Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Nimesoma taarifa ya UNESCO inayoeleza kuhusu mazoezi ya Tsunami kwa nchi zilizo katika mwambao wa Bahari ya Hindi. Mazoezi haya yalitaka kupima uwezo wa nchi katika kuhakikisha jamii inakuwa tayari na kuangalia uwezo wa mawasiliano. soma taarifa hiyo hapa Indian Ocean Countries Get Ready for IOWave23 Tsunami Preparedness Exercise
Swali ni Je, tumefaulu katika mawasiliano na kuhakikisha Jamii inasikiliza mamlaka?
Aisee, mimi naona hatujafaulu kwa kuwa sijaona kiumbe akiwa katika harakati za kuondoka katika maeneo yaliyotajwa. Aidha, hata mamlaka kusisitiza watu sijaona. Zoezi linatakiwa kuwa kama kweli ili likitokea kweli watu wawe wanajua cha kufanya.
Mathalani, hospital hazikuandaliwa. Na Ripoti ya Tsunami imetolewa na TMA, taasisi ambayo watz hawaiamini hivyo wakati mwingine mamlaka zinazoaminiwa ndio zitoe taarifa, (Sio lazima kufuata protocal) yaani hata akija waziri Mkuu kusema kama ana imani na watu ni rahisi watu kufuata.
Kifupi mawasiliano na kujiandaa kwetu ni kwa kijinga sana