sahihi

  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwekezaji sahihi kwenye sekta ya uzalishaji ndio mwarobaini wa tatizo la ajira nchini

    Huku mitaani idadi ya vijana wasio na ajira ni kubwa na inazidi kuongezeka Kila uchao. Tatizo ni kubwa na linazidi kuongezeka kwa Kasi,ajira ndio msingi wa kipato na kipato ndio msingi wa maisha. Yapo mawazo yanayowataka vijana wajiajiri,kinadharia ni dhana nyepesi kuizungumza lakini ngumu...
  2. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda Kenya kimyakimya: Je, ni sahihi kwa Usalama wake? Kwanini Usalama wa Taifa wametuficha ziara ya Rais wetu kwenda Kenya?

    Je, ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa? Je, Mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto? --- Pia soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini...
  3. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Maneno yapi sahihi hapa?

    Onyesha,onesha,vyema,vema
  4. ikhlas

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa njia sahihi na salama ya kutoa Ujauzito (abortion)

    Wasalam wadau , Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni. Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu asitake kutuaminisha kuwa Magu alikuwa sahihi kuto mpa pole

    Kwa jinsi Lissu anavyoendelea vibaya kuutumia uhuru alionao kikatiba katika mikutano tofauti, inakaribia sana kwetu waTZ kuamini kuwa yaliyomtokea wakati wa Magufuli pengine haikuwa makosa. Mpaka sasa bado waTZ tunamuonea huruma kwa yaliyotomtokea wakati ule, ananafasi yakujisahihisha. Kauli...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wakiwa kwenye umri mzuri (prime age) lazima wachague wanaume wasio sahihi?

    Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba kwenye umri huo wanakuwa hawafatwi na wanaume sahihi, wanafuatwa na wanaume wengi sahihi, ila...
  7. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wakati Sahihi wa Mabadiliko yenye tija katika Kilimo cha Mifugo kuelekea ufugaji wenye tija kwa jamii ya Kitanzania

    Mabadiliko yenye tija katika ufugaji ni ubeti unaoimbwa kila muda Tanzania,Afrika na duniani kwa ujumla wake. Hii inachagizwa na umuhimu wa suala la ufugaji katika maeneo makubwa matatu ambayo ni 01. Utunzaji wa Mazingira 02. Afya za wanaadamu na 03. Afya na haki za mifugo zenyewe. Licha ya...
  8. winnerian

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi sasa wa kubadili nembo ya Taifa. Ina vitu haramu katika nchi yetu

    Kwenye nembo ya Taifa kuna pembe za ndovu (pembe za tembo). Kwa wakati huo inatengenezwa nahisi au nadhani biashara ya pembe za ndovu ilikuwa halali ila kwa zama hizi ni haramu ikiwa inamaana haifai tena kuendelea kukaa kwenye nembo ya taifa letu.
  9. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Udadisi uliomuua paka: Namna sahihi kiafya ya kuulaza mwili wako

    Habari wakuu. Nisiwapotezee muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Awali ya yote niseme tu wazi Mimi sio mtu wa Afya nikimaanisha Mimi sio daktari wala sio nesi. Namaanisha Mimi si mtu mwenye taaluma ya Afya Ila napenda masuala ya Afya. ....... Nitagusia kitu kidogo tu kinachohusu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi anachofanya Gerson Msigwa na RC Mbeya kuhusu dharau kwa serikali wanayoisimamia? Tumeshindwa kusimamia watanzania tutaweza kusimamia wageni?

    Wanachofanya Gerson Msigwa na RC Mbeya akivymiliki kwa kweli; wanawatukana watanzania adharani bila woga wakiamini wanatetea serikali. Msemaji wa serikali kutamka kwamba Serikali imeshindwa kuwasimamia watumishi wa bandari ni kumdharau aliyemteua. Kutamka adharani kwamba bandarini kuna wezi na...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Kwa tulipofikia ni bora serikali yote ijiuzulu na uitishwe uchaguzi kabla ya 2025 ili kupata serikali itayoipelekea nchi yetu mahali sahihi

    Ni wazi kuwa serikali ya sasa imeamua kuchukua maamuzi ambayo yamekosa ushauri na mwongozi sahihi. Kuna masuala kadhaa: 1. Mkataba wa bandari za Tanzania Bara na kampuni ya kimataifa ya DP world umewahishwa sana. NI wazi kuwa kulikuwa na mijadala kuhusu "terms" za mkataba hadi umauti...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Bandari: Ni Wakati sahihi sasa Watanzania wa hali zote kuwekeza kwenye Bandari yao ili kuleta Mantiki kwenye umiliki wao

    Kinadharia, rasilimali za Tanzania, ikiwemo bandari, ni mali ya wananchi (umma) wa Tanzania. Kiuhalisia, mwenye maamuzi ya kuhusu lolote linaloweza kufanyika kwenye bandari ni Rais wa JMT. Kutokana na huu mjadala unaoendelea sasa, pengine ni wakati muafaka Watanzania wakaanza kuwekeza kidogo...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina alikuwa sahihi kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe.kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi. Dkt. Tulia amesema hayo June 28,2023 Bunge, Dkt. Tulia amesema...
  14. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Mkataba feki vs Mkataba sahihi

    Kila uchao Waziri mkuu analioloma oooh DP hawachapewa Bandani, Tumuamini nani??? Hakuna mwanasheria au kiongozi mwenye hekima amejitokeza kutetea huu mkataba, yuko wapi Makamba mzee wa kulamba asali, Ana Makinda, PIUS Msekwa ??? Kama mmmebugi mnyamaze , Tanzania tunapungukiwa viongozi bora, na...
  15. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Kwa saini yako kwenye mkataba wa DP World, Waziri wa Ujenzi na uchukuzi bado upo madarakani kweli?

    Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu? Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa? Huoni aibu kwani? Na...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa Mitazamo ya hawa Wafuatao ndiyo Mitazamo ya Watanzania wote na wako sahihi?

    1. Profesa Shivji 2. Tundu Lissu 3. Freeman Mbowe 4. Dk. Wilbroad Slaa 5. Harold Sungusia 6. Godbless Lema 7. Dk. Charles Kitima GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mpina alikuwa sahihi alivyomshutumu Waziri Mkuu kupuuzwa maagizo yake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi Dkt. Tulia amesema hayo leo June 28,2023...
  18. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Atakayetoa taarifa sahihi ya kupatikana Mzee Michael Juma, zawadi Tsh 500,000/ au zaidi

    Mtakumbuka mwaka 2018,April niliweka hapa jukwaani mada isemayo Anatafutwa Mzee Michael JUma Mkazi wa Mtwara na Masasi. Kiufupi kwa wale ambao hawakupitia uzi huu mda ule Ni kuwa huyu Michael Juma alikuwa Ni Askari magereza katika gereza la musoma miaka ya 80S.Alikwa na Mke anaitwa Mama...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa. --- Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Maswali haya yakipata majibu sahihi, sintofahamu ya uwekezaji bandarini itaondoka. DP World ni kampuni ya kawaida ya biashara, haina tatizo lolote

    Hakuna anayepinga uwekezaji, utaratibu tu ufuatwe Usimamizi wa bandari sio rocket science Upinzani wa kuwekeza kwenye bandari Serikali kukiri kushindwa kusimamia bandari ijiendeshe kwa ufanisi Maswali ya msingi yanayopaswa kujibiwa Uzoefu wa biashara wa DP World sehemu mbalimbali duniani Jambo...
Back
Top Bottom