Habari za jumapili wadau!
Binafsi nimekuwa mpenzi sana wa mtindi wa kampuni ya asas! Siku kadhaa hapa nyuma nilikutana mtindi ambao ulikuwa na harufu mbaya sana, binafs nikawa nahisi uenda humu kwenye maduka friji huwa wanazima labda ndiyo maana inaharibika.
Niliwaambia wauzaji kuwa mtindi...
Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine
Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake
Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki
Nne; Pia hasara...
Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa.
Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
JF nimejiunga miaka 12 ilopita.
Japo sionekani sana kwa sasa ila ni sababu ya JF yenyewe imesababisha haya. Kupitia jukwaa hili nimevuna nilicho panda kwa wanajamii wenzangu. Kupitia JF mimi nipo kama nilivyo sasa.
Napenda kusema Chochote nacho miliki,chochote nacho fanya na ajira yangu ya...
Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.
Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.
Ila nimesikitika sana...
Habari mkuu.
Naendelea kujifunza na kuwa Inspired sana na hii kitu AI, Midjourney, kadiri inavyobamba na kuzisogeza kwa karibu tasnia mbalimbali, hapa naweza kuzungumzia tasnia ya picha na filamu.
Kwa mfano kwa haraka haraka unaweza kusema nayo hivi; "Mcheza sinema Adam Sandler kiongozi wa...
Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara nyingi inakuwa imeishia hapo na pengine baada ya miaka michache anarejea tena kwenye mfumo."
Maagizo...
Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia Maswali mengi Vichwani wale Binadamu Wachache sana tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu.
Je...
Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega?
Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
kwanza kabisa mtanisamehe kwa kuwasumbua kila wakati kwa kuja hapa kuhitaji msaada wenu lakini nashukuru kwa majibu yenu mazuri ambayo wakati mwingine yananifanya kuwa makini na mambo yajayo,
ipo hivi kwanza kabisa mazingira ya hii ndoto na watu wote waliokuwepo nawafahamu ni huko kijijini...
Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .
Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya...
Shekhe Ponda uwaga anatatea haki ila sasa mfumo wa uongozi na utawala wa Nchi yetu (Ushaambiwa Serikali ya Tanzania haina Dini) hapo Shekhe Ponda anabidi anyamaze.
Kisheria ya dini yuko sahihi kabisa... kuhusu umri sio mpaka binti afikishe 18+ndo aolewe.
Nchi yetu binti chini ya miaka 18+...
Ni kweli ukatili upo mashuleni, wanafunzi wanapewa adhabu zisioendana na umri wao.
Nilichokuona ni kwamba walimu wengi wana psychological disoder ambayo inatokana na changamoto za kiutumishi. Matokeo yake anashusha hasira zake kwa mwanafunzi.
Utakuta mwalimu anakrupiwa na mkuu wa shule mbele...
Wala GENTAMYCINE nisizunguke sana katika hili Mimi siwezi abadan ila Majina ya Wazazi wangu nitayatumia tu kwa kuwapa Wanangu ( Watoto Wangu ) ila siyo Vinginevyo.
Haya tayari nimeshachokoza Mada ( Uzi ) hivyo Karibuni Great Thinkers wa JamiiForums muweze Kutiririka na Kuserereka katika hili...
Kwa jina naitwa MJ John
Ninaishi Bariadi Simiyu na wazazi wangu. Umri wangu ni miaka 17 Ninasoma kidato Cha nne na mwaka huu namaliza elimu yangu ya sekondari, lakini nakabiliwa na changamoto ambayo inanitatiza sana . Nyumbani ninapo ishi baba na mama Huwa hawaelewani Huwa wanagombana sana tu...
Habari za asubuhi na hongereni kwa majukumu ya utafutaji.
Kumekuwa na mijadala mingi sana huu ya pesa mtandaoni. Na kuna baadhi wametoa shuhuda jinsi wanavofanikiwa kwa njia mbalimbali za mtandaoni.
Mtandaoni kuna pesa kikubwa upate njia sahihi za kufanya, tuache woga wa uthubutu na kuziba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.