Jino kwa jino ndiyo mbinu sahihi ya kudili nayo kwenye mahusiano

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
Kwema Wakuu!

Mbinu bora ya wakati wote ambayo hata mimi Taikon ninatumia kwenye mahusiano yangu ambayo nimefanikiwa na nitafanikiwa. Yaani kwenye jino kwa jino kufanikiwa sio hiyari bali lazima.

Nipende nikuonyeshe upendo maradufu.
Nijali nikujali.
Niheshimu nikuheshimu.

Niletee upuuzi alafu uone vile shetani akiuvaa mwili wa binadamu. Ukinicheat naku-cheat maradufu.
Ukiniletea uduwanzi utaelewa Watibeli ni Watu wa aina gani.

Sisi ni waaminifu kikamilifu. Ni waaminifu kwa asilimia 90% kwa mazuri na kwa mabaya. Yaani kama nilikuwa mzuri kwako kwa asilimia 90% basi elewa kiwango hichohicho ndicho ambacho nitakuwa mbaya kwako. Huo ndio uaminifu. Hatuwezi kudanganya.

Wanaotumia kanuni ya jino kwa jino wengi wamefanikiwa kwenye mahusiano.

Hakuna msamaha hapa. Ni lazima ulipe.

Na mimi lazima nilipe nikikufanyia upuuzi.

Kuachana ni dakika tuu. Ukinisaliti lazima uachwe lakini kabla hujaachwa lazima nawe uonje utamu wa kusalitiwa kwa kiwango mara mbili ya ulichokitenda.

Hivyo ndivyo namna ambavyo ukitaka mahusiano yenu yaende kwa haki na yasiwe yakitapeli na kuumizana kijingajinga.

Mwambie kabisa mwenza wako kuwa siku ukini-cheat kabla hatujaachana lazima niku-cheat pale panapouma. Tena kwa mtu ambaye atakûumiza.

Mwambie wewe ni mwaminifu na unachokisema ndicho unachokitekeleza, na akujue hivyo hata kwa mambo mengine.

Sio mtu akuletee mambo ya sijui msameheane, sijui Kanisani au misikitini, mwambie hapa Haki bin Haki. Kabla hatuachana.

Hivyo ndivyo Watibeli tunavyoishi. Na hakuna Ngedere yoyote atakayejaribu kukuchezea ikiwa anajua kile ambacho atafanya nawe utamlipa vilevile na kumjazia kabla haujamuacha.

Usaliti hauna Excuse. Msaliti ni msaliti tuu. Na dawa ya msaliti ni Kumpa Haki yake ambayo sio Msamaha.

Mambo yote hayo yasemwe kabla hamjaingia kwenye mahusiano. Mpe muongozo kabisa kama sisi Watibeli tufanyavyo. Ili baadaye asijesema hukumwambia.

Mlale unono
 
Ukifanya hivyo nawe uwe tayari kufanyiwa the same.

Tatizo letu wanaume tunataka kukandamiza wapendwa wetu tu muda wote wakati sisi ndio top layer kwenye cheating...
 
Nafikiri nimeshaeleza.

Tabia ya Watu wabinafsi namna ya kuishughulikia ndio hivyo.

Muda wa kucheka na kima hakuna.
Watu wapasuane mpaka watakapoheshimiana. Bila hivyo kuna kundi litazidi kuteseka
 
Hii kanuni kwa upande wa wanawake haiwezi fanya kazi.

Hiyo ndio wanayotumia. Mwanamke na kisasi ni pua na kamasi. Wasikudanganye kuwa wanasamehe, hakunaga kitu kama hicho.

Wanawake wakiwa na uchumi ndio wanakuwa huru kuonyesha tabia zao halisi ambazo haziko mbali na tabia za wanaume kwani wote ni binadamu
 
Hii kanuni siyo ya Mbinguni, Visasi ni tabia ya shetani na mtaachana sana asee kwa mbinu hii hutoboi master umetupiga mwingi unless msiwe na future zaidi ya kupelekeana myoto.

Sheria ka hizo zinawekwa sana ila zinavunjwa sana ili Maisha yasonge huwez mlipa mtu kwa kila kosa hayo siyo Mapenzi.
 
Wengine mna date watu wasio na afya ya akili...ukianza jino Kwa jino. .Nani sasa atakuwa mwenye nafuu?
Au mwenza wako kama mgonjwa wa akili na wewe ushindane nae??
 
Hii kanuni siyo ya Mbinguni, Visasi ni tabia ya shetani na mtaachana sana asee kwa mbinu hii hutoboi master umetupiga mwingi unless msiwe na future zaidi ya kupelekeana myoto.

Sheria ka hizo zinawekwa sana ila zinavunjwa sana ili Maisha yasonge huwez mlipa mtu kwa kila kosa hayo siyo Mapenzi.

Hatuishi mbinguni mkuu. Hizo ni kanuni za duniani na zinatumika kwa wanaokaa Duniani.

