Ni sahihi kumtaarifu mpenzi wako kuwa una zawadi kutoka kwa ex?

Hivi hua mnatafuta nini kwa hao ma ex?

Ukisha achana na mtu endelea na life lako bila kuangalia nyuma,
Sasa unataka kumwambia partner wako kua una zawadi ulipewa na ex wako ili iweje?
Pengine yeye anazo zawadi kibao ambazo alipewa na x wake ila amepiga kimya tu coz haina maana kusema.
 
Utoto ushamba na ujinga ndio vinagharimu mapenzi ya watu. Hakukua na ulazima wa yeye kuleta mada ya kijinga hivi mkuu kwa akili tu unajiuliza je yeye akisema anazawadi za ex mleta mada atajiskiaje. Kuna ujinga tulipandikiziwa sasa unatutafuna
 
Na hayo ndio madhara ya kuwasiliana na ex

Ukiachana na mtu hata kama mlikubaliana kiroho safi muachane ni heri msiwe na mawasiliano ya aina yoyote,yani mnaachana mnakuwa kama hamjuani

Sasa wewe ex wako mnapeana zawadi kama nani na nani yani?marafiki?
 
Wakati mwingine wanawake hua mnajitakia kupigwa vibuti wenyewe.
Yaani hakuna mwanaume anaeweza kukubali hata kuona au kusikia kwamba bado unawasiliana na X wako "ukiacha zawadi".
Na ikitokea mwanaume amegundua ama amejua kwamba unawasiliana na X, ama umepewa zawadi na X, kisha ukamuona amenyamaza bila kuchukua hatua yeyote basi tambua kwamba anakuvumilia tu, ila anakulia timing
 
Kuachana na mtu haimaanishi muwe MAADUI. Dunia hii tunapitia mambo mengi na wala hujui kesho yako itakuaje hapo baadae.

Zawadi haina Madhara. Ingawa nitataka kujua motive ya hiyo zawadi yaani mmefikaje fikaje huko. Hapo ndio nitaamua nini cha kufanya.
 
Na hayo ndio madhara ya kuwasiliana na ex

Ukiachana na mtu hata kama mlikubaliana kiroho safi muachane ni heri msiwe na mawasiliano ya aina yoyote,yani mnaachana mnakuwa kama hamjuani

Sasa wewe ex wako mnapeana zawadi kama nani na nani yani?marafiki?
Mtu ambaye unatembea na shahawa zake na yeye anatembea na mate yako kuna ubaya gani kusalimiana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom