulingana na vyeti vya...
  8. S

    Ni Sahihi Kutumia Nondo za 10mm Kwenye Mifereji ya Paa la "Hidden Roof"?

    Kwema Wakuu? Nimeanza Ujenzi wa Nyumba yenye Hidden Roof, na nishapiga kozi 10 nataka sasa nianze kwenye Linta kwenda juu kozi 6 pamoja na kibaraza na mifereji yake ya maji. Katika "quotations" nilizopata kutoka kwa mafundi kama watatu hivi kuna mmoja ameniambia kua lile zege za mifereji ya...
  9. Ndugulile: Tuwekeze Maabara kupata Vipimo sahihi, kuepuka UTI sugu

    Ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya njia ya mkojo, maarufu kwa jina la UTI na typhoid limekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania katika sekta ya afya kutokana na kutumia fedha nyingi katika kutibu wagonjwa kutokana na usugu wa dawa. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, ripoti ya Benki ya Dunia ya...
  10. S

    Naomba ushauri nina kijana wangu kamaliza certificate of journalism na hataki kuendelea

    Habari humu ndani? Nitangulie kwa kuwapa pole na hongera kwa mapambano na mwezi januari kama tunavyojua ni lazima kila tunapoanza mwaka lazima tuanze na January lakini ni mwezi ambao haujawahi kuzoeleka wala kuhishi kwa mazoe. Huu mwezi umekuwa na kanuni na taratibu zake ila Mungu ni mwema...
  11. Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  12. Hii hapa Ibara ya Katiba ya Tanzania aliyoigusia Lissu mkutanoni. Je, alikuwa sahihi?

    Ni Ibara ya 99 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inabeba dhana ya utaratibu wa kutunga Sheria kuhusu mambo ya fedha. Ibara husika ina ibara ndogo 3. Tafadhali someni Ibara hii na mjiridhishe iwapo Wakili Msomi mwenzangu Tundu A.M. Lissu alikuwa sahihi au la kwenye hoja yake ya kuhusu...
  13. Je, ni Sahihi Kumjua mtu kupitia mtu?

    Jana nikiwa nimejipumzisha zangu nikajisikia kusikiliza Redio kidogo basi mara nyingi ikitokea Nataka kusikiliza matangazo ya Redio basi Tbc Taifa ndio sehemu muafaka kwangu Kule huwa napata kitu roho inapenda,maana hizi Redio za niaje niaje mtu wangu na collection ya miziki Yao ya kamata kiuno...
  14. Ni sahihi kumuheshimu boss wako/ Mchungaji/Sheikh /Padre kuliko Mumeo/Mkeo?

    Kutana naye ofisini /sehemu ya ibada Utasema mwanamke ndiye huyu! Anavyomnyenyekea boss wake, utasema ana heshima Sana. Boss ataulizwa nikupe chai au kahawa? Kuna kitu unahitaji, tabasamu Kama lote. Ushawahi kukutana na wadada wa customer care? Utasema hapa ndiyo penyewe 😁 Kanisani nako...
  15. Je, ni sahihi kwa soko la Kariakoo kuhamishiwa Ubungo?

    Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwenda hadi Kariakoo wataishia tu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, nini mtizamo juu ya hili? Video chini ina maelezo ya ziada. ========================...
  16. Joseph Mbilinyi (Sugu) alikuwa sahihi, Rais Samia anaendesha nchi vizuri

    Januari 12,22023 , Mbunge mstaafu wa Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA , Joseph Mbilinyi alitweet" Nchi inaenda, so far so good. Hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo na state. Mengine yote yanazungumzika,na tutakutana kwenye mikutano ya hadhara soon. Mungu aendelee kuwapa busara...
  17. M

    Je, ni sahihi wananchi kuchangia mafuta ambulance au magari ya polisi wanapohitaji huduma?

    Imekuwa kama kasumba sasa. Mwananchi akipata tatizo kwenye mahospital ya wilaya ambazo ziko na hospital za rufaa na kisha kuandikiwa rufaa huwa anaambiwa kuchangia mafuta ili mgonjwa apelekwe. Polisi nao ukienda kuripoti tukio la uhalifu ili waende eneo la tukio huwa wanahitaji mafuta ya...
  18. Hii ndiyo njia sahihi (ya kisayansi) ya kuwaumiza 'haters' wako

    Hakunaga binadamu asiyetaka kuwaprove wrong haters wake. Kuwaprove wrong watu waliokuwa wanasema hatoweza ku accomplish jambo fulani. Hakunaga.Hata Mungu alimruhusu Shetani amjaribu Ayubu kwa sababu alitaka kuprove kitu kwa hater wake. Kama kuna watu walikuwaga wanasema hutoweza kutimiza jambo...
  19. Njia ipi ni sahihi kufikia uwepo wa Mungu na vipi unaweza kujifunza utukufu wake duniani

    Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki? 1: Mzungu katuletea dini 2: Mzungu katuletea mavazi 3: Mzungu katuletea utandawazi 4: Mzungu katuletea njia za mawasiliano 5: Mzungu katuletea taharuki mbalimbali na mafunzo juu ya mahusiano 6: Mzungu huyo bado anatumaliza kwa magonjwa ya...
  20. CCM na Chawa, CHADEMA na Makamanda - Nani yuko sahihi?

    WanaJF Salaam! Nimeona leo kwenye mitandao ya kijamii issue ya uzinduzi wa Chawa wa Mama kwa upande wa CCM yangu; Lakini upande wa CDM mara kadhaa majina ya kimkakati ya uendeshaji siasa nchini yanaitwa Makamanda, Operesheni Sangara nk. Nachojiuliza ni kwa nini ndg zangu hawa wakubali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…