Makosa ya usaliti lazima ulipie. Tena kwa gharama kubwa
 
Kwema Wakuu!

Mbinu bora ya wakati wote ambayo hata mimi Taikon ninatumia kwenye mahusiano yangu ambayo nimefanikiwa na nitafanikiwa. Yaani kwenye jino kwa jino kufanikiwa sio hiyari bali lazima.

Nipende nikuonyeshe upendo maradufu.
Nijali nikujali.
Niheshimu nikuheshimu.

Niletee upuuzi alafu uone vile shetani akiuvaa mwili wa binadamu. Ukinicheat naku-cheat maradufu.
Ukiniletea uduwanzi utaelewa Watibeli ni Watu wa aina gani.

Sisi ni waaminifu kikamilifu. Ni waaminifu kwa asilimia 90% kwa mazuri na kwa mabaya. Yaani kama nilikuwa mzuri kwako kwa asilimia 90% basi elewa kiwango hichohicho ndicho ambacho nitakuwa mbaya kwako. Huo ndio uaminifu. Hatuwezi kudanganya.

Wanaotumia kanuni ya jino kwa jino wengi wamefanikiwa kwenye mahusiano.

Hakuna msamaha hapa. Ni lazima ulipe.
Na mimi lazima nilipe nikikufanyia upuuzi.
Kuachana ni dakika tuu. Ukinisaliti lazima uachwe lakini kabla hujaachwa lazima nawe uonje utamu wa kusalitiwa kwa kiwango mara mbili ya ulichokitenda.

Hivyo ndivyo namna ambavyo ukitaka mahusiano yenu yaende kwa haki na yasiwe yakitapeli na kuumizana kijingajinga.

Mwambie kabisa mwenza wako kuwa siku ukini-cheat kabla hatujaachana lazima niku-cheat pale panapouma. Tena kwa mtu ambaye atakûumiza.
Mwambie wewe ni mwaminifu na unachokisema ndicho unachokitekeleza, na akujue hivyo hata kwa mambo mengine.

Sio mtu akuletee mambo ya sijui msameheane, sijui Kanisani au misikitini, mwambie hapa Haki bin Haki. Kabla hatuachana.

Hivyo ndivyo Watibeli tunavyoishi. Na hakuna Ngedere yoyote atakayejaribu kukuchezea ikiwa anajua kile ambacho atafanya nawe utamlipa vilevile na kumjazia kabla haujamuacha.

Usaliti hauna Excuse. Msaliti ni msaliti tuu. Na dawa ya msaliti ni Kumpa Haki yake ambayo sio Msamaha.

Mambo yote hayo yasemwe kabla hamjaingia kwenye mahusiano. Mpe muongozo kabisa kama sisi Watibeli tufanyavyo. Ili baadaye asijesema hukumwambia.

Mlale unono
Hakuna sababu, mwisho wa siku mwili wako ndio unachoka sio mwili wa huyo unaemkomoa, eti kisa you cheated on me ndio niende nikafanye ufuska? Kwa faida ipi ninayoipata dunia hii imejaa maginjwa, mikosi, laana na madhila ya kila aina

One thing, be you, just be who you are, kama wewe ni mzinzi basi endelea kuwa mzinzi, kama wewe ni mtulivu, kamwe usijitie najisi na kujisalitu nafsi yako kwa sababu ya mtu au kwa sababu ya kusalitiwa na mtu
 
Kama wewe sio Mtibeli huwezi elewa haya mambo.

Nafikiri huelewi maana ya uaminifu. Ukishakuwa mwaminifu lazima iwe hivi nilivyoeleza.
Mtu akiwa mwaminifu kwako kwa mazuri asilimia kubwa na ukamfanyia ushenzi elewa kuwa atakulipa kwa uamunifu ubaya kwa asilimia zilezile alizokufanyia uaminifu
 
Yani Mimi hata ukichelewa kunibu text yangu kwa dakika 2 basi nitakurudishia jibu kwa dakika nne

No attachment just a sex
 
Kuachana ni dakika tuu. Ukinisaliti lazima uachwe lakini kabla hujaachwa lazima nawe uonje utamu wa kusalitiwa kwa kiwango mara mbili ya ulichokitenda.
Hii imekaa vizuri..
1697910658541.png
 
Mwanaume kushindana na mtoto ni kukosa akili na ni dalili kuu ya kuanza kuaga uanaume, mwanamke ni mtoto mwenye mwili mkubwa uliopevuka .

Mwanamke siyo mtu mzima mwenzako usiishi nae kama unaishi na mtu mzima , tumia akili kuishi na mtoto.

Mtoto = mwanamke

Kwa wanojua hii fomula hawana haja ya kuwekeana JINO KWA JINO dhidi ya wapendwa wetu wanaotupa utelezi na kusuuza mioyo yetu
 
Siku ukiishi na Mwanamke ndio uje useme haya hapa
Hata WEWE ni mtoto kwa Mwanamke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom