Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga

Foxhunters

Senior Member
Nov 25, 2019
147
92
Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga.

Mimi ni kijana nahitaji kwenda kuanzisha maisha mji wa Mafinga. Nina ujuzi wa ICT, kilimo cha mboga mboga n.k, mtaji ni milion 6.
1. Historia yake.
2. Makabila yake, mila na desturi.
3. Huduma za kijamii.
4. Uchumi kwa ujumla.
 
Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga.

Mimi ni kijana nahitaji kwenda kuanzisha maisha mji wa Mafinga. Nina ujuzi wa ICT, kilimo cha mboga mboga n.k, mtaji ni milion 6.
1. Historia yake.
2. Makabila yake, mila na desturi.
3. Huduma za kijamii.
4. Uchumi kwa ujumla.
Popote ulipo Jenifer msigala jua nakukumbuka sana .

Mafinga nitarudi
 
Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga.

Mimi ni kijana nahitaji kwenda kuanzisha maisha mji wa Mafinga. Nina ujuzi wa ICT, kilimo cha mboga mboga n.k, mtaji ni milion 6.
1. Historia yake.
2. Makabila yake, mila na desturi.
3. Huduma za kijamii.
4. Uchumi kwa ujumla.

Mafinga ni mji uliopo katika wilaya ya Mufindi. Wilaya hii inazo kanseli 2. Mafinga TC & Mufindi DC.

Kule mkuu ni chai, mahindi, mazao ya misitu mbao na milunda. Sao hill &GRl ndo wadau wakubwa sana katika mambo ya misitu.

Kwa sasa wachina wamevamia wanafyeka sana miti kwa ajili ya viwanda vyao vya plywood, marine board, MDF n.k

Kuhusu kabila wahehe ndo wenye mji hapo. Mila zao ni poa kama watanzania tulivyo.

Huduma za kijamii zote zipo, ni wewe tu. Ingawa malaya wa pale wanajiona kila mtu analima mbao wanalopoka tu bei, gambe zinapigwa vizuri.

Hali ya baridi ni kali sana, mwaka mzima pale wanavaa makoti, huko mufindi mvua mwaka mzima na barid lake ni balaa.

Vijiwe vya gambe ni Ibiza, BM lounge, calabash ila kuna machimbo kibao sana. Kama una motokaa mafuta uhakika pale vituo kama maduka ya kariakoo .

Kimsingi kama barid kwako sio changamoto, utaenjoy kuwepo mafinga.

See u december mkuu ukifika. Lolote sema nikukutanishe na madalali wa kila kitu.
 
Bar zina majiko ya moto, alikasusu ipo pia mkuu, ukitaka kusafiri kwa dharura hukwami pale ni main road. Unakula tank, fuso ama lori.

Baadhi ya maeneo maarufu ni calabash, pipeline, kinyanambo, kwa CF, mkombwe, sabasaba, changarawe. Kigamboni, boma.
 
Back
Top Bottom